HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Arudi sekretalieti ya ajira (PSRS) alipopewa hiyo barua na kuwajulisha kuwa kule mliponipeleka wamenambia nafasi imejaa.

Psrs wakimzingua aende wizara ya utumishi, na wale ma officer wa chini wakimzingua aombe kuonana na katibu mkuu utumishi au kabla ajaenda awapigie wizara ya utumishi namba zao za huduma kwa wateja ni 026 216 0240

Wakzingua na huko aende kwa katibu mkuu kiongozi, maana hayo ni maisha asichukulie poa kabisa kuwakanda psrs sio jambo jepesi hivyi chance hazijirudii mara mbili
1. Atafanya hivyo. Ataanzia pale psrs kivukoni wakizingua ndio apande Dom kule

2. Psrs, Wizara utumishi atafatilia

3. KATIBU MKUU KIONGOZI ndo mwisho wa mambo... Drama ni jinsi ya kumfikia/kumpata... I think ana movement sana unaweza kwenda Dom mnapishana tu yeye yupo Dar, zbar, mbeya.

I wish kupata tips namna ya kumfikia KMK.

QUESTION IS:
Mpaka jamaa anapangiwa placement si kibali kilikuwa approved at all level kwahiyo ni suala la kufinalise process tu za kiutumishi au ipoje wakuu? Kwamba asipo fatilia gap lake linaweza kutumiwa na wajanja?

Mwifwa, wizy, Blueprint 9 et al
 
Kuna yeyote aliepata humu asali ya wizara ya ujenzi watu wa mwezi wa 6. Maana zamu ya mwezi wa 6 imefika hatimaye.
Je wizara ya ujenzi ni asali ya nyuki wadogo au wale wakubwa wakubwa?

Hivi kweli wanaweza kukosa miradi ya ujenzi ya kutosha?

Maana wadau wanasema wizarani ni halmashauri iliyochangamka.

Waliopo huko watuletee feeback kuna dogo wangu mmoja yeye ni civil Engineer anataka feedback za huko.
 
Dogo Kapata asali ya wizara ya ujenzi?
 
Hii iliwahi kujitokeza kipindi Cha nyuma,Kuna dogo mmoja alipangiwa halmashauri flan,Sasa alipoenda akakuta kwenye hiyo nafasi mtu mwingne amesharipot tyr,ilibidi arud Psrs,japo alikaa mno kusubir kituo kipya,akawa akawa anampigia simu waziri wa UTUMISHI kipindi hicho mchegerwa,lalamika mno mtaandaoni,kuwa haki yake imepokonywa,Ila baadae sana Psrs wakampangia TAWA
Hivi PLACEMENT NI UTANI NAMNA HIYO KWELI?
Mwifwa , Mwaisa1202 Blueprint 9
 
1. Atafanya hivyo. Ataanzia pale psrs kivukoni wakizingua ndio apande Dom kule

2. Psrs, Wizara utumishi atafatilia

3. KATIBU MKUU KIONGOZI ndo mwisho wa mambo... Drama ni jinsi ya kumfikia/kumpata... I think ana movement sana unaweza kwenda Dom mnapishana tu yeye yupo Dar, zbar, mbeya.

I wish kupata tips namna ya kumfikia KMK.

QUESTION IS:
Mpaka jamaa anapangiwa placement si kibali kilikuwa approved at all level kwahiyo ni suala la kufinalise process tu za kiutumishi au ipoje wakuu? Kwamba asipo fatilia gap lake linaweza kutumiwa na wajanja?

Mwifwa, wizy, Blueprint 9 et al
mie kuna jamaa yangu alipangiwa electrical engineer halmashauri.kufika kule akaambiwa hawaitaji electrical engineer wao walitaka civil.jamaa mpaka leo anafanya kazi za civil na ni electrical..
 
💥💥💥ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET💥💥💥
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa

Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja

Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?

Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
Aiseeh hizi roho mbaya miongoni mwetu wabongo sijui zitaisha lini!!

