HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi kwenye web zote tatu ni selected for oral, kwenye app moja ndo hiyo not selected for null. Ndo kiufupi nlishindwa zielewa status na sio mdau, hapa nmeingia tu kuscreenshot evidence[emoji23]
Mimi nakujua kitambo sana tangu enzi za kina wizzy mungu atatugungulia lakini wahenga wa uzi 😂
 
Kuna watu wanakwambia stutus hazina maana
Kiupande wangu labda tu niseme tu kuwa hao wanaosema hvyo Huwa wanajifariji tu ili kukabiliana na Uhalisia, Ila hivi vitu lazima viwe na maana kabisa,, ndo maana ukifaulu written lazima utakuta mambo yamechange pia kwenye account, So vitu vinategemeana hivi
 
Kama stutus zisingekuwa na maana zisingekuwepo kuna wakati watu wanapata update hata kabla ya ya pdf kutoka,, Mkuu unapomaliza oral itakuandikia Selected for oral na number yako pale itakaa hiyo kwa muda wanaojua wao kisha itakuja SHORTLISTED (hiyo huwa haikai kwa muda mrefu inamanisha umefika marks zinazotakiwa ukikosa nafasi ujue utabaki kanzi data kulingana na ushindani wa nafasi ) Ikiwa NOT SHORTLISTED (Hukufika marks hitajika katika oral )

Baada ya muda stutus zote hubadilika na kuwa Selected for oral na number yako. Sasa hapo alietokea katika Stutus ya SHORTLISTED angalie ushindani wake pale kwe placement ikitokea haupo ujue haikuwa bahati yako ila umefaulu na umebaki kanzi data.

Huu uzi nilitoka nao mbali mno na shuhuda zote zilizopita kwa waliopata kazi utumishi Portal stutus zilikuwa hivyo kama kuna mtu kafanikiwa hajapitia hivyo alete huo ushuhuda hapa yeye au anaemfaahamu aliyekuwa not shirtlisted na akalamba asali

Hizi stutus zina maana sana tu mno
Wako mbioni kuweka
Selected for Placement
Selected for Data base
Selected for Baba jene bye bye 😂
Hii imekaaje hii?
Je mtu ukiandikiwa selected for Oral inamaana gn baada ya mwezi kuisha interview haijaharibika
 
Ukiandikiwa selected ya kijani inamaana umefaulu oral interview?
Sikuwahi kuwa muumini wa status na sikuwahi kuangalia status yangu tangu nilipofanya oral. Nilikuja kuiangalia baada ya kuona jina langu kwenye placement na nikakuta imeandikwa SELECTED FOR ORAL interview number ______

Kwa hiyo sijui kama ilikuwa inabadilika badilika au la.

Kwa nini nilichukua uamuzi huo? kwa sababu haijawahi kuthibitika kuwa baada ya oral majibu ya kupata nafasi yaaweza kujulikana kupitia status, na hadi sasa hili bado halijathibitika.

Pia endapo kama status inatoa majibu ya kufaulu Oral, PSRS wangekuwa wanatujulisha kutembelea akaunti zetu na kuona hayo majibu.

Ikumbwe kuwa kipindi cha nyuma wakati PSRS walipoanza kutumia huu mfumo wa Online(Ajira portal) walikuwa wanatoa tangazo kwenye website yao kuwa Placement zimetoka na kusema wahusika watembelee website kwenye section ya placement ili kuona majina yao.

Sasa kama status zingekuwa zinatoa majibu ya Oral wangekuwa wanatuambia tuangalie akaunti zetu na kuona hayo majibu.

Kila siku huwa mnajadili mambo ya status ila huwa nawaangalia tu na kulike comments zenu bila kuwavuruga maana mlishachagua hilo na mimi nilishachagua kutozifuatilia isipokuwa PDF pekee ndiyo yenye majibu sahihi ya Oral.
 
Ni vile tu sipendi ona jinsi watu wanaokuja with this topic ya not selected for null mnavyowanyanyasa na kuwaita waongo, ila mimi nina selected for null kwenye kazi mbili, nina not selected for null kwenye kazi ya NAOT, na oral nlifanya, kama unanifatilia tangu zamani kwenye huu uzi nlishagaelezea what happened siku nafanya oral ya NAOT so was very comfortable. But all in all sijawahi kuwa muhumini wa status, na tangu mwezi wa nane sijui wa saba nliacha kufatilia kabisa sijui niite kuwaza, siku ikitokea nmepata basi itakuwa surprise, maana sio placement wala kuulizia nakaa tu kama vile sijawahi fanya oral yoyote utumishi[emoji23]. Usiku mwemeni jamani nawakaribisha mniungishe bidhaa Valentine is around the corner[emoji3059]View attachment 2512068
Hizo Selected for Null hukuitwa pia kwa maana hiyo wale wa Selected for null ndio baba jane byebye
 
