Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,054
- 1,797
Ndio
Sababu ya kuchelewa kwa placement ishaanza onekana nasubiria uthibitisho zaidYes kama calendar vile [emoji3][emoji3] hakuna cha j weekend wala sikukuu
Wengi hatuna uzoefu kwenye masuala ya Management na Utawala.
Ipo hivi kwenye kila Taasisi kuna kitu kinaitwa “Ikama” ambapo hii ni mchanganuo unaonesha gap la watumishi wa taasisi katika kila idara.
Mfano labda ni Hospitali, kuna na Ikama inayoandaliwa na Afisa utawala inayonesha idadi ya Wafanyakazi wanaotakiwa kwa kila position pia idadi ya waliopo kwa sasa na idadi ya waliomiss.
Mfano; Doctors wanaotakiwa ni 5, waliopo 3, mean wanaohitajika ila kufikia malengo ni 2.
From there Taasisi itapeleka utumishi kuomba kibali cha watumishi (2) wanaohitajika ili kuziba gap liliopo.
Kutokana labda na kukosa mawasiliano mazuri Utumishi wanaweza peleka wa 4 badala ya 2 waliohitajika, Afisa utawala ataangalia Ikama hivyo automatically hao 2 wapya waliozidi hawahitajiki na kitendo cha kuwapokea kutapelekea kuvuruga mfumo mzima hata wa kiutendaji (Hii unaweza usielewe zaidi kama hujaexperience).
Kwahiyo tusichukulie personal wala HR hana nguvu ya kukukataa sababu sio muajiri wako.
Jamaa bwege sana huyo.....kwanini alishindwa kurudi psrs?mie kuna jamaa yangu alipangiwa electrical engineer halmashauri.kufika kule akaambiwa hawaitaji electrical engineer wao walitaka civil.jamaa mpaka leo anafanya kazi za civil na ni electrical..
Kaimu katibu anaupiga mwingi, kama vp apewe kitengo mazima.Hata anayesaini hizo barua yupo fasta ana longo longo, maana lazima barua zisainiwe ndio uite wahusika waje kuzichukua , huyu anayekaimu aendeleee tu
Basi kuna umuhimu ukipata placements tu uwai fasta , kuwa wamwisho mwisho inaweza kuwa shida, anyway mie naona jamaa arudi tu psrs watamueka pending ikitokea nafasi sehemu nyingine atapewa kipao mbeleWengi hatuna uzoefu kwenye masuala ya Management na Utawala.
Ipo hivi kwenye kila Taasisi kuna kitu kinaitwa “Ikama” ambapo hii ni mchanganuo unaonesha gap la watumishi wa taasisi katika kila idara.
Mfano labda ni Hospitali, kuna na Ikama inayoandaliwa na Afisa utawala inayonesha idadi ya Wafanyakazi wanaotakiwa kwa kila position pia idadi ya waliopo kwa sasa na idadi ya waliomiss.
Mfano; Doctors wanaotakiwa ni 5, waliopo 3, mean wanaohitajika ila kufikia malengo ni 2.
From there Taasisi itapeleka utumishi kuomba kibali cha watumishi (2) wanaohitajika ili kuziba gap liliopo.
Kutokana labda na kukosa mawasiliano mazuri Utumishi wanaweza peleka wa 4 badala ya 2 waliohitajika, Afisa utawala ataangalia Ikama hivyo automatically hao 2 wapya waliozidi hawahitajiki na kitendo cha kuwapokea kutapelekea kuvuruga mfumo mzima hata wa kiutendaji (Hii unaweza usielewe zaidi kama hujaexperience).
Kwahiyo tusichukulie personal wala HR hana nguvu ya kukukataa sababu sio muajiri wako.
Uyu karibia anajibu swali la huu Uzi, changamoto ilikuwa nikusign izo barua ndo sababu ya kuchelewa kwa placement fikiria unaitwa mwezi wa 7 alafu tarehe ya barua imetoka mwezi wa 4 so changamoto ilikuwa kwa katibuKaimu katibu anaupiga mwingi, kama vp apewe kitengo mazima.
Yani mpaka unapewa ile barua inakuwa imepitishwa kwa karibu kiongozi unamaana kibali cha ajira yako kilitolewa na ipo valid hapo anaemzingua ni huyo hr wa taasisi ndo anamkazia roho tu watu wabaya sana mzee ajaribu kumufata pia mkurugenzi wa taasisi yake aongee nae hapo akubali kumpokea maana mshahara hautoki mfukoni mwake1. Atafanya hivyo. Ataanzia pale psrs kivukoni wakizingua ndio apande Dom kule
2. Psrs, Wizara utumishi atafatilia
3. KATIBU MKUU KIONGOZI ndo mwisho wa mambo... Drama ni jinsi ya kumfikia/kumpata... I think ana movement sana unaweza kwenda Dom mnapishana tu yeye yupo Dar, zbar, mbeya.
I wish kupata tips namna ya kumfikia KMK.
QUESTION IS:
Mpaka jamaa anapangiwa placement si kibali kilikuwa approved at all level kwahiyo ni suala la kufinalise process tu za kiutumishi au ipoje wakuu? Kwamba asipo fatilia gap lake linaweza kutumiwa na wajanja?
Mwifwa, wizy, Blueprint 9 et al
Kupokelewa mtu haiwezi kuharibu utendaji kazi mzee labda kama wanatetea per diem zao tu lakini kusema utendaji utahatibika hapo sio kweli na kusema Kwamba kwasasa Kuna taasisi ambayo imejitisheleza wafanyakazi labda ikulu tu huku kwingine hapana aseeeh na hapo wanaomkazia ni hapo HR hebu ajaribu kuongea na mkurugenzi wa taasisi amueleze na changamoto endapo akiikosa hiyo nafasi nafikiri atampokea tuWengi hatuna uzoefu kwenye masuala ya Management na Utawala.
