HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ingekuwa ajiraportal saivi tungekuwa tunaangalia selected na not selected lakini kwa upande wa TRA inaweza chukua hata wiki tatu kujua matokeo ivyo tusubirie tuu Mkuu
Vipi format ya maswali ikoje? Ni mwendo wa kubeti (Multiple choice)au kulikuwa na mengineyo? Na kama yalikuwepo yalikuwa ni ya muundo gani?
 
Niseme tu kwamba, paper za leo asubuhi ni kukamilisha ratiba tu kwa hao TRA, usimamizi F, darasa la watu 2,000 wanasimamia watu watatu, mnabananishwa kama darasa la kwanza😂
Kiukweli hata mimi nimeshindwa kuelewa si bora hata wangewaachia utumishi waendelee kuwasaidia,...usimamizi mmbovu kwa upande kama wa sabasaba watu walikuwa wanafanya discussion ya paper,meza za kufanyia mtihani zimekaa round table kama za hotelini na wengine waliingia na simu wakapiga picha kutuma paper nje wakasaidiwe, it's too sad kwa tuliopoteza muda kusoma
 
inauma sana hiyo yani umesoma usiku kucha halafu unamuona mshenz mmoja anagoogle
 
hawa utumishi kama mitihani tunafanya kwenye mfuna na inasahishwa na mfumo si tungekua tunaona marks palepale baada ya pepa mie naanza kupata wasiwasi nao aisee
 
Maswali yalichanganywa la kwako la nne laweza kua la mwenzio la 8
Sidhani kama kuna uhalisia juu ya hilo kama watu wa custom kuna swali kilikosewa la kumi na saba na ikatangazwa kuwa swali namba hiyo linatakiwa liwe hivi, which means lilikuwa ni la kumi na saba kwa wote
 
Hujaelewa af unabisha!! Mtihani wa TMO maswali yalichanganywa namba ukigeza kucircle majibu kisa question number imekula kwako
 
Back
Top Bottom