HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
e519031e-20f9-440e-b1ac-95fb85971954.jpeg
 
Hizo"NOT" words unatokeaje kwa PDF mkuu...!!
halafu kibaya zaidi wanaandika kwa rangi nyekundu Bora hata ingekuwa rangi ya Zambarau ingependez

Kiupande wangu labda tu niseme tu kuwa hao wanaosema hvyo Huwa wanajifariji tu ili kukabiliana na Uhalisia, Ila hivi vitu lazima viwe na maana kabisa,, ndo maana ukifaulu written lazima utakuta mambo yamechange pia kwenye account, So vitu vinategemeana hivi
Kabisa na hizi status zina implication yake sio mapambo
Aya sasa wale walikua wanabisha na kuwaita watu waongoo njoo
 
Achaneni na status mtakufa kwa presha. Usaili nilianzia Oral ila status zinabadilika Kila uchao kama hivi
1. Shortlisted for oral
2. Selected for null
3.
4. Selected for Oral
 
Back
Top Bottom