Ipo hivi kwenye kila Taasisi kuna kitu kinaitwa “Ikama” ambapo hii ni mchanganuo unaonesha gap la watumishi wa taasisi katika kila idara.
Mfano labda ni Hospitali, kuna na Ikama inayoandaliwa na Afisa utawala inayonesha idadi ya Wafanyakazi wanaotakiwa kwa kila position pia idadi ya waliopo kwa sasa na idadi ya waliomiss.
Mfano; Doctors wanaotakiwa ni 5, waliopo 3, mean wanaohitajika ila kufikia malengo ni 2.
From there Taasisi itapeleka utumishi kuomba kibali cha watumishi (2) wanaohitajika ili kuziba gap liliopo.
Kutokana labda na kukosa mawasiliano mazuri Utumishi wanaweza peleka wa 4 badala ya 2 waliohitajika, Afisa utawala ataangalia Ikama hivyo automatically hao 2 wapya waliozidi hawahitajiki na kitendo cha kuwapokea kutapelekea kuvuruga mfumo mzima hata wa kiutendaji (Hii unaweza usielewe zaidi kama hujaexperience).
Kwahiyo tusichukulie personal wala HR hana nguvu ya kukukataa sababu sio muajiri wako.
Ndo mambo Yale yakuchomekana kweny izo nafasi, sio bure HR anahila zake uyoYani mpaka unapewa ile barua inakuwa imepitishwa kwa karibu kiongozi unamaana kibali cha ajira yako kilitolewa na ipo valid hapo anaemzingua ni huyo hr wa taasisi ndo anamkazia roho tu watu wabaya sana mzee ajaribu kumufata pia mkurugenzi wa taasisi yake aongee nae hapo akubali kumpokea maana mshahara hautoki mfukoni mwake
Kiongozi elewa hili kuwa hapo mwenye shida ni HR naongea kwa experience ya Hilo achana na ikama sijui nini ma hr wanakuwaga na mambo ya ajabu sana mzeeNimekuelewa mkuu. CLEAR kabisa. Upo vizuri sana.
Hata mimi sidhani yule HR amezengua on his own capacity, ofcourse i dont have a personal thing with the HR.
ARGUMENT
Sasa kama inatokea akawa over supplied than requested number,
Hiyo technically si kule utumishi wamepewa vibali na fungu la mshahara wamesha calculate sasa kama akimkubali huyo HR atapoteza nini? Implication ni kwamba kama amekataliwa hapo atapangwa kwingine maana fungu lake tayar au ipoje mkuu??? Au hiyo means hes just a loser??? Congressman
Yani kibali hata kama waliomba watu wawili wakaja 4 ni sawa kwakua wote walioletwa Wana vigezo vinavyohitaji lakini ma hr wanakunja tu aongee na mkurugenzi mkuu wa taasisi halafu aone kama atamkataaNdo mambo Yale yakuchomekana kweny izo nafasi, sio bure HR anahila zake uyo
naona atakua anafatiliaJamaa bwege sana huyo.....kwanini alishindwa kurudi psrs?
Ila sio mbaya sana kwakua ameshapata cheki namba mwambie aandike barua kuomba kuhamia kwenye taasisi zenye asali tamu...mfano TPDC, EWURA, TANESCO akikosa huko aende hata VETA n.k ili aende huko akafanye kazi ya fani yeke aliyosomea (electrical engineer)
Ushauri kabla ajaandika barua ya kuhamia huko niliposema aende physical akaonane na wahusika kisha awaeleze taaluma yake na aulize kama kuna nafasi aombe kuhamia.
Kupokelewa mtu haiwezi kuharibu utendaji kazi mzee labda kama wanatetea per diem zao tu lakini kusema utendaji utahatibika hapo sio kweli na kusema Kwamba kwasasa Kuna taasisi ambayo imejitisheleza wafanyakazi labda ikulu tu huku kwingine hapana aseeeh na hapo wanaomkazia ni hapo HR hebu ajaribu kuongea na mkurugenzi wa taasisi amueleze na changamoto endapo akiikosa hiyo nafasi nafikiri atampokea tu
Nimekuelewa mkuu. CLEAR kabisa. Upo vizuri sana.
Hata mimi sidhani yule HR amezengua on his own capacity, ofcourse i dont have a personal thing with the HR.
ARGUMENT
Sasa kama inatokea akawa over supplied than requested number,
Hiyo technically si kule utumishi wamepewa vibali na fungu la mshahara wamesha calculate sasa kama akimkubali huyo HR atapoteza nini? Implication ni kwamba kama amekataliwa hapo atapangwa kwingine maana fungu lake tayar au ipoje mkuu??? Au hiyo means hes just a loser??? Congressman
Ila kupangia watu vituo vya ajira ni kibali kimetoka juu. And that is the trick.Sekretarieti ya Ajira haihusiki na mishahara (Fungu/tengo).
So far amemchek Hr tu hajaonana na Mkurugenzi.Yani kibali hata kama waliomba watu wawili wakaja 4 ni sawa kwakua wote walioletwa Wana vigezo vinavyohitaji lakini ma hr wanakunja tu aongee na mkurugenzi mkuu wa taasisi halafu aone kama atamkataa
So far amemchek Hr tu hajaonana na Mkurugenzi.
Barua nakala imeanza na PS UTUMISHI=> KATIBU (TUME YA UTUMISHI WA UMMA) Ikaisha na MKURUGENZI WA TAASISI
Ngoja kesho apite utumishi kivukoni alafu if necessary amuone mkurugenzi na lastly aendelee kule Dom