Eeh leo nmekuta mibishano na mimi vitu ambavyo sion faida ya kuficha nasema tu, roho imeniuma mlivyomsema mmoja huko juu kuwa muongo... Mimi naingia NAOT nlimindiwa kuwa nina barua ya utambulisho imemuaddress Katibu kama Katibu muhtasi, maskini ya Mungu sikujua kama hivi vitu ni tofauti, barua nmekuwa naitumia tangu May sijawahi badilisha, nlipelekwa hadi kwa boss kumuita katibu "katibu muhtasi" nlisemwa mwanasheria mzima sijui maana ya katibu muhtasi, mara chuoni hamfundishwi, nlikaa tu kimya naambiwa nirudi Dar nipewe barua mpya[emoji23], boss wala hakumind chochote akaniruhusu tu nikafanye usaili, wenzangu washaanza huko mimi ndo naruhusiwa, naingia ndani huyo dada alienimind namkuta, swali lake lilikuwa la mwisho, lina vipengele viwili na akanikazia kweli, nikasema hapa Mungu tu alitaka niongeze CV kwenye experience yangu ya utafutaji, nakumbuka hiyo siku jana ake ndo ajali ya ndege, nkakumbuka watu waliopoteza maisha, waliokuwa na kazi zao kwenye mashirika makubwa huko hatunao tena, nkapata nguvu mpya na kurudi Dar kuendeleza mapambano.
Dah!! Pole sana
 
Wale wazee wa status...me zile ambazo nlifanyaga oral na sikuitwa kazini imeandikwa Selected for oral interview pamoja na hii ya Mda nayo imeandikwa selected for oral interview..ila ninazosubiria placement zake imeandikwa selected for null
Hii nayo ni changamoto nyingine
 
Hivi hakuna teknolojia ya kujib maswali then we unafanya kuyarudia tu kwa saut[emoji23]

Yani iwe kama zile earpiece translators ambazo unavaa then ukiwa unaongea na mtu wa lugha tofaut na yako zinatranslate moja kwa moja sio mpaka mkaliman au google

Unaingia oral unavivaa,kila swali linajibiwa we unafanya kurudia kwa saut tu[emoji23]

Kama vile chatGPT inavoturahisishia mambo
 
Hivi hakuna teknolojia ya kujib maswali then we unafanya kuyarudia tu kwa saut[emoji23]

Yani iwe kama zile earpiece translators ambazo unavaa then ukiwa unaongea na mtu wa lugha tofaut na yako zinatranslate moja kwa moja sio mpaka mkaliman au google

Unaingia oral unavivaa,kila swali linajibiwa we unafanya kurudia kwa saut tu[emoji23]

Kama vile chatGPT inavoturahisishia mambo
Unajipa Stress tu 🤣🤣🤣 mpk unawaza Cheating
 
Unajipa Stress tu 🤣🤣🤣 mpk unawaza Cheating
Huu woga alikuwanao unaweza kumpelekea kufeli sio kwamba nataka hivi Ila atulie bhana Kichwa kitulie.. Usaili wa Oral PSRS mtu anafanya dakika 5 akaondoka, anacomplicate nn .
yesamrich soma/jiandae kimyakimya sio mpaka members wote wa JF tujue kuwa una Usaili...!!

Wewe ukimaliza hyo interview basi Huku kwenye issue ya Status ndo utakuwa na wenge balaaaaaah😁
 
Sometimes nawaza kwa nini watu uwa wanabisha vitu wanavyoambiwa kwamba vimefanyika kwa mtu, mfano mtu adanganye nina not selected for null ili apate faida gani. Inshort not selected for null zipo vizuri tu na hapo mtu kashafanya oral kwenye app anaandikiwa not selected for null. Sioni ulazima wa kubishana ama kusema mtu anadanganya and all that, mimi mwenyewe ni shuhuda wa hilo na sijawahi kuwa fun wa Mr Uongo, so ni kweli not selected for null zipo.
Ni kweli kabisa na mimi leo nimeiona.
 
Huu woga alikuwanao unaweza kumpelekea kufeli sio kwamba nataka hivi Ila atulie bhana Kichwa kitulie.. Usaili wa Oral PSRS mtu anafanya dakika 5 akaondoka, anacomplicate nn .
yesamrich soma/jiandae kimyakimya sio mpaka members wote wa JF tujue kuwa una Usaili...!!

Wewe ukimaliza hyo interview basi Huku kwenye issue ya Status ndo utakuwa na wenge balaaaaaah😁
Arafu unakuta hii nafasi ni Yake atulize Akili na achukulie Poah tu Yeye mwenyewe atakuja kujishanga kwenye Mikeka
 
Back
Top Bottom