HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Asante sana Kaka,Ila Kaka kikubwa kila ikitangazwa ombeni bila kuchoka,huwez kujua Mungu atakupa ipi,Mimi jina Lang lilikatwa kabisa na utumishi,kuwa Sina vigezo vya kufanya usahili,ikabidi niende dodoma Psrs,wakanisikiliza nikawekwa kwenye majina ya nyongeza,nikaenda dodoma kufanya usahili wa written,sikuwa na namba ya mtihan,jamaa mmoja wa utumishi akanitoa nje aise,vile natoka tu nikakutana na boss wao mdada hivi akanirudisha ndan(walionekana wanamtetemekea),akapiga simu,na akawatumia kitambulisho changu na IT,nikawekwa kiti Cha mbele udom peke yang tu,wakat nyumba watu Mia 6 wamebanana wanasaidiana,ni Mungu tu aise,mpk kupata placement tunapitia meng mno
aiseeh
 
uzi huu watu wengi tunaongea lugha moja,

sirahisi mtu mwingine kujua machungu tunayopitia watu tusio na ajira ama mchongo unao eleweka
Mkuu, asee nimaumivu kila mahali anzia mwili Hadi maisha, asee dah hakuna pa kushika stress mwanzo mwisho, hakuna wa kumwelezea unavyoteseka akakuelewa, yaan kiujumla hakuna wa kukusikiliza kweny haya mapambano
 
muda mwingine watu wakitoa malalamiko yao inapaswa watu wawe wapole wasiwapalamie coz watu wa tress nzito.
 
Asante sana Kaka,Ila Kaka kikubwa kila ikitangazwa ombeni bila kuchoka,huwez kujua Mungu atakupa ipi,Mimi jina Lang lilikatwa kabisa na utumishi,kuwa Sina vigezo vya kufanya usahili,ikabidi niende dodoma Psrs,wakanisikiliza nikawekwa kwenye majina ya nyongeza,nikaenda dodoma kufanya usahili wa written,sikuwa na namba ya mtihan,jamaa mmoja wa utumishi akanitoa nje aise,vile natoka tu nikakutana na boss wao mdada hivi akanirudisha ndan(walionekana wanamtetemekea),akapiga simu,na akawatumia kitambulisho changu na IT,nikawekwa kiti Cha mbele udom peke yang tu,wakat nyumba watu Mia 6 wamebanana wanasaidiana,ni Mungu tu aise,mpk kupata placement tunapitia meng mno

DUCE tu Mimi nimeanzia chuo Cha mwalimu nyerere kigamboni mzee,kila usahili nikiitwa nilienda,utumishi wamenikanda kinoma saili 12 alafu oral nikaingia Mara 3,moja ya MDAs ndo imenipa kazi mwaka huu

Very
Powerful
 
Anayeweza kukuelewa ni yule tu aliyewahi kupitia njia hiyo...msoto mkali na hakuna dalali zaa tumaini.. God knows when mambo yako yatakuwa sawa.
Mkuu, asee nimaumivu kila mahali anzia mwili Hadi maisha, asee dah hakuna pa kushika stress mwanzo mwisho, hakuna wa kumwelezea unavyoteseka akakuelewa, yaan kiujumla hakuna wa kukusikiliza kweny haya mapambano
 
Kitu nimejifunza toka Psrs kuhusu kuchelewesha placement ni kwamba,barua inaandaliwa Psrs,inasubiri kusainiwa na karibu wa Psrs,pamoja na kuweka muhuli wa Moto,nakala inaenda kwa katibu mkuu utumishi,nyingine tume ya utumishi,ya mwisho inatumwa kwenye taasisi husika,hapa issues kubwa ni saini ya katibu ndo tatizo,Kama hayupo mpk arudi,kitenge hawezi kusain barua 100 kwa siku,Hana nguvu hizo,then nakala zitumwe,ndo maana placement za MDA na LGA zinatoka kwa mafungu mafungu,maana mi barua yangu inasoma trh 16/6/2023, placement nimepata trh 12/7/2023 karibu mwezi mzima
 
Wakuu, hii imekaaje, niliapply kazi ya licensing officer Brela. Nmeangalia leo siko shortlisted. Reason Application Letter not Routed Through Current Employer. Sasa sijaajiriwa sehemu yeyote. Kuna mwenye changamoto Kama hii labda anishauri
Soma Tangazo la Ajira vizurii hizo zitakua ni post za Kuhamia kigezo mojawapo muajiri akusainie Barua.
 
