HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sikuwahi kuwa muumini wa status na sikuwahi kuangalia status yangu tangu nilipofanya oral. Nilikuja kuiangalia baada ya kuona jina langu kwenye placement na nikakuta imeandikwa SELECTED FOR ORAL interview number ______

Kwa hiyo sijui kama ilikuwa inabadilika badilika au la.

Kwa nini nilichukua uamuzi huo? kwa sababu haijawahi kuthibitika kuwa baada ya oral majibu ya kupata nafasi yaaweza kujulikana kupitia status, na hadi sasa hili bado halijathibitika.

Pia endapo kama status inatoa majibu ya kufaulu Oral, PSRS wangekuwa wanatujulisha kutembelea akaunti zetu na kuona hayo majibu.

Ikumbwe kuwa kipindi cha nyuma wakati PSRS walipoanza kutumia huu mfumo wa Online(Ajira portal) walikuwa wanatoa tangazo kwenye website yao kuwa Placement zimetoka na kusema wahusika watembelee website kwenye section ya placement ili kuona majina yao.

Sasa kama status zingekuwa zinatoa majibu ya Oral wangekuwa wanatuambia tuangalie akaunti zetu na kuona hayo majibu.

Kila siku huwa mnajadili mambo ya status ila huwa nawaangalia tu na kulike comments zenu bila kuwavuruga maana mlishachagua hilo na mimi nilishachagua kutozifuatilia isipokuwa PDF pekee ndiyo yenye majibu sahihi ya Oral.
Hata nyie za kwenu kabla ya PDF kutoka status ilibadilika kutoka kwenye selected for null kwenda selected for practical. Nilijaribu kumuuliza mtu mmoja akaniambia kuwa selected for practical means umekuwa selected kwenda kwenye training kabla ya kuanza kazi. Ukisema kuwa status hazina maana hautakuwa sahihi kwa sababu mbona hizi za MDA na LGA tulianza kwanza kuangalia status kabla matokeo hayajatoka. Kama status hazina maana niletee mtu ambae kwenye hizi za MDA na LGA aliandikiwa not selected kwenye app halafu kwenye pdf ameandikiwa selected?. Tukubali kuwa sasa hivi utumishi wanajitahidi kutoa majibu mapema kabla ya kuyaweka kwenye pdf. Inaonekana zoezi la kusahihisha linakuwaga mapema ila issue ya protocal inachelewesha. So may be wanataka kutumia status ili kuwapa watu muda wa kujiandaa mapema
 
Suala la status tunalizungumzia baada ya Oral na majibu ya placement(kupata nafasi ya kazi).

Hilo la baada ya written kwenda Oral linajulikana na huwa ni sahihi.

Sasa naona umeleta jambo lingine jipya pia, kwamba ukiona selected for Practical baada ya Oral ujue kuwa umechaguliwa kwenda training kabla ya kuanza kazi? Hebu nipe ukweli juu ya hili
 
Nikupe ukweli gani kaka wakati nimekwambia tu ni mtu nilimsikia anasema, sina proof yoyote. So i stand to be corrected
 
Sio kweli mkuu hilo unalolisema practical ni kwa watu wenye saili 3...wrttn,prac, and oral
Sawa kama ni hivyo lakini bado ina maana kwetu. Ina maana mpaka naandikiwa (japo ni kimakosa) kwenda practical means hatua ya oral nimefanya vizuri kiasi cha kuniwezesha kwenda hatua inayofuata. Naamini kuna ambao hawapiti kwenda hatua ya practical
 
Suala la status tunalizungumzia baada ya Oral na majibu ya placement(kupata nafasi ya kazi).

Hilo la baada ya written kwenda Oral linajulikana na huwa ni sahihi.

Sasa naona umeleta jambo lingine jipya pia, kwamba ukiona selected for Practical baada ya Oral ujue kuwa umechaguliwa kwenda training kabla ya kuanza kazi? Hebu nipe ukweli juu ya hili
Sitamani kumuunga Mkono Mshasha wane lkn kuna muda km anataka kuingia kwenye Point ya Msingi lkn anatoka Kwa kusema NILIMSIKIA MTU baadae PDF ukitoka tutatoa Ushuhuda
Ni kwanini Kwenye App ndiyo kuna mabadiliko ya Status Baada ya Written kutoka.

