Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,896
- 3,667
Naona portal inafanyiwa maintenance haifunguki, ujue kuna lolote linaweza tokea.Tuone leo kama kutakuwa na placement ya database, haloo hakuna kukata tamaa
Naona portal inafanyiwa maintenance haifunguki, ujue kuna lolote linaweza tokea.Tuone leo kama kutakuwa na placement ya database, haloo hakuna kukata tamaa
Ni kutokana kukosa discipline ya hela pia, save then use the remaining balanceKanuni ya hela ni kuwa, kadri inavyokuwa kubwa na matumizi yanakuwa mengi hivyo mwisho wa siku inakuwa haitoshi
Kwa nini aiache acha kukatisha watu tamaaDatabase iache,labda placement.
Tuone leo kama kutakuwa na placement ya database, haloo hakuna kukata tamaa
Wanaweza pia kutoa mkeka wa dtabase tupu ushahidi huo upo pia...Database itakuja kwa vipengele Mkuu sidhani kama watatoa yote kwa pamoja ila eithin six month to come wengi tutakuwa kwenye pipeline Mkuu.
Wanaweza pia kutoa mkeka wa dtabase tupu ushahidi huo upo pia...
Yah kweli mkuuSijabisha lakini yaweza kuwa hiyo idadi isichukuliwe yote kwa pamoja ila wakachukua kwa phases.
Kwani Data base aliyosema Mh.Mhagama ,Buget ya mwaka wa nyuma. Waliofanya Usail wakapita Oral before Tangazo lake kutoka.Tuone leo kama kutakuwa na placement ya database, haloo hakuna kukata tamaa
Kusema ukweli ndo kukatisha tamaa mkuu?Kwa nini aiache acha kukatisha watu tamaa
Ramli tu hizo mzee huna uhakika na unachokisemaKusema ukweli ndo kukatisha tamaa mkuu?
Ramli tu hizo mzee huna uhakika na unachokisema
Utakuwa na bachelor of scienceNimeajiriwa ajira za mwaka Jana Mwezi wa 7 naingia nakutana na ongezeko kwahiyo ni 805k
Bado ni peanut, compared to TRA.Utakuwa na bachelor of science
Hio niliotaja ni kwa bachelor of education na bachelor of arts with education
Mimi mwenyewe Niko kwenye asali nataka nihamie kwenye asali tamu[emoji1]Ulifanya option nzuri kwa maana uliangalia nature ya familia uliyotoka
Hilo la fani unayotaka unaweza kupambanis sasa kwakua upo kwenye mfumo wa ajira pia endelea kutupia maombi utumishi utapata penye unafuu zaidi
Kuna jamaa namfahamu nae alisoma education ili apate ajira tu lakini ndoto yake ni IT baada ya kuingia kwenye ajira kasoma diploma ya IT miaka 2 kiutumikia field anayo penda huo ni mfano tu
Ukipambana inawezekana
Mkuu kama una GPA nzuri undergraduate nenda kapige masters then fukuzia nafasi za assistant lecturer sababu hizo nafasi huwa ziko miaka na miaka zinatangazwa.Sioni kama biashara itakufa unajua kwanini haitokufa?...baada ya hiyo miaka 3 ambayo nitakua nimefungua biashara sitogusa chochote humo kwenye biashara kwa mahitaji binafsi (ushauri wa mzee wangu)...na salary inakua full so nitatumia salary kuendesha maisha na biashara ikijiendesha yenyewe....Lakini pia biashara kufa inawezekana but Mimi sioni ikitokea Io kitu.
Kwani GPA ya kupiga master ni ngapi?Mkuu kama una GPA nzuri undergraduate nenda kapige masters then fukuzia nafasi za assistant lecturer sababu hizo nafasi huwa ziko miaka na miaka zinatangazwa.
Mimi nataka nirudi shule nikalambe masters nenda nifuzie hizo nafasi.
Pia Kuna nafasi za kuhamia hizo taasisi zenye asali Nene na mazingira mazuri ya kazi.
Ni kujiongeza tu
- CPA na legal officers ndiyo wanakula asali ndefuu ya Tsh 3.3mAcha tu mkuu na yule jamaa Yuko na diploma tu aliniambia scale yake nikatoa mimacho[emoji15]
Nikawaza Sasa wa degree atakuwaje.
Daaah tu
Taasisi gan?Acha tu mkuu na yule jamaa Yuko na diploma tu aliniambia scale yake nikatoa mimacho[emoji15]
Nikawaza Sasa wa degree atakuwaje.
Daaah tu
Kwa hapa nchini masters inaanzia GPA ya 2.7 na kupanda!!!!!!!Kwani GPA ya kupiga master ni ngapi?
Hapa nchini na kwa nchi za nje?