Unaweza kuombaSijajua pia, mfano nikienda kusoma IT, computer science je naweza omba kazi huko utumishi wakati nimeshaajiriwa huku local government?..maana wanasema Kuna mfumo wa malipo unaitwa Lawson, ukishaajiriwa ni ngumu kuomba ajira idara nyingine, unaweza pata ndio Lakini mfumo ukakukataa sijajua ukweli wa Ili.
Kwa kweli watoe tu huo mkeka hii itakua ni pyschological torture tujue kama hatumo tupambane na saili zingineIla wazee utumishi wasipotoa mkeka wa database mwezi huu ,
Inabidi tuandamane mpaka ng'ong'ona kwa Migiro Yan 😂 mpaka kieleweke Yan
Litupie mkuuKuna tangazo la Halmashauri ya Kinondoni la Mainjinia, Wakandiriaji Ujenzi la mkataba wa mwaka mmoja.
Wahusika changamkieni huku mkiendelea kuongeza received za PSRS
TGHS D ni ngapi basic
Noma sana ndio posho zao1,418,000/=
Ila hawa mabwana huwa wanasimamia famasi wanalipwa 1 M per month[emoji23]
Bado pesa sio Kubwa, CPA wa eGA wanakula 4m1,418,000/=
Ila hawa mabwana huwa wanasimamia famasi wanalipwa 1 M per month[emoji23]
Kweli Mzee, Hawa wahuni(psrs) sio wakuchekea HAta kidogo Yan.Kwa kweli watoe tu huo mkeka hii itakua ni pyschological torture tujue kama hatumo tupambane na saili zingine
SAwa mkandaji 😁Kuna tangazo la Halmashauri ya Kinondoni la Mainjinia, Wakandiriaji Ujenzi la mkataba wa mwaka mmoja.
Wahusika changamkieni huku mkiendelea kuongeza received za PSRS
,enzi za mjomba baba ubaya magu 😆😆😆jobless utakula virungu bila huruma mpaka uchakae , hahaaaa , sema yule baba ubaya jobless sijui tulimkosea nini aisee maana sio kutukazia kwa roho mbaya kama vile aisee , hahaaa enzi za kupiga bila bila ajira portal zero placement zero tangazo la ajira miezi minne mpaka sita ilikuwa kawaida mamaee , wengine hata utumishi psrs walisahau kama inaexist bado 😄😄😄😄😄 na angekuwa hai mwendo ungekuwa ule ule mamaeee ,Kweli Mzee, Hawa wahuni(psrs) sio wakuchekea HAta kidogo Yan.
Tunavaa nguo za chama ,tunabeba picha Raisi Samia, hao Barabarani, kuelekea ng'ong'ona kwa Migiro
Zipo mheshimiwa WaziriKuna interview za mwaka 2022 ambazo placement zake hazijatoka hadi sasa?
Yuko chini sana anatàfunwa na mchwa😤,enzi za mjomba baba ubaya magu 😆😆😆jobless utakula virungu bila huruma mpaka uchakae , hahaaaa , sema yule baba ubaya jobless sijui tulimkosea nini aisee maana sio kutukazia kwa roho mbaya kama vile aisee , hahaaa enzi za kupiga bila bila ajira portal zero placement zero tangazo la ajira miezi minne mpaka sita ilikuwa kawaida mamaee , wengine hata utumishi psrs walisahau kama inaexist bado 😄😄😄😄😄 na angekuwa hai mwendo ungekuwa ule ule mamaeee ,
Angeleta vita yule ya waajiriwa na wasio ajiriwa,enzi za mjomba baba ubaya magu 😆😆😆jobless utakula virungu bila huruma mpaka uchakae , hahaaaa , sema yule baba ubaya jobless sijui tulimkosea nini aisee maana sio kutukazia kwa roho mbaya kama vile aisee , hahaaa enzi za kupiga bila bila ajira portal zero placement zero tangazo la ajira miezi minne mpaka sita ilikuwa kawaida mamaee , wengine hata utumishi psrs walisahau kama inaexist bado 😄😄😄😄😄 na angekuwa hai mwendo ungekuwa ule ule mamaeee ,
Hv kwann kuhusu ajira wala alkuwa hajali jamaa??,enzi za mjomba baba ubaya magu [emoji38][emoji38][emoji38]jobless utakula virungu bila huruma mpaka uchakae , hahaaaa , sema yule baba ubaya jobless sijui tulimkosea nini aisee maana sio kutukazia kwa roho mbaya kama vile aisee , hahaaa enzi za kupiga bila bila ajira portal zero placement zero tangazo la ajira miezi minne mpaka sita ilikuwa kawaida mamaee , wengine hata utumishi psrs walisahau kama inaexist bado [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na angekuwa hai mwendo ungekuwa ule ule mamaeee ,
TUmeache TU Mzee,Hv kwann kuhusu ajira wala alkuwa hajali jamaa??
Kbsa ya huyo mzee yashapita...tuangalie ya sasa now....psrs waache ukiritimba na roho ngumu watoe hao watu walio database wapewe kaziTUmeache TU Mzee,
kilicho mbele yetu ni mkeka
Kabisa ,tulikuwa tunaelekea kubaya sana , ni vile tu ajira zimeanza toka toka baada ya huyu maza ndio watu kidogo maumivu yanaanza kupungua baada ya watu kula viplacement na asali kidogo , la sivyo ,na hiyo effect mpaka sasa hivi inasumbua sana ,nyomi la jobless kulundikana kitaa, hata kuna muda huwa nadhani utumishi wanapata kazi nzito kufanya mchakato wa kuandaa majina ya wasahiliwa mpaka kukamilisha maana nyomi la majobless wanaoomba hizo kazi ni kubwa vibaya mno .Angeleta vita yule ya waajiriwa na wasio ajiriwa