HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kikubwa Ajibu swali Yao ikiwezekana kwa ufasaha kabisa,, hayo mambo ya Eye kuntact Wala hayawezi kumkosesha kazi, kwanza nature ya watoto wa kike inajulikana ni aibuaibu hivi.
Sasa aende akatumbue mamcho na hyo eye contact halafu maswali achemke,,

NOT SELECTED FOR NULL itamuhusu tena ya Herufi kubwa..

hayo Wala
[emoji23][emoji23]not selected for null dah,et namm after that ntaanza kimuhe muhe cha kuhangaika na status chaaa
 
Kikubwa Ajibu swali Yao ikiwezekana kwa ufasaha kabisa,, hayo mambo ya Eye kuntact Wala hayawezi kumkosesha kazi, kwanza nature ya watoto wa kike inajulikana ni aibuaibu hivi.
Sasa aende akatumbue mamcho na hyo eye contact halafu maswali achemke,,

NOT SELECTED FOR NULL itamuhusu tena ya Herufi kubwa..

hayo Wala
Unaonaga zile karatasi wanazokua nazo wale panelists wanazijaza?unadhani huwa wanajaza tu jinsi ulivyojibu maswali?
Hujawahi kuskia mtu anakuambia kuwa kuna maswali kadhaa alichemka kuyajibu lakin mkeka ukitoka yumo,unadhani hizo marks zilizomfanya afaulu zinatoka wapi kama sio kwenye vitu vidogo kama hivyo ambavyo wewe kwako unaona kama ni upuuzi?
 
Trade officer
Nilifanya interview ya hiyo kada 2016.
Maswali ninayoyakumbuka ya oral.
1.Mention 5 procedures za mtu kupata business licence.
2.types of business operations na kuzielezea
3.measures to be implemented in order to make people to pay for their expired business license.
4.responsibilities of Trade officer.
Yalikua 7 hayo mengine nimeyasahau
 
Thank u so much boss,Mungu akubariki baba,nazidi kupata mwanga sasa.
 
Sijasema ni upuuzi hebu elewa ww jamaa..!! tena hilo suala Wala sijalikataa ila nimejaribu kusisitiza kwenye kujibu Maswali hilo ndio jambo la msingi.. kwani Eye contact ina ugumu gani ww, si kumwangali tu mtu.
.
Basi nipe na ushuhuda aliyepata placements bila kujibu maswali then akafaulu kwahyo Eye contact weka hapa basi.
Unaonaga zile karatasi wanazokua nazo wale panelists wanazijaza?unadhani huwa wanajaza tu jinsi ulivyojibu maswali?
Hujawahi kuskia mtu anakuambia kuwa kuna maswali kadhaa alichemka kuyajibu lakin mkeka ukitoka yumo,unadhani hizo marks zilizomfanya afaulu zinatoka wapi kama sio kwenye vitu vidogo kama hivyo ambavyo wewe kwako unaona kama ni upuuzi?
 
Sijasema ni upuuzi hebu elewa ww jamaa..!! tena hilo suala Wala sijalikataa ila nimejaribu kusisitiza kwenye kujibu Maswali hilo ndio jambo la msingi.. kwani Eye contact ina ugumu gani ww, si kumwangali tu mtu.
.
Basi nipe na ushuhuda aliyepata placements bila kujibu maswali then akafaulu kwahyo Eye contact weka hapa basi.
Kwa nini nijisumbue kukupa ushahidi?
Wewe ni nani mpaka nikupe ushahidi?
Kila mtu aendelee kuamini anavyoamini.full stop
 
Nilifanya interview ya hiyo kada 2016.
Maswali ninayoyakumbuka ya oral.
1.Mention 5 procedures za mtu kupata business licence.
2.types of business operations na kuzielezea
3.measures to be implemented in order to make people to pay for their expired business license.
4.responsibilities of Trade officer.
Yalikua 7 hayo mengine nimeyasahau
Pia kama una majibu yake unaweza yaweka hapa kama ikikupendeza,mm na wa oral wenzangu wa sasa na wajao tunufaike.
 
Mkuu take time jisomee kwanza hizo touch unaweza kuzipitia hata kwenye bus, tumia huu muda kusoma.

Mpaka sasa swali ulilo nalo la wazi ni tell us about yourself ila hayo manne yaliyobakia ni ya kada uliyoomba.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom