Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sijajua pia, mfano nikienda kusoma IT, computer science je naweza omba kazi huko utumishi wakati nimeshaajiriwa huku local government?..maana wanasema Kuna mfumo wa malipo unaitwa Lawson, ukishaajiriwa ni ngumu kuomba ajira idara nyingine, unaweza pata ndio Lakini mfumo ukakukataa sijajua ukweli wa Ili.
Unaweza kuomba
 
Kwa kweli watoe tu huo mkeka hii itakua ni pyschological torture tujue kama hatumo tupambane na saili zingine
Kweli Mzee, Hawa wahuni(psrs) sio wakuchekea HAta kidogo Yan.

Tunavaa nguo za chama ,tunabeba picha Raisi Samia, hao Barabarani, kuelekea ng'ong'ona kwa Migiro
 
,enzi za mjomba baba ubaya magu 😆😆😆jobless utakula virungu bila huruma mpaka uchakae , hahaaaa , sema yule baba ubaya jobless sijui tulimkosea nini aisee maana sio kutukazia kwa roho mbaya kama vile aisee , hahaaa enzi za kupiga bila bila ajira portal zero placement zero tangazo la ajira miezi minne mpaka sita ilikuwa kawaida mamaee , wengine hata utumishi psrs walisahau kama inaexist bado 😄😄😄😄😄 na angekuwa hai mwendo ungekuwa ule ule mamaeee ,
 
Yuko chini sana anatàfunwa na mchwa😤
 
Back
Top Bottom