mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,275
- 6,592
Haya yaishe database ipo na mkeka wake utatoka SOONRamli tu hizo mzee huna uhakika na unachokisema
Haya yaishe database ipo na mkeka wake utatoka SOONRamli tu hizo mzee huna uhakika na unachokisema
Yeah yeah hata madocta na wafasmasia wa halmashauri hawaanzi na TGS D wao wanaanza F huko wanaenda hadi JSio Kila mtu ni TGS D, wengine ni TGS E, tgs D ni Kwa wale wenye Degree za miaka mitatu,
Na kwa vyuo vya nje je?Kwa hapa nchini masters inaanzia GPA ya 2.7 na kupanda!!!!!!!
Hahahahah mzee cheti changy kinasoma hivyoHii kauli yako imekaa kichawi na ina lengo la kuwatia gundu wazee wa upper class GPA with honours mkuu!!!
👊
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asali ipi hiyo kk iliochakachuliwaHahahahah mzee cheti changy kinasoma hivyo
Upper class (hons)
Ila asali nayolamba ni ya sukari guru Ile ya kuunguzwa sio original kabisa[emoji1][emoji1787]
Ss Tuna taka mkeka wa database , waziri s alisema na akataja na idadi kabisa, Vijana wanataka kujua kama wapo kwenye huo mkeka, Ili wajue waendelee na usaili ama vp ,Sijabisha lakini yaweza kuwa hiyo idadi isichukuliwe yote kwa pamoja ila wakachukua kwa phases.
Yeah, salary scale ya Medical Doctor ni mara mbili ya salary scale ya Mchumi II,Afisa Utumishi,Afisa tawala,Afisa hesabu, Afisa maendeleo ya jamiiYeah yeah hata madocta na wafasmasia wa halmashauri hawaanzi na TGS D wao wanaanza F huko wanaenda hadi J
Wewe uko una lamba asali tokea pande za wapi mkuu[emoji1787][emoji1787]Bado ni peanut, compared to TRA.
Kwanza unataka piga master kufukuzia nafasi Gani.!?Kwani GPA ya kupiga master ni ngapi?
Hapa nchini na kwa nchi za nje?
Mkuu salary Yako ikisoma M tu wewe unalamba asali nzuri na kama una marupurupu ya hapa na pale kutosha still no asali nzuri.- CPA na legal officers ndiyo wanakula asali ndefuu ya Tsh 3.3m
Zile za kuchakachua zile [emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asali ipi hiyo kk iliochakachuliwa
Afya wanatumia TGHS.Yeah yeah hata madocta na wafasmasia wa halmashauri hawaanzi na TGS D wao wanaanza F huko wanaenda hadi J
Taasisi gani?- CPA na legal officers ndiyo wanakula asali ndefuu ya Tsh 3.3m
Ingia website ya bunge kuna namba za mawaziri na wabunge woteeMwenye namba ya Mama muhagama anitupie PM
TGHS - Tanzania Government Health Salary Scale.Yeah yeah hata madocta na wafasmasia wa halmashauri hawaanzi na TGS D wao wanaanza F huko wanaenda hadi J
TGHS D ni ngapi basicAfya wanatumia TGHS.
Mfamasia anaanza na TGHS D
Daktari na Daktari meno ni TGHS E
Daktari bingwa ni TGHS G
Cha ajabu hizo number za simu za wabunge karibia 99% hazipatikanIngia website ya bunge kuna namba za mawaziri na wabunge wotee
Kuna tangazo la Halmashauri ya Kinondoni la Mainjinia, Wakandiriaji Ujenzi la mkataba wa mwaka mmoja.Hivi kwenye web akuna matangazo ya ajira zaidi ya halmashaur? Maan naona matangazo ya halmashaur tuu mwez had unakata.