HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vipi kwenye table interview wanakuwa wanabase zaidi wapi ,, content ya somo au kwenye mambo mazima yahusianayo na uwalimu ??
Educational background 1 qn
CLass management 1 qn
Teachers responsiblities 1 qn
Subject Content 2 qns
 
Vipi kwenye table interview wanakuwa wanabase zaidi wapi ,, content ya somo au kwenye mambo mazima yahusianayo na uwalimu ??
Mimi nikiwa mmojawapo wa tuliofanyiwa table interview, yafuatayo ni maswali ambayo niliulizwa;
Tell us about yourself,
Assessment tools- 4 points
Teaching methods- 5 points
Reasons for students not to understand the lesson-4 points
How to teach a certain subject until it is understood- Talk for as long as possible😁
Na sehemu ya mwisho nikaambiwa nielekeze mada niliyoiandaa kwa mdomo.
Muda usizidi dakika 10 kujibu yote hayo.
 
Nashukuru sana sana kwa kweli hapa nishindwe mwenyewe tu maana kila kitu kipo wazi ngoja nianza maandalizi mapema
 
Wakuu habari zenu,,hatimae na mimi nimelamba asali mkeka wa jana jioni,,msikate tamaa Subra ni ngumu ila usikate tamaa Muombe Mungu atajibu kwa wakati sahihi na fanyeni zile ibada za usiku zinalipa jamani huo ushuhuda wangu,,Mungu ni mwema jaman
Hongera sana. Hongera kwa kulamba asali
 
Wakuuu kwani nyie mna handle vip rejection za kufail written kila mara amabao mmekutana na hiyo hali😂😂😂🤣 aisee mimi ni inaniuma naona sina akili kabisa
 
Wakuuu kwani nyie mna handle vip rejection za kufail written kila mara amabao mmekutana na hiyo hali😂😂😂🤣 aisee mimi ni inaniuma naona sina akili kabisa
Hapan sio kwamba huna akili...la hasha wala kufeli usaili haimaanishi ww nanga.

Inategemeana na maswali ulokutana nayo siku hiyo kikubwa ni usife moyo ipo siku usiyo itarajia utapenya na hutaamini.

Omba na sali sana...Mungu anakuona na wala hajakutupa!
 
Wakuuu kwani nyie mna handle vip rejection za kufail written kila mara amabao mmekutana na hiyo hali😂😂😂🤣 aisee mimi ni inaniuma naona sina akili kabisa
Kuna kitu kinaitwa kukubaliana na hali mkuu maana ikitokea umedondoka usikate tamaa jiandae upya kwa ku note vipengele ulivyokosea, wale utumishi wanakawaida ya kupenda kubase kweny vitu flan kwenye kada husika ukivijua soma adi nukta
 
Attachments

  • 0C448BE0-3A4B-4943-8ABA-A46FC4CBE9FD.jpeg
    0C448BE0-3A4B-4943-8ABA-A46FC4CBE9FD.jpeg
    1.1 MB · Views: 28
Back
Top Bottom