HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Iko hivi ukifika mlangoni usiingie kama chooni we gonga mlango then watakuruhusu uingie,ukiingia pale ndani ya chumba cha usaili,utakuta kuna kiti..wewe cha kwanza ukishafika ndani wasalimie goodmorning/goodafternoon or good evening ladies and gentlemen,kutegemea na wakati zamu yako ilipofikiwa..kisha unawaomba ruhusa ya kukaa,unawauliza hivi May I sit please?then mmoja wao au wote kwa pamoja watakupa ishara ya kukaa,usikimbilie kukaa kabla hujakaribishwa.
Ckuhizi naona kama mambo yamebadilika huwezi kugonga mlango pale maana kuna Sekretari pale anakuita then una mkabidhi vyeti wanaingia navyo ndani baada ya Muda ndio unaitwa.
 
Wale wazee wa status...me zile ambazo nlifanyaga oral na sikuitwa kazini imeandikwa Selected for oral interview pamoja na hii ya Mda nayo imeandikwa selected for oral interview..ila ninazosubiria placement zake imeandikwa selected for null
 
ulikuwa unauliza je ni lazima kujibu maswali yote?
Yaan labda nilikuwa nabase kwenye zile points wanazotaka(5).. yaan kuna swali unaulizwa but kupata zile points 5 zote ndio changamoto.
But kujibu Maswali yote na idadi ya points zote wanazotaka ndio vizuri maana inakuweka kwenye chance kubwa ya kufaulu.

Ila kama umeattempt vizur maswali ma3 ya darasani then swali 1 likakupindua miguu juu Kichwa chini au umekumbika kapoint kamoja hyo sio Mbaya hailingani na kushindwa maswali yote ma2 kama huyo Mshikaji wa member mwenzetu humu.
Mkuu Mecqo alikuwa anawaambia kuwa "Ndo nakumbuka hizo"
Wala sio case kikubwa ni UHAI tu bhana.
 
Kuna Oral moja tulifanya kwenye panel kulikuwa na mzee mmoja alitutandika swali hilo kila mtu alijibu anavyojua yeye, tulivyotoka ikabidi tuulize yule mzee ni nani wakasema ilibidi awe Professor ila wanamchelewesha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
selected for null "" null"" ni sawa na kitu ambacho hakipo, au unaweza sema bado papo wazi hapaja jazwa. Au ""void"" so it means ukiwa selected for null umechaguliwa but kwakua ni null "" hatima yako haijulikani"" so either
(A) ukifanya vizuri sana kwenye oral ""null"" yako itakupeleka kwenye taasis uliofanyiwa oral.

(B) Wenzako waki perform kuliko ww ""null"" yako, japo umefanya vizur itakupeka data base ambapo utasubir kupangiwa taasis endapo nafasi za course yako zitapatikana.

(C)Pia null yako hatima yake isipo patikana, umekosa taasis uliofanyia oral, nafasi za database zimekua chache kwa course yako kiasi kwamba umemaliza mda wa mwaka mmoja hujapangiwa taasis kutoka database,""null"" yako ina expire na unakua baba jeni bye bye.

Note
Ni mawazo yangu na sio sheria.
 
Poti huu ni ufafanuzi au upanuzi? Hahahah!
 
Mkuu,hapa pia nimekumbuka lingine,waliuliza mention 5 qualities of public servant.
Binafsi nilijibu
1.Respect to the laws of the country
2.Providing services equally to all people regardless of their political affiliation
3.Respect to all leaders
4.Not affiliating to any political party.
5.Intergrity

Najazia
-professionalism
-Accountability
-Respectful for diversity
  • Hardworking
  • Integrity
 
selected for null "" null"" ni sawa na kitu ambacho hakipo, au unaweza sema bado papo wazi hapaja jazwa. Au ""void"" so it means ukiwa selected for null umechaguliwa but kwakua ni null "" hatima yako haijulikani"" so either
(A) ukifanya vizuri sana kwenye oral ""null"" yako itakupeleka kwenye taasis uliofanyiwa oral.

(B) Wenzako waki perform kuliko ww ""null"" yako, japo umefanya vizur itakupeka data base ambapo utasubir kupangiwa taasis endapo nafasi za course yako zitapatikana.

(C)Pia null yako hatima yake isipo patikana, umekosa taasis uliofanyia oral, nafasi za database zimekua chache kwa course yako kiasi kwamba umemaliza mda wa mwaka mmoja hujapangiwa taasis kutoka database,""null"" yako ina expire na unakua baba jeni bye bye.

Note
Ni mawazo yangu na sio sheria.
kwa upanuzi hu, naomba psrs wanirudishie null yangu walioiondoa juzi[emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Back
Top Bottom