HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Attachments

  • Screenshot_20250729_151611_Chrome.jpg
    Screenshot_20250729_151611_Chrome.jpg
    390.3 KB · Views: 27
Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Hongeraa Boss, kalitumikie taifa kwa Uadilifu.
 
H
Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Hongera sana mkuu ... Mungu ni mwema wakati wote....baraka nyingi zikazidi kuja upande wako mkuu.
 
Naomba kuzungumza kitu kuhusu hizi ishu za app sijui imekaaje.
Binafsi app na website ilikuwa ipo na "Shortlisted" tu mpaka hii leo asubuhi na si selected for oral. Kwa hiyo masuala ya kusema app iandikwe selected for oral ndio uamini kuwa ulifaulu oral interview si kweli. Hiyo selected for oral imekuja mara baada ya kupata placement na si kabla. Msikate tamaa.
 
hongera mkuu na ahsante kwa ushuhuda na kutujuza.. kwaiyo selected for oral imekuja leo baada ya placement kwenye app au web au both ?
 
Naomba kuzungumza kitu kuhusu hizi ishu za app sijui imekaaje.
Binafsi app na website ilikuwa ipo na "Shortlisted" tu mpaka hii leo asubuhi na si selected for oral. Kwa hiyo masuala ya kusema app iandikwe selected for oral ndio uamini kuwa ulifaulu oral interview si kweli. Hiyo selected for oral imekuja mara baada ya kupata placement na si kabla. Msikate tamaa.
Hongera mwl ukawe mtumishi mwema
 
Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Hongera sana na tunafurahi kuskia hivyo na n tumaini letu kila mmoja wetu atalamba buyu la asali insha'Allah šŸ¤²šŸ¾
 
Naomba kuzungumza kitu kuhusu hizi ishu za app sijui imekaaje.
Binafsi app na website ilikuwa ipo na "Shortlisted" tu mpaka hii leo asubuhi na si selected for oral. Kwa hiyo masuala ya kusema app iandikwe selected for oral ndio uamini kuwa ulifaulu oral interview si kweli. Hiyo selected for oral imekuja mara baada ya kupata placement na si kabla. Msikate tamaa.
Na mimi nakazia watu tutumie web, kwasababu hata wao utumishi wakifanya ONLINE APTITUDES TEST, hawatumii izo app wanatumia web so akili mkichwa🫔
 
Back
Top Bottom