HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Heading ya huu uzi inanikumbusha kuacha kubweteka na kusubiri kama nitaitwa kazini na utumishi baada ya kufanya usaili. Nimetimuka Dar, nipo zangu huku Chunya, kuna biashara za ulanguzi nilipata habari zinalipa.
Hongera mkuu...
 
Leo imepigwa Oral interview ya Accounts Officer II pale Dodoma Sekondari, aisee nawatakia Kila la kheri wote tulioshiriki interview Ile mambo yawe mazuri watu tukalambe asali, haijalishi ni SM, SU, ama STK kokote Kambi wazee muhimu Check number kwanza.
Bado unasibiri au tayari PDF ishasoma?
 
Nimefurahi sana kuona huu uzi bado unaendelea toka 2023 hadi 2025 bado watu wanaendelea kupata madini hapa
 
Nipo hapa kutoa ushuhuda, leo imekuwa siku ya furaha kwangu baada ya Mungu kunikumbuka na kupata kazi, nilifanya oral tarehe 4/06/2025, jana pia nilifanya written interview na nikafaulu kwenda oral wakati najiandaa na oral ya week ijayo napewa taarifa nimepata kazi.
 
Nipo hapa kutoa ushuhuda, leo imekuwa siku ya furaha kwangu baada ya Mungu kunikumbuka na kupata kazi, nilifanya oral tarehe 4/06/2026, jana pia nilifanya written interview na nikafaulu kwenda oral wakati najiandaa na oral ya week ijayo napewa taarifa nimepata kazi.
Hongera mkuu na karibu katika utumishi wa umma
 
Unataka kusema Kuna chief humu ndani kasema tuzingatie ufanano wa hyo app na web.

Huyo bwana kanisababisha nione kama nimeanza kuugua tezi dume kwa kuwa nasubiri hzo pdf kwa hamu.
Narudia tena mimi hadi nafika kituo changu cha kazi Shule ya Msingi Sabasaba, sijawahi kujishughulisha na hiyo app. Sasa anatokea mjuaji mmoja anakwambia ukiona kwenye app sijui kuna nini ujue umeliwa.
 
Pdf zenyewe wanatoa Moja Moja watakua washafulia hao,nakumbuka 2023 walikua wanatoa pdf kuanzia asubuh Hadi usiku wa manane ,ila mwaka huu hawana speed kabisa
Wao sio waajiri, wao ni wasaili.
 
Kama historia ya mambo yako mengi hufunguka bila juhudi kubwa basi una bahati na kazi pia utaipata kibahati na kuna wale hutumia juhudi nyingi na kweny kaz lazima wapitie msoto illi kuipata. Omba bahati kuepusha stress
Amina 😊
 
Nipo hapa kutoa ushuhuda, leo imekuwa siku ya furaha kwangu baada ya Mungu kunikumbuka na kupata kazi, nilifanya oral tarehe 4/06/2026, jana pia nilifanya written interview na nikafaulu kwenda oral wakati najiandaa na oral ya week ijayo napewa taarifa nimepata kazi.
Karibu sana katika utumishi wa umma. Ukifika kazini heshimu wakubwa zako..
 
Nipo hapa kutoa ushuhuda, leo imekuwa siku ya furaha kwangu baada ya Mungu kunikumbuka na kupata kazi, nilifanya oral tarehe 4/06/2026, jana pia nilifanya written interview na nikafaulu kwenda oral wakati najiandaa na oral ya week ijayo napewa taarifa nimepata kazi.
Hongera Sana kaka japo umefanya oral mwaka kesho😅😅 4/06/2026 ila najua ni furaha za kupata placement
 
Nipo hapa kutoa ushuhuda, leo imekuwa siku ya furaha kwangu baada ya Mungu kunikumbuka na kupata kazi, nilifanya oral tarehe 4/06/2025, jana pia nilifanya written interview na nikafaulu kwenda oral wakati najiandaa na oral ya week ijayo napewa taarifa nimepata kazi.
Hongera Sana mkuu karibu kundini👏👏👏
 
Nipo hapa kutoa ushuhuda, leo imekuwa siku ya furaha kwangu baada ya Mungu kunikumbuka na kupata kazi, nilifanya oral tarehe 4/06/2025, jana pia nilifanya written interview na nikafaulu kwenda oral wakati najiandaa na oral ya week ijayo napewa taarifa nimepata kazi.
Hii ndio bira kuchoka hongera sna mkuu
 
Hii speech ya katibu mmeisikia wazee ili upande daraja au uthibitishwe kazini lazima ukapige pepa kwanza hapa sjui imekaaje hii
 
Kuna sisi tuliopeleka maombi JWTZ mwaka huu kwa cheti cha form 4&6 mpaka sasa hv bado. Wenye taarifa zaidi tunaomba mtuambie
 
Back
Top Bottom