1. Matokeo ya Written yakitoka Kabla ya PDF
Status kwenye App inakuwa SELECTED for NULL wakati huo huo kwenye Web inakuwa SELECTED for ORAL.

2. Kabla matokeo ya ORAL kutoka (Baada ya weeks 3+ kufanyika Kwa ORAL)
Status inachange kwenye App Kutoka Kuwa SELECTED for NULL inaenda kuwa SELECTED for Practical Interview (ikimbukwe hii Kada haikuwa na Utaratibu wa Practical) wkt wa mabadiliko yote haya lkn Web bado inaendelea Kusimamia Msimamo wake SELECTED for ORAL.

3. Siku 2 Mbele baada ya kuwa SELECTED for Practical kwenye App
Status inarudi kwenye Hali yake ya kawaida km stage ya kwanza (Baada ya Written) inasomeka SELECTED for NULL au NOT SELECTED for NULL bado mgomo uliopo kwenye Web unaendelea Vile vile SELECTED for ORAL .

Tuwaombe tu wenye haya mabadiliko mkeka ukitoka mje na shuhuda zenu ili huu Mjadala wa kujirudia rudia bila mafanikio uwezi kufika Mwisho.

Muda Mwingne tusipende kuwatupia Lawama Sekretarieti ya Ajira kwanini awatoi ufafanuzi (Upanuzi km Jamaa yetu Moja alivyosema huko Juu) kuhusu ili Swala la Status majibu yake Kwangu kuhusu kutokutoa ufafanuzi Uwenda ni sababu Jamii ya waombaji wengi wa Ajira wanatumia Website na sio App na hii inaweza sababishwa na sababu za Kiuchumi maana sio kila anaeomba na kufanya Usahili wote wanamiliki Smartphone wengine Process zote za kuomba na kutuma Maombi wanafanyia Stationery matokeo wanapata taarifa Kwa marafik nakurudi tena Stationery kujihakikishia walichoambiwa (tukumbuke mabadiliko yote ya status yanaoneka kwenye Application tu na sio Web) hatuoni kama ufafanuzi ukitolewa ni kuwanyima haki wasahiliwa wasio kuwa na Smartphone maana hawataweza kuyaona hayo Yote?!

Tuendelee kuamini status zina maana yake Japo hatujui tafsiri zake n zipi lakini Kwa sababu ya Ujobless wetu mkombozi wa Mwisho ni PDF.
 
Nyie wenye selected for null mnasunbua asee, mngejua ukweli mngetulia tuuu.🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Nyie wenye selected for null mnasunbua asee, mngejua ukweli mngetulia tuuu.🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
😂😂😂😂
 
Kuna watu walishakuwa na selected for null, kama nyie, na bado wali lia[emoji26][emoji26][emoji26][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa ni subra pdf itatoa taswira halisi, pengine sasa naona kama mmeshatawanywa maana kuna:-
1. Selected for null
2. Selected for oral
3. Not Selected for null/oral

Ila haya yote hayana maana mpaka pdf itoke msichoshe akili zenu.
 
Na ukweli ushawapa kwenye upanuzi wa hoja yako.
Vijana karibu wote humu leo wamekubaliana status zina maana, wachache hawajakubali hilo but subir siku kadhaa kutoka leo izi kauli utaziona, karibu wote watakua wanazipinga status.

Uyu IT wa status wa PSRS ana stahili tuzo kaweza kuwasubua watu na degree zao na elimu zao kila wanapo amka na majib hawapat, n kesho kundi kubwa litaamka litasema status hazina maana, kesho kutwa watu wataamka watasema status zina maana. Popote ulipo IT just keep confusing them inawasaidia hawa vijana kupat mada na kupunguza stress.
 
Back
Top Bottom