Sema itabidi awa notify utumish wampangie kituo kingine.

msaala unakuja unakuta mwamba alipangiwa sehemu nzuri now
Huyu lermax3 mwanzilishi wa uzi naye alikuwaga analilia sana kipindi bado jobless saizi kama hayupo kabisa
alikula ban kisa uzi huu, akaja na id mpya na jah kablesi yupo kwenye utumishi wa umma
 
mie kuna jamaa yangu alipangiwa electrical engineer halmashauri.kufika kule akaambiwa hawaitaji electrical engineer wao walitaka civil.jamaa mpaka leo anafanya kazi za civil na ni electrical..
Afadhali yeye asali yake haikuathirika/pending, kuliko wale wanaokataliwa kukamilishiwa taratibu za ajira yao shida ikiwa ma Hr kuleta excuses.
Jamaa yako Yeye anaweza ku recategorise hapo baadae problem ni wale ambao hawapokelewi
 
Hiz huwa zinatokeaga kweli, hawa watakuwa ni wale HR wamchongo, kwa aliyesota na Ajira za psrs sidhan kama anaweza akamfanyia mwenzake huu upuzi, dah inaumiza sana
 
Wengi hatuna uzoefu kwenye masuala ya Management na Utawala.

Ipo hivi kwenye kila Taasisi kuna kitu kinaitwa “Ikama” ambapo hii ni mchanganuo unaonesha gap la watumishi wa taasisi katika kila idara.

Mfano labda ni Hospitali, kuna na Ikama inayoandaliwa na Afisa utawala inayonesha idadi ya Wafanyakazi wanaotakiwa kwa kila position pia idadi ya waliopo kwa sasa na idadi ya waliomiss.

Mfano; Doctors wanaotakiwa ni 5, waliopo 3, mean wanaohitajika ila kufikia malengo ni 2.

From there Taasisi itapeleka utumishi kuomba kibali cha watumishi (2) wanaohitajika ili kuziba gap liliopo.

Kutokana labda na kukosa mawasiliano mazuri Utumishi wanaweza peleka wa 4 badala ya 2 waliohitajika, Afisa utawala ataangalia Ikama hivyo automatically hao 2 wapya waliozidi hawahitajiki na kitendo cha kuwapokea kutapelekea kuvuruga mfumo mzima hata wa kiutendaji (Hii unaweza usielewe zaidi kama hujaexperience).

Kwahiyo tusichukulie personal wala HR hana nguvu ya kukukataa sababu sio muajiri wako.
 
Unaweza ukamfumua makofi vibaya sana mpuuzi kama huyo aisee .
Hawa ma hr wapuuz sidhani kama walishawahi pitia msoto wa kitaa na kusaka ajira kwa kupitia psrs .
Hamna watu wang€se kama hawa ma HR ,wachache sana ambao ni watu .
Wengine ni mapimbi tu kutunisha mabega kama miungu watu .
Nina experience nao huku kwenye private sector .
Kenge kabisa hizi
 
Wengi hatuna uzoefu kwenye masuala ya Management na Utawala.

Ipo hivi kwenye kila Taasisi kuna kitu kinaitwa “Ikama” ambapo hii ni mchanganuo unaonesha gap la watumishi wa taasisi katika kila idara.

Mfano labda ni Hospitali, kuna na Ikama inayoandaliwa na Afisa utawala inayonesha idadi ya Wafanyakazi wanaotakiwa kwa kila position pia idadi ya waliopo kwa sasa na idadi ya waliomiss.

Mfano; Doctors wanaotakiwa ni 5, waliopo 3, mean wanaohitajika ila kufikia malengo ni 2.

From there Taasisi itapeleka utumishi kuomba kibali cha watumishi (2) wanaohitajika ili kuziba gap liliopo.

Kutokana labda na kukosa mawasiliano mazuri Utumishi wanaweza peleka wa 4 badala ya 2 waliohitajika, Afisa utawala ataangalia Ikama hivyo automatically hao 2 wapya waliozidi hawahitajiki na kitendo cha kuwapokea kutapelekea kuvuruga mfumo mzima hata wa kiutendaji (Hii unaweza usielewe zaidi kama hujaexperience).

Kwahiyo tusichukulie personal wala HR hana nguvu ya kukukataa sababu sio muajiri wako.
Sawa lakini ni vyema wakawa wanaweka kimaandishi zaidi angalau unaparudi psrs kutoa taarifa uwe na barua kutokea uko uliporeport, sasa fikiria unarudi kuwaambia Tena kwa mdomo mliponipangia wamenikataa.
 
Back
Top Bottom