HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna kitu kinaitwa kukubaliana na hali mkuu maana ikitokea umedondoka usikate tamaa jiandae upya kwa ku note vipengele ulivyokosea, wale utumishi wanakawaida ya kupenda kubase kweny vitu flan kwenye kada husika ukivijua soma adi nukta
Kitu pekee kwa sisi watu wa imani, ni kwamba katika yote unayofanya mtangulize Mungu mbele. Mimi nakumbuka wakati nafanya written, nilikuwa lazima nifanye maombi kila baada ya swali moja.
 
Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Karibu katika utumishi wa Umma.
 
Hivi samahani inawezekana kabisa kupata kazi bila kusota na received za kila aina?

Yaani ni lazima upitie ups and downs za kutosha ndio wakuajiri, au inatokea tu kama coincidence?🌚
NDio inawezekana, zidisha sana maombi na ujiandae vizuri kwa usaili.
 
Mambo ya bajeti wewe hayakuhusu, cha muhimu pambana upate kazi.
Pdf zenyewe wanatoa Moja Moja watakua washafulia hao,nakumbuka 2023 walikua wanatoa pdf kuanzia asubuh Hadi usiku wa manane ,ila mwaka huu hawana speed kabisa
 
Hivi samahani inawezekana kabisa kupata kazi bila kusota na received za kila aina?

Yaani ni lazima upitie ups and downs za kutosha ndio wakuajiri, au inatokea tu kama coincidence?🌚
Kama historia ya mambo yako mengi hufunguka bila juhudi kubwa basi una bahati na kazi pia utaipata kibahati na kuna wale hutumia juhudi nyingi na kweny kaz lazima wapitie msoto illi kuipata. Omba bahati kuepusha stress
 
Hivi samahani inawezekana kabisa kupata kazi bila kusota na received za kila aina?

Yaani ni lazima upitie ups and downs za kutosha ndio wakuajiri, au inatokea tu kama coincidence?🌚
Kusota ni lazima huwezi ukapitapita tu hivi hivi yaan kuna wenzio wanaenda mpaka mara 10/20/30/40 na kuna mwamba anasema kaenda zinafika mara 50 sasa hivi kaamua awe dereva bajaj tu na ajihusishe na masuala ya ufundi magari huko labda na udereva cheti cha academic katia kabatini yaan tangu mwaka 2016 anasotea tu ajira na hajapata anaishia oral tu basi sasa hivi kasema basi inatosha haendi tena Dodoma, anasema kuna interview moja walikua wanatakiwa watu wawili kwenye kupita mpaka oral wakabakia watatu na yeye akiwemo akasema hii Mungu ameniona kwenye kuitwa kazini jamaa kaachwa peke yake wenzake wawili wamechukuliwa
 
Unataka kusema Kuna chief humu ndani kasema tuzingatie ufanano wa hyo app na web.

Huyo bwana kanisababisha nione kama nimeanza kuugua tezi dume kwa kuwa nasubiri hzo pdf kwa hamu.
Mtapata ajira tu vijana kikubwa kusubiri inaweza jina lako likawa placed as 2026/2027/2028 na ulifanya mwaka huu 2025 kwa hio muwe wavumilivu tu endeleeni kusubiri bila kuchoka
 
Back
Top Bottom