Ingia website ya bunge kuna namba za mawaziri na wabunge woteeMwenye namba ya Mama muhagama anitupie PM
Ingia website ya bunge kuna namba za mawaziri na wabunge woteeMwenye namba ya Mama muhagama anitupie PM
TGHS - Tanzania Government Health Salary Scale.Yeah yeah hata madocta na wafasmasia wa halmashauri hawaanzi na TGS D wao wanaanza F huko wanaenda hadi J
TGHS D ni ngapi basicAfya wanatumia TGHS.
Mfamasia anaanza na TGHS D
Daktari na Daktari meno ni TGHS E
Daktari bingwa ni TGHS G
Cha ajabu hizo number za simu za wabunge karibia 99% hazipatikanIngia website ya bunge kuna namba za mawaziri na wabunge wotee
Kuna tangazo la Halmashauri ya Kinondoni la Mainjinia, Wakandiriaji Ujenzi la mkataba wa mwaka mmoja.Hivi kwenye web akuna matangazo ya ajira zaidi ya halmashaur? Maan naona matangazo ya halmashaur tuu mwez had unakata.
Unaweza kuombaSijajua pia, mfano nikienda kusoma IT, computer science je naweza omba kazi huko utumishi wakati nimeshaajiriwa huku local government?..maana wanasema Kuna mfumo wa malipo unaitwa Lawson, ukishaajiriwa ni ngumu kuomba ajira idara nyingine, unaweza pata ndio Lakini mfumo ukakukataa sijajua ukweli wa Ili.
Kwa kweli watoe tu huo mkeka hii itakua ni pyschological torture tujue kama hatumo tupambane na saili zingineIla wazee utumishi wasipotoa mkeka wa database mwezi huu ,
Inabidi tuandamane mpaka ng'ong'ona kwa Migiro Yan 😂 mpaka kieleweke Yan
Litupie mkuuKuna tangazo la Halmashauri ya Kinondoni la Mainjinia, Wakandiriaji Ujenzi la mkataba wa mwaka mmoja.
Wahusika changamkieni huku mkiendelea kuongeza received za PSRS
TGHS D ni ngapi basic
Noma sana ndio posho zao1,418,000/=
Ila hawa mabwana huwa wanasimamia famasi wanalipwa 1 M per month
Bado pesa sio Kubwa, CPA wa eGA wanakula 4m1,418,000/=
Ila hawa mabwana huwa wanasimamia famasi wanalipwa 1 M per month
Kweli Mzee, Hawa wahuni(psrs) sio wakuchekea HAta kidogo Yan.Kwa kweli watoe tu huo mkeka hii itakua ni pyschological torture tujue kama hatumo tupambane na saili zingine
SAwa mkandaji 😁Kuna tangazo la Halmashauri ya Kinondoni la Mainjinia, Wakandiriaji Ujenzi la mkataba wa mwaka mmoja.
Wahusika changamkieni huku mkiendelea kuongeza received za PSRS
,enzi za mjomba baba ubaya magu 😆😆😆jobless utakula virungu bila huruma mpaka uchakae , hahaaaa , sema yule baba ubaya jobless sijui tulimkosea nini aisee maana sio kutukazia kwa roho mbaya kama vile aisee , hahaaa enzi za kupiga bila bila ajira portal zero placement zero tangazo la ajira miezi minne mpaka sita ilikuwa kawaida mamaee , wengine hata utumishi psrs walisahau kama inaexist bado 😄😄😄😄😄 na angekuwa hai mwendo ungekuwa ule ule mamaeee ,Kweli Mzee, Hawa wahuni(psrs) sio wakuchekea HAta kidogo Yan.
Tunavaa nguo za chama ,tunabeba picha Raisi Samia, hao Barabarani, kuelekea ng'ong'ona kwa Migiro
Zipo mheshimiwa WaziriKuna interview za mwaka 2022 ambazo placement zake hazijatoka hadi sasa?
Yuko chini sana anatàfunwa na mchwa😤,enzi za mjomba baba ubaya magu 😆😆😆jobless utakula virungu bila huruma mpaka uchakae , hahaaaa , sema yule baba ubaya jobless sijui tulimkosea nini aisee maana sio kutukazia kwa roho mbaya kama vile aisee , hahaaa enzi za kupiga bila bila ajira portal zero placement zero tangazo la ajira miezi minne mpaka sita ilikuwa kawaida mamaee , wengine hata utumishi psrs walisahau kama inaexist bado 😄😄😄😄😄 na angekuwa hai mwendo ungekuwa ule ule mamaeee ,
Angeleta vita yule ya waajiriwa na wasio ajiriwa,enzi za mjomba baba ubaya magu 😆😆😆jobless utakula virungu bila huruma mpaka uchakae , hahaaaa , sema yule baba ubaya jobless sijui tulimkosea nini aisee maana sio kutukazia kwa roho mbaya kama vile aisee , hahaaa enzi za kupiga bila bila ajira portal zero placement zero tangazo la ajira miezi minne mpaka sita ilikuwa kawaida mamaee , wengine hata utumishi psrs walisahau kama inaexist bado 😄😄😄😄😄 na angekuwa hai mwendo ungekuwa ule ule mamaeee ,