HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hizi za MDAs ilifika muda nikakata tamaa kabisa maisha yakanishinda Arusha,ikabidi nirudi tu nyumban,vile nimekaa tu siku tatu,Mara napokea simu ya pongezi na jamaa yang,aise siku hiyo sikulala,nilikesha nacheka cheka tu usiku mzima,japo si haba,japo asali ya wizarani ni km ya halmashauri,kikubwa ni kumshukuru Mungu,maana nimechekwa sana,mpk baba majiran walimsema vibaya kwa kukosa kwang kazi kwa miaka 7
Big up
 
Vijana tupambaneni,, mtu asije akadhani tunachokifanya hapa n kazi bure. Mtaona matokeo yake sooner or later.
Pia tusisubiri mpaka jambo likupate ndo uongee. Binafsi sijawahi piga oral, nmepiga written 2 zote nmekandwa [emoji16] lakin hili la placement sitanyamaza kusubiri hadi nifike oral ndo nianze kuongea.
Before mwaka haujapinduka ntakua nasubiri placement na mim naamin ivo [emoji123] so sitokaa kimya kweny hili.

PSRS na wadau husika kaeni chini mtafute solution ktk hili. We are still young and energetic. Sisi ndo taifa la leo na kesho, msituletee magonjwa ya uzeeni katika umri huu.. suala la kumsubirisha mtu for 9+ months akisubiri tu majibu ya placements linaumiza sana. Kama issue n budget ni bora msubiri hadi fedha yaķe ipatikane ndo muendelee na process za saili.

Out of topic, kuna hili la hizi nafasi za "kupambia website ya utumishi", nazungumzia nafasi za ma TA na ma lecturers. Yan unakuta chuo ki1 kina advertise mara 3 kwa mwaka separately. Mfano kina advertise mwez jan nafasi ya assistant lecturer(chemisrty), then mwez april kina advertise ten assistant lecturer(biology),chuo icho icho mwezi Oct kina advertise tena assistant lecturer(physics). Na apo kuna readvertisement akikosekana mtu (sina shida na hili). My problem n iyo ya kutangaza separately.
Mbna m naona gharama ya kuendesha hiz saili 3 separately n kubwa kuzidi gharama ya kuendesha saili ya nafasi zote at once na kuwapangia wote kwa pa1.
Kabisa ,
 
Kitu nimejifunza toka Psrs kuhusu kuchelewesha placement ni kwamba,barua inaandaliwa Psrs,inasubiri kusainiwa na karibu wa Psrs,pamoja na kuweka muhuli wa Moto,nakala inaenda kwa katibu mkuu utumishi,nyingine tume ya utumishi,ya mwisho inatumwa kwenye taasisi husika,hapa issues kubwa ni saini ya katibu ndo tatizo,Kama hayupo mpk arudi,kitenge hawezi kusain barua 100 kwa siku,Hana nguvu hizo,then nakala zitumwe,ndo maana placement za MDA na LGA zinatoka kwa mafungu mafungu,maana mi barua yangu inasoma trh 16/6/2023, placement nimepata trh 12/7/2023 karibu mwezi mzima
Hongera sana Mkuu, Natumai na wengine mnaendelea vyema japo ni time ngumu, Msikate tamaa Mungu bado anagawa mkate kwa kila mtu na kwa wakati wake
 
Mwamba daaaah.,"Tema Mate chini aseeh".…katika KUSAKA MAISHA KUNA SEHEMU MBOVU?
Mwanetu waKISHUA nini?
Omba sana Mungu isitokee ukapelekwa sehemu mbovu, in the long run unaweza Juta kwa nini ulipata hio kazi.... Ukiwa huna kazi utaona hii kauli ya ajabu sana ila anza kazi uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba sana Mungu isitokee ukapelekwa sehemu mbovu, in the long run unaweza Juta kwa nini ulipata hio kazi.... Ukiwa huna kazi utaona hii kauli ya ajabu sana ila anza kazi uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jobless hawezi kukuelewa mkuu ila sisi tulio kazini tunajua unachosema. Kuna jamaa mmoja alikuwa na CPA alipofika halmashauri wakampangia akawe muhasibu shule moja ya sekondari. Ikitokea technical issues wanamuita halmashauri akawasaidie na kumpa posho ya elfu 20. Sasa hivi ameshasepa kitambo
 
Omba sana Mungu isitokee ukapelekwa sehemu mbovu, in the long run unaweza Juta kwa nini ulipata hio kazi.... Ukiwa huna kazi utaona hii kauli ya ajabu sana ila anza kazi uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli unachosema wahenga wanasema Bora nusu shali kuliko shall kamili

Acha kazi njoo kitaa au omba likizo ya mwezi tengeneza pesa kwa ubongo wako

Kila kitu ukiwa nacho ni kibaya kiache uone?
 
Duuh Admin wa Sekretarieti ya Ajira hapa jamii forum sijui kasahau Password.
Screenshot_20230726-094754.jpg
 
Back
Top Bottom