Hizi za MDAs ilifika muda nikakata tamaa kabisa maisha yakanishinda Arusha,ikabidi nirudi tu nyumban,vile nimekaa tu siku tatu,Mara napokea simu ya pongezi na jamaa yang,aise siku hiyo sikulala,nilikesha nacheka cheka tu usiku mzima,japo si haba,japo asali ya wizarani ni km ya halmashauri,kikubwa ni kumshukuru Mungu,maana nimechekwa sana,mpk baba majiran walimsema vibaya kwa kukosa kwang kazi kwa miaka 7
Mkuu wizarani si sawa na halmashauri, wizarani kuna benefits nyingi!!

Lakini kikubwa ni kuingia katika system kwanza.
 
Naam!!! n siku nyingine tena.
Trh 25/july. Yan bado siku 1 huu Uzi ufikishe 1 year.

Mwanzilishi wa Uzi aliuliza "kwann psrs wanachelewa kutoa placements"
Mpaka sasa hatujapata specific answer, yan the specific reason behind this delay.

●Some wanasema the problem ni psrs wenyewe (Yan majukumu n mengi)
●Some wanasema the problem ni serikali (budget).
●Some wanasema the problem ni taasisi husika(hazina haraka)
●Some wanaamin sababu tajwa apo juu zote zinachangia.

●Afu kuna wengne ambao wao wanakuja tu na solution ya nn kifanyike to tackle this problem, regardless of the reason behind the causative factors of this delay.

●Afu kuna hawa sasa ambao wao hawatoi sababu za kuchelewa kwa placements wala hawatoi solution ya nini kifanyike. They are just there for criticising kile wengine wanasema. Some wanaenda mbali zaid either kwa kutokujua au kwa kujua, yan mtu katoa suggestion yake mwngne anakuja anasema hiyo haitakuja kutokea, ina katisha tamaa kuona hatuna mlengo m1.
If huna cha kumsaidia mtu by any means ata kwa ushauri tu basi usikae ktk angle ya kumkatisha tamaa. N Yale Yale ya wanasiasa akisimama jukwaani kuongelea vijana hana chochote cha kuwasaidia ata kwa ushauri zaid ya kuwalaumu tu, nataka kusema nini apa, n kwamba kama una solution ambayo unaona n better zaid ya iliyoletwa bas ilete tutaipokea lkn sio hii ya kukaa angle ya ku criticize mawazo ya wadau humu. Sorry kwa yule ntakua nmemkwaza kwa hili. Lengo ni 1 tu. Tuna wish Interval ya from oral to placements iwe ndogo sio kama hiv ilivyo saizi.

Uzi unafunga mwaka sasa na bado hatujapata majibu ya kwann placement zinachelewa.. watu wamekuja na suggestion ya kutoa matokeo ya oral, wengne wamesuggest kuongeza kipengele cha selected for placement,data base na not selected for any. Lkn Watu wamekuja ku criticize wanasema hicho hakitakuja kutokea na huo ndo ukweli "according to them". Kuna mdau jana kasema zamani mamb hayakua hiv, yan ilikuaga mkimaliza tu oral mnapewa majibu apo apo kama unasubiri barua au lah. Sasa hawa wanaosema "haitakuja kutokea", wanadhan psrs imeanzishwa 2022? Mbna mamb hayakua hiv huko nyuma? Any way kwenye hili nmeweka nukta am ready to be criticised too.
 
Ujumbe mzuri bro
 
Vijana tupambaneni,, mtu asije akadhani tunachokifanya hapa n kazi bure. Mtaona matokeo yake sooner or later.
Pia tusisubiri mpaka jambo likupate ndo uongee. Binafsi sijawahi piga oral, nmepiga written 2 zote nmekandwa [emoji16] lakin hili la placement sitanyamaza kusubiri hadi nifike oral ndo nianze kuongea.
Before mwaka haujapinduka ntakua nasubiri placement na mim naamin ivo [emoji123] so sitokaa kimya kweny hili.

