Kila kitu ukiwa nacho ni kibaya kiache uone?Ni kweli unachosema wahenga wanasema Bora nusu shali kuliko shall kamili
Acha kazi njoo kitaa au omba likizo ya mwezi tengeneza pesa kwa ubongo wako
Kila kitu ukiwa nacho ni kibaya kiache uone?
Yani mimi siwezi kuwaelewa hao wanaosema sijui inakuajeKila kitu ukiwa nacho ni kibaya kiache uone?
Ayseee kitaa kugumu.
Ndivyo binadamu tulivyo hasa ambao hawajawahi pitia msoto (wakishua)Kila kitu ukiwa nacho ni kibaya kiache uone?
Ayseee kitaa kugumu.
Kua mpole watatoa kuna post kabla ya hata hizo za tanapa hawajaita so tulia mzeeWakuu, TANAPA wanatoa lini majina. Tangia tu-apply hakuna update
Unashangaa 25 Km wengine tumeshawahi kuwa 30 Km hakuna huduma ya internet zaidi ni kupata ki bar kimoja cha Halotel hahaah!Unazijua 25km ? Au unataka kufurahisha genge
Ungewauliza kwa upole eti ile " selected for oral" kwenye web inajiweka yenyewe kwenye account kama wanahusika wenyewe kwenye shortlisted.....Ndugu zangu wale wa Selected for Oral kwenye web na Not selected for Oral kwenye App., nimejaribu kuongea na watu wa Utumishi wamenihakikishia kwamba baada ya kuwa shortlisted hakuna namna yeyote wanajishughulisha na Account yako tena. Hivyo hizo ni errors huwa zinajitokeza kwa baadhi ya watu na wamenitaka kutumia zaidi Web kwani ndio imepewa kipaumbele zaidi kwenye ufuatiliaji wao. Hivyo wenzangu na mimi wa Selected for in web na not Selected for in App tutulie, tuombe Mungu bahati ipatikane na nafasi zitokee.
Nawasilisha.
Hahahaha pole mkuu kwa presha za umu, Mimi pia nilijibiwa ivo ila Sasa umu ndani nilivyo shambuliwa utasikiaNdugu zangu wale wa Selected for Oral kwenye web na Not selected for Oral kwenye App., nimejaribu kuongea na watu wa Utumishi wamenihakikishia kwamba baada ya kuwa shortlisted hakuna namna yeyote wanajishughulisha na Account yako tena. Hivyo hizo ni errors huwa zinajitokeza kwa baadhi ya watu na wamenitaka kutumia zaidi Web kwani ndio imepewa kipaumbele zaidi kwenye ufuatiliaji wao. Hivyo wenzangu na mimi wa Selected for in web na not Selected for in App tutulie, tuombe Mungu bahati ipatikane na nafasi zitokee.
Nawasilisha.
Ungewauliza kwa upole eti ile " selected for oral" kwenye web inajiweka yenyewe kwenye account.....
Mbona wanakwepa majukumu yao
Ungewauliza kwa upole eti ile " selected for oral" kwenye web inajiweka yenyewe kwenye account.....
Mbona wanakwepa majukumu yao ....
Mungu tusaidie..
Mkuu labda hujaelewa. Baada ya kuitwa kwenye oral means "selected for oral" hapo ndo mwisho wa ku access kwenye account yako., Ukienda kwenye oral au usiende hawarudi tena kwa account yako.Ungewauliza kwa upole eti ile " selected for oral" kwenye web inajiweka yenyewe kwenye account.....
Mbona wanakwepa majukumu yao ....
Mungu tusaidie..
Oky....MkuuMkuu labda hujaelewa. Baada ya kuitwa kwenye oral means "selected for oral" hapo ndo mwisho wa ku access kwenye account yako., Ukienda kwenye oral au usiende hawarudi tena kwa account yako.
Imenibidi niwapigie na wamenielewesha vzuri sana, wanachofanya ukiomba kazi wataangalia qualifications na requirements, watakupa status ya "Shortlisted" then utapiga written watakupa "Selected for oral interview au not selected for oral interview" Mpaka hapo hawana chochote tena cha kufanya na account yako uwe umeenda au hujaenda. Jirani yangu hata hiyo oral hakwenda lakini status bado ni Selected kote App na Web.Hahahaha pole mkuu kwa presha za umu, Mimi pia nilijibiwa ivo ila Sasa umu ndani nilivyo shambuliwa utasikia
Mama jeni bye bye
Kuna watu wabishi Sana.
Imenibidi niwapigie na wamenielewesha vzuri sana, wanachofanya ukiomba kazi wataangalia qualifications na requirements, watakupa status ya "Shortlisted" then utapiga written watakupa "Selected for oral interview au not selected for oral interview" Mpaka hapo hawana chochote tena cha kufanya na account yako uwe umeenda au hujaenda. Jirani yangu hata hiyo oral hakwenda lakini status bado ni Selected kote App na Web.
Hii post iko wazi sana tunashukuru mtaalamu kwa jitihada zako za ufuatiliaji.Imenibidi niwapigie na wamenielewesha vzuri sana, wanachofanya ukiomba kazi wataangalia qualifications na requirements, watakupa status ya "Shortlisted" then utapiga written watakupa "Selected for oral interview au not selected for oral interview" Mpaka hapo hawana chochote tena cha kufanya na account yako uwe umeenda au hujaenda. Jirani yangu hata hiyo oral hakwenda lakini status bado ni Selected kote App na Web.
🤣🤣🤣🤣Hahahaha pole mkuu kwa presha za umu, Mimi pia nilijibiwa ivo ila Sasa umu ndani nilivyo shambuliwa utasikia
Mama jeni bye bye
Kuna watu wabishi Sana.