HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haya wale mkiobisha kuwa hakuna "Not selected for null" baada ya Oral Madam Maryjuan hapo juu katusaidia, nilichogundua kuwa zipo tena nyingi tu Ila watu wanaona jau kuweka humu ndo tunaishia kubishana kama vile hahahahaha[emoji23][emoji23]
Eeh leo nmekuta mibishano na mimi vitu ambavyo sion faida ya kuficha nasema tu, roho imeniuma mlivyomsema mmoja huko juu kuwa muongo... Mimi naingia NAOT nlimindiwa kuwa nina barua ya utambulisho imemuaddress Katibu kama Katibu muhtasi, maskini ya Mungu sikujua kama hivi vitu ni tofauti, barua nmekuwa naitumia tangu May sijawahi badilisha, nlipelekwa hadi kwa boss kumuita katibu "katibu muhtasi" nlisemwa mwanasheria mzima sijui maana ya katibu muhtasi, mara chuoni hamfundishwi, nlikaa tu kimya naambiwa nirudi Dar nipewe barua mpya[emoji23], boss wala hakumind chochote akaniruhusu tu nikafanye usaili, wenzangu washaanza huko mimi ndo naruhusiwa, naingia ndani huyo dada alienimind namkuta, swali lake lilikuwa la mwisho, lina vipengele viwili na akanikazia kweli, nikasema hapa Mungu tu alitaka niongeze CV kwenye experience yangu ya utafutaji, nakumbuka hiyo siku jana ake ndo ajali ya ndege, nkakumbuka watu waliopoteza maisha, waliokuwa na kazi zao kwenye mashirika makubwa huko hatunao tena, nkapata nguvu mpya na kurudi Dar kuendeleza mapambano.
 
Sometimes nawaza kwa nini watu uwa wanabisha vitu wanavyoambiwa kwamba vimefanyika kwa mtu, mfano mtu adanganye nina not selected for null ili apate faida gani. Inshort not selected for null zipo vizuri tu na hapo mtu kashafanya oral kwenye app anaandikiwa not selected for null. Sioni ulazima wa kubishana ama kusema mtu anadanganya and all that, mimi mwenyewe ni shuhuda wa hilo na sijawahi kuwa fun wa Mr Uongo, so ni kweli not selected for null zipo.
Daah wameniita muongo apa kisa kuulizia status ya mwanangu ipo not selected for null
 
Nimeitafuta ile stutus sii ioni yani,,,, ila hiyo aliyotuma dada etu ya NOAT
Not selected for null (apps)
Not shirtlisted (web)
Sasa hawa kama walitokea kwe placement Waje hapa sasa hivi
 
Nimeitafuta ile stutus sii ioni yani,,,, ila hiyo aliyotuma dada etu ya NOAT
Not selected for null (apps)
Not shirtlisted (web)
Sasa hawa kama walitokea kwe placement Waje hapa sasa hivi
Mimi kwenye web zote tatu ni selected for oral, kwenye app moja ndo hiyo not selected for null. Ndo kiufupi nlishindwa zielewa status na sio mdau, hapa nmeingia tu kuscreenshot evidence[emoji23]
 
Back
Top Bottom