yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,585
- 4,590
[emoji23][emoji23][emoji23]aseee mm bado kabisa huko.Wewe kapiga kwanza Oral haya mambo ya Status bado kwanza[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]aseee mm bado kabisa huko.Wewe kapiga kwanza Oral haya mambo ya Status bado kwanza[emoji16]
Ipo mbona mkuu, weka yako tuone basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo BSS mie hoi,naskia kuna kiti sjui unakaa sjui unasubr ukaribishwe that idk my friendHivi hizo oral inteview unakuwa umekaa au umesimama kama uko kwenye bongostar search.
Mpaka kieleweke,Mungu anisimamie.Komaa mkuu
Uko na miezi mingapi Toka ufanye Oral..?
Kama nikukaa basi vzr.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo BSS mie hoi,naskia kuna kiti sjui unakaa sjui unasubr ukaribishwe that idk my friend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aloooKama nikukaa basi vzr.
Kusimama watu wangekuwa wanaanguka, au kutoa haja ndogo.
SELECTED FOR nullWakuu c tumekubaliana leo app isome" selected for null, kwa uliopiga oral.
na ile ulioshindwa kufika oral isome
"not selected for oral interview"
imesoma hvo afsaYaaap mkuu, kwako Leo inasomaje..?maana juzi kulikuwa na changes hapa kwenye App hadi watu wakaanza kudata
kwangu imesoma hvo mkuuNull leo mbn hamna au sio kwa wote?
yaah luteniSELECTED FOR null
Kwa herufi kubwa.
ulimaliza lini oral ?yaah luteni
siku ya 4 sasa, ilianza null then ikaja practical interview now imegota SELECTED for null ila ambayo sijafika oral nimeandikiwa not selected for oral interview mkuuulimaliza lini oral ?
Iko hivi ukifika mlangoni usiingie kama chooni we gonga mlango then watakuruhusu uingie,ukiingia pale ndani ya chumba cha usaili,utakuta kuna kiti..wewe cha kwanza ukishafika ndani wasalimie goodmorning/goodafternoon or good evening ladies and gentlemen,kutegemea na wakati zamu yako ilipofikiwa..kisha unawaomba ruhusa ya kukaa,unawauliza hivi May I sit please?then mmoja wao au wote kwa pamoja watakupa ishara ya kukaa,usikimbilie kukaa kabla hujakaribishwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo BSS mie hoi,naskia kuna kiti sjui unakaa sjui unasubr ukaribishwe that idk my friend
naona mabadiko hutokea kwa utofauti wa taasisi hadi taasisi.siku ya 4 sasa, ilianza null then ikaja practical interview now imegota SELECTED for null ila ambayo sijafika oral nimeandikiwa not selected for oral interview mkuu
Mkuu me mwenyewe napenda kuingia kwenye mrija wa asali sijapata nafasi kama walivyo wengine ambao awajapata nafasi ya kuitumikia nchi yetu kikubwa kumuomba Mungu penye ugumu pawe pepesi ata tunapo anguka tusikate tamaaUko sahihi kabisa.Mfano wewe Hapo si tayari umeshajiari na unapata pesa kila siku.
Ukiandikiwa selected ya kijani inamaana umefaulu oral interview?Hiyo ni comment iliyowahi kuandikwa humu kwenye huu uzi huko juu
Subiri PDF mkuu au chochea moto jamaa wa flash atupie placement leo mambo ya status utakufa BP, kabla hata hujalamba asali.Ukiandikiwa selected ya kijani inamaana umefaulu oral interview?
Asante sana mkuu[emoji120]Iko hivi ukifika mlangoni usiingie kama chooni we gonga mlango then watakuruhusu uingie,ukiingia pale ndani ya chumba cha usaili,utakuta kuna kiti..wewe cha kwanza ukishafika ndani wasalimie goodmorning/goodafternoon or good evening ladies and gentlemen,kutegemea na wakati zamu yako ilipofikiwa..kisha unawaomba ruhusa ya kukaa,unawauliza hivi May I sit please?then mmoja wao au wote kwa pamoja watakupa ishara ya kukaa,usikimbilie kukaa kabla hujakaribishwa.