Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Jamaa wanzngua sn mpk tunaanza kutamani matapishi...hizi mambo za michakto mwaka mzima unaisha hyakubaliki na matamko ya urongo waache-kama vipi Bora Mashirika ya Umma na taasisi ziajiri tu turudi kule kule kwa zamani
- naunga mkono hoja Utumishi Kuna tatizo, mtu unaomba Kazi hadi unasahau kuwa uliomba kazi.
- Utumishi Kuna shortage of human resource lakini sidhani kama wanafanya juhudi kulitatua hili.
#watoe hizo nafsi 1769 walizosema