zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,239
- 3,939
Misiramu imejazana haifanyi kazi.Mwamba pigo gani hizi tena?

Hongera sana MkuuDah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka
usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo
Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo
Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu
Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.
Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,
moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁
Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote
Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Nini hiki!Imejaa miisiramu uko utumishi, inaitana miisiramu tu.
Ni wapi?Dah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka
usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo
Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo
Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu
Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.
Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,
moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki[emoji16]
Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote
Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Hongera sana ukawe mtumishi mwemaDah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka

Hongera MkuuDah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka

Isivyo bahati taasisi sitaweza kuitaja ila ni mkeka wa hivi karibuni
Chochote kinawezekana!! Lakini sidhani kama Kitenge atakuwa amefikisha umri wa kustaafu!!. Kama angekuwa amestaafu kwa nafasi yake asingestaafu kimyakimya. Lazima kwenye tovuti ya PSRS wangeonesha kumuaga kwa heshima! Tukumbuke Kitenge alikuwa na msimamo sana dhidi ya vimemo! alikuwa haingiliki kirahisi! Alikuwa kikwazo sana kwa wanaopenda kutumia nafasi zao kushinikiza ajira kwa watu wao!! Bila shaka walikuwa wanamlia timing tu!! Kuondolewa kimyakimya inafikirisha sana!! Inaonekana hakuna sababu ya msingi ambayo unaweza kuitumia kumtumbua!! Hiki kimya kuhusu alivyoondoka kinatisha! Wahenga walisema kimya kingi kina mshindo mkuu, ngoja tuone!!! Ni mawazo tu, I may be wrong anyway!!Kitenge kwa sasa hayupo PSRS sijajua kama atakua kastafu au katolewa, ukiangalia kwenye profile kuna moja ya picha utakuta wameandika watumishi wa Sekretariati ya ajira wakiwa na "ALIEKUA" katibu wa sekretariati ambae ni kitenge.
Upande wa interview ukichacha ni heri kwa watu wa data base!!IT YUKO FIRE[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji868]
Upande wa INTERVIEW UMECHACHAView attachment 2710812
Isivyo bahati taasisi sitaweza kuitaja ila ni mkeka wa hivi karibuni
Hongera , Status kwenye profile yako app na web zinasomaje ?Dah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka
usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo
Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo
Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu
Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.
Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,
moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁
Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote
Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Mkuu na wewe ni miongoni mwa wale barua zao za tangu mweI wa nne maana kuna mtu tulifanya nae mwezi wa pili kakuta barua ya mwezi wa nne mpaka nikasema inaonekana mzee alikuwa mgumu sana kusain baruaDah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka
usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo
Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo
Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu
Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.
Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,
moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁
Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote
Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Wafanyakazi wa EGA wanajikutakaga kama usalama[emoji28]
Hapa kuna uwezekano mkubwa PSRS ndio wamefanya makosa kwa bahati mbaya!! Ujue PSRS wanafanyisha usaili na placement kwa niaba ya mwajiri kwenye utumishi wa umma!! Kwa hiyo lazima wapeleke waajiriwa kama mwajiri alivyohitaji na si vinginevyo!! Kama mwajiri alihitaji mmoja na kuna ushahidi kuwa alihitaji mmoja huwezi ukampa wawili akawapokea wote, hana bajeti hiyo!!cc.
CC. Mbinguninikwetu.
Kwa private sawa lakini government hakuna kitu kama hicho kuwa resources zitaisha hapana aseeh au kusema kuwa wafanyakazi wamezidi kuwa utendaji kazi utashuka hapa hizi ni governmental institute mzee hapo amfate mkurugenzi mkuu atapokelewa tu mshahara hautoki kwenye mfuko wa mtu huuKaka mimi nina uzoefu wa kazi (Private sector) lakini pia nimefanya kazi za utawala japo mimi sio HR ila nimekuwa ni overseer wa evalaution wa majukumu yao.
Kumbuka kuover suppliy wafanyakazi kunapunguza utendaji kazi (kutegeana kunatokea hata matumizi ya resources yanakuwa makubwa).
Kumbuka hiyo Ikama (scheme) inakuwa imepitishwa na Menejimenti ya Taasisi kwa vikao halali na minutes zake zina sahihi kabisa ya Mkurugenzi hivyo Hr yeye anapewa maelekezo ya kuisimamia na kuifuta kuhakikisha utekelezaji wake umefuatwa.
Katika kufanya performance evaluation wakikuta kuna kasoro za kiutendaji lazima watarudi kwenye Ikama kama mwongozo na hapo moja kwa moja HR ndio atawajibishwa kwa kutosimamia.
Solution ni wewe Mwajiriwa mpya kuwahi kuripoti kituoni, yani hata kama upo busy kisi gani bora utafute nauli uende mapema kuripoti hapo utakuwa booked.
Sio unakaa week hapo unakuta wenzako waliowahi ndio wamechukuliwa ma wewe uanrudishwa utumishi kupigwa vumbi mtaani hadi pdf nyingine ije itoke mzee lazima uwe umeshasanda mtaa.
Sina app, ila kwenye web ni selected for Oral interview, sidhani kama hizi zina maana yoyote maana toka naenda kufanya oral ilikuwa imeandika hivi hivi mpaka sasaHongera , Status kwenye profile yako app na web zinasomaje ?
Ni kweli mishahara inatoka hazina lakini inakuja kulingana na bajeti iliyoidhinishwa!! Ukiongeza mfanyakazi mmoja bajeti ya kulipa mshashara wa huyo wa ziada haipo!! Hapa wenye kosa ni PSRS!! Kwa kuwa ni kosa lao watajitahidi kumpa nafasi nyingine itakayopatikana inayolingana na sifa zake!Sasa ukiskia watu Wana roho mbaya duniani ndo Kama huyo HR aliyemkataa mtumishi,
Ukiskia Dunia Ina watu wenye roho mbaya ndo wao mabosi wa hiyo sehemu,tangu lini watumishi wakazidi kwenye nchi yetu?mpk ofisi inamkataa,umeomba mmoja ukapewa wawili c Jambo la kumshukuru mno, au jamaa wameona atamaliza oxygen ukiangalia ofisi hailipi mshahara,mishahara yote inatoka hazina,aise jamaa ana nyota ya kukataliwa😁
Hahah itakuwa Katibu ana mambo mengi thats why, coz hili dude la utumishi sio poa, pata picha kudeal na watumishi wote wa umma, sio poa kabisaMkuu na wewe ni miongoni mwa wale barua zao za tangu mweI wa nne maana kuna mtu tulifanya nae mwezi wa pili kakuta barua ya mwezi wa nne mpaka nikasema inaonekana mzee alikuwa mgumu sana kusain barua
Taasisi nayo inahusika vipi kwenye mishahara??maana kama una check number inamaanisha mshahara unatoka hadhinaSekretarieti ya Ajira haihusiki na mishahara (Fungu/tengo).