HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kabisa ,tulikuwa tunaelekea kubaya sana , ni vile tu ajira zimeanza toka toka baada ya huyu maza ndio watu kidogo maumivu yanaanza kupungua baada ya watu kula viplacement na asali kidogo , la sivyo ,na hiyo effect mpaka sasa hivi inasumbua sana ,nyomi la jobless kulundikana kitaa, hata kuna muda huwa nadhani utumishi wanapata kazi nzito kufanya mchakato wa kuandaa majina ya wasahiliwa mpaka kukamilisha maana nyomi la majobless wanaoomba hizo kazi ni kubwa vibaya mno .

So hizo ni effects za huyo baba ubaya na hilo halikwepeki na halitaisha leo unless juhudi za makusudi zifanyike kunusuru hiyo hali maana kila mwaka maelfu wanazidi kutundikwa kitaa na kwa speed hii ya utumishi kazi ipo , watu watagraduate na kukaa miaka kadhaa bila ajira na wengine hawata pata ajira kamwe labda wapige mishe nyingine huko , ni feedback loop moja ya kiduwanzi sana imetengenezwa , na wala si mchezo ,
unapotosha watu wazima wakat wote tumeona hakuna mkamilifu kuna pahala alipwaya lkn kuna pahala alipainua

cha msingi tuendeleze mazuri aliyo ya initiate yale ambayo hayakupendezwa na wengi tuzidi kumuombea alipo aishi kwa furaha

kulalamika lalamika hata haisaidii kitu hapa na kwa wengine
 
kwamba siku inapita iviivi bila pdf ??
psrs shusheni mzigo tuanze week vzr.
 
unapotosha watu wazima wakat wote tumeona hakuna mkamilifu kuna pahala alipwaya lkn kuna pahala alipainua

cha msingi tuendeleze mazuri aliyo ya initiate yale ambayo hayakupendezwa na wengi tuzidi kumuombea alipo aishi kwa furaha

kulalamika lalamika hata haisaidii kitu hapa na kwa wengine
Nimepotosha wapi ?, au ni kipi nilichoongea cha kupotosha hapo we dogo ? Au ujobless umekutoa akili ? Umeelewa hata kilichoandikwa au ndio kudandia point na context usiyoelewa ?
Stupid
 
Tumetoa maoni yetu ya msingi kabisa kwamba .
Taasisi na mashirika yaliyokuwa yanafanya usaili kama hapo zamani kabla ya hii (psrs)jipu uchungu.

Waendelee kufanya usaili kama zamani Ili kuwapunguzia mzigo wa majukumu kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu mkubwa sana wa wafanyakazi.

Eti psrs hawataki Wanaona watakosa posho za Kufanya usaili.
#mkekaWaDatabase
 
unaniita dogo and stupid hata hunijui me huwa nabaki nacheka tu😂😂😂😂😂😂😂
 
Usicheke, jitambulishe kwa jina halisi akujue, vinginevyo, usijipe ukuu usio wa umuhimu, na kulisha watu maneno, kila mtu ana haki ya kutoa maoni.
 
Tumetoa maoni yetu ya msingi kabisa kwamba .
Taasisi na mashirika yaliyokuwa yanafanya usaili kama hapo zamani kabla ya hii (psrs)jipu uchungu.

Waendelee kufanya usaili kama zamani Ili kuwapunguzia mzigo wa majukumu kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu mkubwa sana wa wafanyakazi.

Eti psrs hawataki Wanaona watakosa posho za Kufanya usaili.
#mkekaWaDatabase
Ila mambo mengine ni ngumu mnoo kuyaelewa. MDA n LGA tangazo limetoka mwezi wa sita mwaka jana, zimepigwa sahili kwa mafungu toka mwezi wa kumi mpaka mwezi wa pili, placement bado hata kwa zile kada zilizotangulia.
 
Utumishi ukweli wanzngua sana waiting time imekua too much
 
Usicheke, jitambulishe kwa jina halisi akujue, vinginevyo, usijipe ukuu usio wa umuhimu, na kulisha watu maneno, kila mtu ana haki ya kutoa maoni.
wapi nmejipa ukuu au kukulisha maneno baab
kwaio mm sina uhuru wa kutoa maoni kwan nilazima nikubaliane na maoni yake?
 
Mzee achana na mambo za magufuli kashakufa huyo hana lake tena....zama mpya hizi faza
 
Tumetoa maoni yetu ya msingi kabisa kwamba .
Taasisi na mashirika yaliyokuwa yanafanya usaili kama hapo zamani kabla ya hii (psrs)jipu uchungu.

Waendelee kufanya usaili kama zamani Ili kuwapunguzia mzigo wa majukumu kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu mkubwa sana wa wafanyakazi.

