Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Daaa hizi pdf za PSRS izi zinakatisha tamaa💔,kuna kutoboa kweli uku? Shida iko wapi kutoa vpdf vya kuunga unga? Maelfu yanayopiga interview hawatuonei huruma jmn😭,Tumewakosea nn
huyu raisi amechangia kiasi kikubwa sana katika hili.sijui aliwaza nini kuweka mifumo miwili ya kuajiri maana hapo wewe unalalamika wenzio nyuma ya pazia wanaingia kiulaini tena taasisi nzitonzito sie tunasubiri mamikeka ya tutorial assistant
 
Mtu anaombewa nafasi anaambiwa hakuna anajibu usiniambie ivo nafasi hakuna,aah sawa mkuu basi ngoja tuangalie mkuu mara uyo mtu anapigiwa simu anambiwa njoo j3 na vyeti vyako uripoti😭😭,tena izo taasis zinazoajir wenyewe ndo ovyo kabisa ni mwendo wa 1 call na its order hakuna wa kupinga.
 
Back
Top Bottom