Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duuh Admin wa Sekretarieti ya Ajira hapa jamii forum sijui kasahau Password.
Screenshot_20230726-094754.jpg
 
HABARI ZENU WANA UZI HUU

Nitangulize wasifu kwanza
Education : degree Of Community Economic Development (CED )
Age: 25
Location : currently Mwanza.

Ndugu zanguni kama mjuavyi hali ni tete, nipo mwanza
Ama hakika kama kuna mtu yeyote ambae anaweza fanya kitu muhimu kupata shughuli ya kupata chochote kitu kupitia taaluma yangu ama vyovyote halali juu yangu. Nitamshukuru sana

MWANZA kwa sasa sina hali
Masaada kwenu
 
Ndugu zangu wale wa Selected for Oral kwenye web na Not selected for Oral kwenye App., nimejaribu kuongea na watu wa Utumishi wamenihakikishia kwamba baada ya kuwa shortlisted hakuna namna yeyote wanajishughulisha na Account yako tena. Hivyo hizo ni errors huwa zinajitokeza kwa baadhi ya watu na wamenitaka kutumia zaidi Web kwani ndio imepewa kipaumbele zaidi kwenye ufuatiliaji wao. Hivyo wenzangu na mimi wa Selected for in web na not Selected for in App tutulie, tuombe Mungu bahati ipatikane na nafasi zitokee.
Nawasilisha.
 
Ungewauliza kwa upole eti ile " selected for oral" kwenye web inajiweka yenyewe kwenye account kama wanahusika wenyewe kwenye shortlisted.....
Mbona wanakwepa majukumu yao ....
Mungu tusaidie..
 
Ndugu zangu wale wa Selected for Oral kwenye web na Not selected for Oral kwenye App., nimejaribu kuongea na watu wa Utumishi wamenihakikishia kwamba baada ya kuwa shortlisted hakuna namna yeyote wanajishughulisha na Account yako tena. Hivyo hizo ni errors huwa zinajitokeza kwa baadhi ya watu na wamenitaka kutumia zaidi Web kwani ndio imepewa kipaumbele zaidi kwenye ufuatiliaji wao. Hivyo wenzangu na mimi wa Selected for in web na not Selected for in App tutulie, tuombe Mungu bahati ipatikane na nafasi zitokee.
Nawasilisha.
Hahahaha pole mkuu kwa presha za umu, Mimi pia nilijibiwa ivo ila Sasa umu ndani nilivyo shambuliwa utasikia

Mama jeni bye bye

Kuna watu wabishi Sana.
 
Ungewauliza kwa upole eti ile " selected for oral" kwenye web inajiweka yenyewe kwenye account.....
Mbona wanakwepa majukumu yao

Ungewauliza kwa upole eti ile " selected for oral" kwenye web inajiweka yenyewe kwenye account.....
Mbona wanakwepa majukumu yao ....
Mungu tusaidie..

Ungewauliza kwa upole eti ile " selected for oral" kwenye web inajiweka yenyewe kwenye account.....
Mbona wanakwepa majukumu yao ....
Mungu tusaidie..
Mkuu labda hujaelewa. Baada ya kuitwa kwenye oral means "selected for oral" hapo ndo mwisho wa ku access kwenye account yako., Ukienda kwenye oral au usiende hawarudi tena kwa account yako.
 
Hahahaha pole mkuu kwa presha za umu, Mimi pia nilijibiwa ivo ila Sasa umu ndani nilivyo shambuliwa utasikia

Mama jeni bye bye

Kuna watu wabishi Sana.
Imenibidi niwapigie na wamenielewesha vzuri sana, wanachofanya ukiomba kazi wataangalia qualifications na requirements, watakupa status ya "Shortlisted" then utapiga written watakupa "Selected for oral interview au not selected for oral interview" Mpaka hapo hawana chochote tena cha kufanya na account yako uwe umeenda au hujaenda. Jirani yangu hata hiyo oral hakwenda lakini status bado ni Selected kote App na Web.
 
Nadhani wadau wa status wataelewa ila Ni wagumu hao

Mungu atusaidie tupate placement mtaani kugumu Sana.
Imenibidi niwapigie na wamenielewesha vzuri sana, wanachofanya ukiomba kazi wataangalia qualifications na requirements, watakupa status ya "Shortlisted" then utapiga written watakupa "Selected for oral interview au not selected for oral interview" Mpaka hapo hawana chochote tena cha kufanya na account yako uwe umeenda au hujaenda. Jirani yangu hata hiyo oral hakwenda lakini status bado ni Selected kote App na Web.
 
Imenibidi niwapigie na wamenielewesha vzuri sana, wanachofanya ukiomba kazi wataangalia qualifications na requirements, watakupa status ya "Shortlisted" then utapiga written watakupa "Selected for oral interview au not selected for oral interview" Mpaka hapo hawana chochote tena cha kufanya na account yako uwe umeenda au hujaenda. Jirani yangu hata hiyo oral hakwenda lakini status bado ni Selected kote App na Web.
Hii post iko wazi sana tunashukuru mtaalamu kwa jitihada zako za ufuatiliaji.
 
Back
Top Bottom