HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna hizo za MDAs na LDAs. Unakuta
1. Afisa hesabu - TPDC
2. Afisa hesabu - Halmashauri ya xxxx

Daaaaah hawa watu watafute baada ya miaka 2. Ni huzuni huyo namba 2.

Muhimu kuomba Mungu pia Upangwe taasisi bora.

Sio dhambi kumuomba hivyo Mungu.
Watu wanachukulia pouwa Halmashauri lakini kuna wadau wapo Halmashauri wapo njema tu. Huko unakuta wana Ownsource za kutosha kwahiyo hapo Mkurugenzi akiwa vizurii mambo yanaenda safi.
 
Mm bro wangu alipata kazi zile za TRA mwez wa 2.
Sasa nikamuuliza kuhusu status (webb & app) kama na mm labda naweza kujua maana nimefanya oral 1.
Akanielekeza yy ilivyokua
Moja baada ya written interview status zilisoma selected for oral interview both webb & app
Akaenda kufanya oral interview baada ya siku 2 toka afanye oral akaingia kwenye Webb ikawa inasomeka neno SHORTLISTED (lilikua black bila no za usahili) na app bado ilikua inasomeka selected for oral (kijani) baada ya wiki Moja kwenye Webb & app zote zikarudi selected for oral interview.
Yeye alikua anafatilia changes hizi zote na kweli majina yalivyotoka akapata.

Nimemuuliza je ikasoma not selected for oral ( akasema ukiona hivi baada ya kufanya oral ujue umefeli oral interview) hvy sio rahis kupata.
Pia walikua na wenzake kipindi hicho wanafatilia kazi za TRA ila cha ajabu ni kwamba Kuna ambao status zao zilipitia changes kama yeye na hawakupata kazi.

Alafu pia alisema kipindi kile mwezi wa 2 status za watu wengi zilibadilika kwenye app zikawa zinasomeka selected for practical interview badae zikarudi kawaida.
Toka niambiwe hvy bas nimeshindwa kuelewa status na hata kufatilia ni ngumu
πŸ™„ πŸ™„ SHORTLISTED tena. Hizi status zitatuua
 
Kuna hizo za MDAs na LDAs. Unakuta
1. Afisa hesabu - TPDC
2. Afisa hesabu - Halmashauri ya xxxx

Daaaaah hawa watu watafute baada ya miaka 2. Ni huzuni huyo namba 2.

Muhimu kuomba Mungu pia Upangwe taasisi bora.

Sio dhambi kumuomba hivyo Mungu.
Mfano halisi ni mimi na mshkaji wangu. Tena Mimi nilitangulia kuajiriwa halmashauri yeye alifatia miaka 3 baadae, TBS. Sasa hivi hela yake ya mafuta ya gari kwa mwezi ndio takehome yangu
 
Watu wamesota mtaani tangu 2011, tushauza juice za miwa sana, tushaendesha hadi boda, mwisho wa siku ni kukomaa na tunafanya vitu halali watoto waende chooni.

Kwa kada zetu nafasi huwa zinatoka kwa manati sana..vuta picha Unaweza kukaa miaka mingapi bila kuina nafasi ya afisa maendeleo.

Na hapo zikitoka tunachanganywa Kuanzia na wazee wa Sociology, kuna kozi sitakaa nimshauri mwanangu akasome, kozi zote za Maendeleo ya Jamii sishauri mtu.

Ngoja tusubiri placement za watu 800 tuone kama tutakuwepo.

Nakumbuka siku ya Oral hii ya juzi mwanangu alini wish all the best, kwakwel ilinitia hasira ya kutusua kinoma.

Inshallah Utumishi watutendee yaliyo mema kama wanavotenda.
 
Back
Top Bottom