PSRS na wadau husika kaeni chini mtafute solution ktk hili. We are still young and energetic. Sisi ndo taifa la leo na kesho, msituletee magonjwa ya uzeeni katika umri huu.. suala la kumsubirisha mtu for 9+ months akisubiri tu majibu ya placements linaumiza sana. Kama issue n budget ni bora msubiri hadi fedha yaķe ipatikane ndo muendelee na process za saili.

Out of topic, kuna hili la hizi nafasi za "kupambia website ya utumishi", nazungumzia nafasi za ma TA na ma lecturers. Yan unakuta chuo ki1 kina advertise mara 3 kwa mwaka separately. Mfano kina advertise mwez jan nafasi ya assistant lecturer(chemisrty), then mwez april kina advertise ten assistant lecturer(biology),chuo icho icho mwezi Oct kina advertise tena assistant lecturer(physics). Na apo kuna readvertisement akikosekana mtu (sina shida na hili). My problem n iyo ya kutangaza separately.
Mbna m naona gharama ya kuendesha hiz saili 3 separately n kubwa kuzidi gharama ya kuendesha saili ya nafasi zote at once na kuwapangia wote kwa pa1.
 
Naam!!! n siku nyingine tena.
Trh 25/july. Yan bado siku 1 huu Uzi ufikishe 1 year.

Mwanzilishi wa Uzi aliuliza "kwann psrs wanachelewa kutoa placements"
Mpaka sasa hatujapata specific answer, yan the specific reason behind this delay.

●Some wanasema the problem ni psrs wenyewe (Yan majukumu n mengi)
●Some wanasema the problem ni serikali (budget).
●Some wanasema the problem ni taasisi husika(hazina haraka)
●Some wanaamin sababu tajwa apo juu zote zinachangia.

●Afu kuna wengne ambao wao wanakuja tu na solution ya nn kifanyike to tackle this problem, regardless of the reason behind the causative factors of this delay.

●Afu kuna hawa sasa ambao wao hawatoi sababu za kuchelewa kwa placements wala hawatoi solution ya nini kifanyike. They are just there for criticising kile wengine wanasema. Some wanaenda mbali zaid either kwa kutokujua au kwa kujua, yan mtu katoa suggestion yake mwngne anakuja anasema hiyo haitakuja kutokea, ina katisha tamaa kuona hatuna mlengo m1.
If huna cha kumsaidia mtu by any means ata kwa ushauri tu basi usikae ktk angle ya kumkatisha tamaa. N Yale Yale ya wanasiasa akisimama jukwaani kuongelea vijana hana chochote cha kuwasaidia ata kwa ushauri zaid ya kuwalaumu tu, nataka kusema nini apa, n kwamba kama una solution ambayo unaona n better zaid ya iliyoletwa bas ilete tutaipokea lkn sio hii ya kukaa angle ya ku criticize mawazo ya wadau humu. Sorry kwa yule ntakua nmemkwaza kwa hili. Lengo ni 1 tu. Tuna wish Interval ya from oral to placements iwe ndogo sio kama hiv ilivyo saizi.

Uzi unafunga mwaka sasa na bado hatujapata majibu ya kwann placement zinachelewa.. watu wamekuja na suggestion ya kutoa matokeo ya oral, wengne wamesuggest kuongeza kipengele cha selected for placement,data base na not selected for any. Lkn Watu wamekuja ku criticize wanasema hicho hakitakuja kutokea na huo ndo ukweli "according to them". Kuna mdau jana kasema zamani mamb hayakua hiv, yan ilikuaga mkimaliza tu oral mnapewa majibu apo apo kama unasubiri barua au lah. Sasa hawa wanaosema "haitakuja kutokea", wanadhan psrs imeanzishwa 2022? Mbna mamb hayakua hiv huko nyuma? Any way kwenye hili nmeweka nukta am ready to be criticised too.
Some wapo na status.
 
Yani wewe kama mimi tuu nione jina kwa pdf kwanza nikiona jina iyo furaha yake siipatii picha
alafu nipande gari sasa kuelekea dom, aki nitajikuta na smile tuu kwenye gari hadi na fika dom.
Ukipangwa sehemu ambayo huikubali utaona kawaida ni furaha kupata kazi ila ukipelekwa sehemu mbovu uwa inauma asee
 
Back
Top Bottom