Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Taasisi nyingi watu wanajitolea kwa connection, kauli ya spika ya kusema wanaojitolea wapewe kipaumbele kwenye ajira wakisema waitekeleze itakua ni uchochoro wa kupachikana kwenye mirija ya ajira
nadhani alimaanisha kada za afya sio zote
 
Wadau wa huu uzi kindly kapigeni kura na kutoa comments kwenye jukwaa la Ajira na Tenda

SWALI MTAMBUKA
Je Taasisi na mashirika wafanye saili kama kipindi Cha jk ?



 
Back
Top Bottom