Eti psrs hawataki Wanaona watakosa posho za Kufanya usaili.
#mkekaWaDatabase
Malalamiko nchi yetu ni kila mtu anajivutia kwake,
Naamn hilo zaga la database likitoka wakulungwa tumelamba asali yaan hata hutosikia tena mara sijui utumishi ni jibu.

Mfano mzuri kuna wadau juzi kati humu walikuwa wanapiga kelele sana kuhusu utumishi na ucheleweshaji wa placement ila walivyolamba asali hata huwasikii tena wakipondea utumishi.

Kwa mfano wewe hapo mwanangu wa nguvu Blender likitoka zaga la database umelambaa taasisi nyeti unakunja mzigo wakutosha, utaendeleza na hilo sakata??
 
me nmebalance pote pote mabaya yake na mazuri yake sijasimama kuonesha kupinga kila kitu au kusifia kila kitu

tuufunge mjadala tuendelee kutafta tobo
 
Malalamiko nchi yetu ni kila mtu anajivutia kwake,
Naamn hilo zaga la database likitoka wakulungwa tumelamba asali yaan hata hutosikia tena mara sijui utumishi ni jibu.

Mfano mzuri kuna wadau juzi kati humu walikuwa wanapiga kelele sana kuhusu utumishi na ucheleweshaji wa placement ila walivyolamba asali hata huwasikii tena wakipondea utumishi.

Kwa mfano wewe hapo mwanangu wa nguvu Blender likitoka zaga la database umelambaa taasisi nyeti unakunja mzigo wakutosha, utaendeleza na hilo sakata??
Hilo ni kweli but as long as hatujapt kz acha tuwaponde tu maana tunateseka kitaa
 
unapotosha watu wazima wakat wote tumeona hakuna mkamilifu kuna pahala alipwaya lkn kuna pahala alipainua

cha msingi tuendeleze mazuri aliyo ya initiate yale ambayo hayakupendezwa na wengi tuzidi kumuombea alipo aishi kwa furaha

kulalamika lalamika hata haisaidii kitu hapa na kwa wengine
Sasa kapotosha nini hapo???
Magu alizingua lnapokuja suala la ajira!!!!!!!
 
Mzee achana na mambo za magufuli kashakufa huyo hana lake tena....zama mpya hizi faza
Msiwe mnatwambia tuachane na habari zake
Ni lazima tuziseme asije akatokea mwingine wa kuwa kama yeye tukaanza upya!

Miaka 6 tu ya kwake madhara yake ni kutokuwa na uhakika wa kutokuwa na ajira serikalini kwa walio wengi miaka yao yote ijayo. Mbona hamjawahi kusema watu waachane na habari za Nyerere?

Na kwann asemwe mno Magu na sio Mkapa??
 
Malalamiko nchi yetu ni kila mtu anajivutia kwake,
Naamn hilo zaga la database likitoka wakulungwa tumelamba asali yaan hata hutosikia tena mara sijui utumishi ni jibu.

Mfano mzuri kuna wadau juzi kati humu walikuwa wanapiga kelele sana kuhusu utumishi na ucheleweshaji wa placement ila walivyolamba asali hata huwasikii tena wakipondea utumishi.

Kwa mfano wewe hapo mwanangu wa nguvu Blender likitoka zaga la database umelambaa taasisi nyeti unakunja mzigo wakutosha, utaendeleza na hilo sakata??
Mm hata nikipata shavu serikalini haitanifanya nisiseme madudu yao!

Ucheleweshwaji huu unaoendelea utumishi unawafanya vjana wengi kukata tama. Walokuwa wanapaza sauti kabla ya asali na wakanyamaza baada ya asali ni wao.....ila wanaojali kuwahusu wenzao sauti lazima zipazwe haijalishi ushalamba asali au bado
 
Tumetoa maoni yetu ya msingi kabisa kwamba .
Taasisi na mashirika yaliyokuwa yanafanya usaili kama hapo zamani kabla ya hii (psrs)jipu uchungu.

Waendelee kufanya usaili kama zamani Ili kuwapunguzia mzigo wa majukumu kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu mkubwa sana wa wafanyakazi.

Eti psrs hawataki Wanaona watakosa posho za Kufanya usaili.
#mkekaWaDatabase
  • naunga mkono hoja Utumishi Kuna tatizo, mtu unaomba Kazi hadi unasahau kuwa uliomba kazi.
  • Utumishi Kuna shortage of human resource lakini sidhani kama wanafanya juhudi kulitatua hili.
-kama vipi Bora Mashirika ya Umma na taasisi ziajiri tu turudi kule kule kwa zamani
 
Back
Top Bottom