Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

HABARI ZENU WANA UZI HUU

Nitangulize wasifu kwanza
Education : degree Of Community Economic Development (CED )
Age: 25
Location : currently Mwanza.

Ndugu zanguni kama mjuavyi hali ni tete, nipo mwanza
Ama hakika kama kuna mtu yeyote ambae anaweza fanya kitu muhimu kupata shughuli ya kupata chochote kitu kupitia taaluma yangu ama vyovyote halali juu yangu. Nitamshukuru sana

MWANZA kwa sasa sina hali
Masaada kwenu
Upo tayari kufanya kazi sehemu "MBOVU"?
 
Imenibidi niwapigie na wamenielewesha vzuri sana, wanachofanya ukiomba kazi wataangalia qualifications na requirements, watakupa status ya "Shortlisted" then utapiga written watakupa "Selected for oral interview au not selected for oral interview" Mpaka hapo hawana chochote tena cha kufanya na account yako uwe umeenda au hujaenda. Jirani yangu hata hiyo oral hakwenda lakini status bado ni Selected kote App na Web.
Hujajiuliza kwanini system ya app icheze kwako na sio kwa wengine?

Anyway humu hakuna mwenye NOT SELECTED aliyewahi kulamba asali
 
Imenibidi niwapigie na wamenielewesha vzuri sana, wanachofanya ukiomba kazi wataangalia qualifications na requirements, watakupa status ya "Shortlisted" then utapiga written watakupa "Selected for oral interview au not selected for oral interview" Mpaka hapo hawana chochote tena cha kufanya na account yako uwe umeenda au hujaenda. Jirani yangu hata hiyo oral hakwenda lakini status bado ni Selected kote App na Web.
Mm bro wangu alipata kazi zile za TRA mwez wa 2.
Sasa nikamuuliza kuhusu status (webb & app) kama na mm labda naweza kujua maana nimefanya oral 1.
Akanielekeza yy ilivyokua
Moja baada ya written interview status zilisoma selected for oral interview both webb & app
Akaenda kufanya oral interview baada ya siku 2 toka afanye oral akaingia kwenye Webb ikawa inasomeka neno SHORTLISTED (lilikua black bila no za usahili) na app bado ilikua inasomeka selected for oral (kijani) baada ya wiki Moja kwenye Webb & app zote zikarudi selected for oral interview.
Yeye alikua anafatilia changes hizi zote na kweli majina yalivyotoka akapata.

Nimemuuliza je ikasoma not selected for oral ( akasema ukiona hivi baada ya kufanya oral ujue umefeli oral interview) hvy sio rahis kupata.
Pia walikua na wenzake kipindi hicho wanafatilia kazi za TRA ila cha ajabu ni kwamba Kuna ambao status zao zilipitia changes kama yeye na hawakupata kazi.

Alafu pia alisema kipindi kile mwezi wa 2 status za watu wengi zilibadilika kwenye app zikawa zinasomeka selected for practical interview badae zikarudi kawaida.
Toka niambiwe hvy bas nimeshindwa kuelewa status na hata kufatilia ni ngumu
 
Mwingine huyu apa Ni wabishi vibaya.
Wangeondoa hii sintofahamu kwa kutoa taarifa rasmi au waweke status ya mtokeo ya oral...suala la kumsubirisha msailiwa miezi 4 anasbria jambo ambalo hajui uhakika wake sio zuri halina afya kwa wasiliwa
 
Ndugu zangu wale wa Selected for Oral kwenye web na Not selected for Oral kwenye App., nimejaribu kuongea na watu wa Utumishi wamenihakikishia kwamba baada ya kuwa shortlisted hakuna namna yeyote wanajishughulisha na Account yako tena. Hivyo hizo ni errors huwa zinajitokeza kwa baadhi ya watu na wamenitaka kutumia zaidi Web kwani ndio imepewa kipaumbele zaidi kwenye ufuatiliaji wao. Hivyo wenzangu na mimi wa Selected for in web na not Selected for in App tutulie, tuombe Mungu bahati ipatikane na nafasi zitokee.
Nawasilisha.
Mi navyoona amekujibu vizuri kabisa katika hilo.
Kakujibu hivo kutokana na kwamba majibu ya Oral huwa hawatoi ila raiti kama wangekuwa wanatoa majibu ya Oral angekwambia ukweli juu ya hizo aspects mbili.
Kukwambia hivo anazidi kutunza siri za Kambi
 
Mimi naona hizi mada za status tungeziacha PDF zikitoka ndo zitaamua kwa sababu unaweza kuwa na selected for oral kote na bado ukakosa na database ikakutema. Kwahiyo naoka tuwe wapole tusubiri mikeka tu
Ni kweli kbsa kikubwa kusuburia PDF...lakni PSRS watoe matokeo ya oral au waweke status aliefaulu ajijue mapema kusbri muda mrefu wanatutesa sio poa
 
Walishaamua kutofanya hivyo sasa tutafanyeje, wenye mamlaka ndiyo wananguvu ya kuamua wanavyoona ni sawa kwao kwahiyo tuwe wapole tusubiri tu PDF wakati wetu ukifika tutapata tu ata status zikiwa NOT SELECTED 😂😂😂
Ni kweli kbsa kikubwa kusuburia PDF...lakni PSRS watoe matokeo ya oral au waweke status aliefaulu ajijue mapema kusbri muda mrefu wanatutesa sio poa
 
Back
Top Bottom