mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,189
Ooohhh kumbe
selected for null "" null"" ni sawa na kitu ambacho hakipo, au unaweza sema bado papo wazi hapaja jazwa. Au ""void"" so it means ukiwa selected for null umechaguliwa but kwakua ni null "" hatima yako haijulikani"" so either
(A) ukifanya vizuri sana kwenye oral ""null"" yako itakupeleka kwenye taasis uliofanyiwa oral.
(B) Wenzako waki perform kuliko ww ""null"" yako, japo umefanya vizur itakupeka data base ambapo utasubir kupangiwa taasis endapo nafasi za course yako zitapatikana.
(C)Pia null yako hatima yake isipo patikana, umekosa taasis uliofanyia oral, nafasi za database zimekua chache kwa course yako kiasi kwamba umemaliza mda wa mwaka mmoja hujapangiwa taasis kutoka database,""null"" yako ina expire na unakua baba jeni bye bye.
Note
Ni mawazo yangu na sio sheria.