Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,237
- 4,480
Ata hiyo ina practicals?Habari wadau mwenye uzoefu au aliyewahigi kufanya practical interview ya data analyst TRA 2023.
Atoe hints kidogo
Mbona waletqja. Secretary tu
Ata hiyo ina practicals?Habari wadau mwenye uzoefu au aliyewahigi kufanya practical interview ya data analyst TRA 2023.
Atoe hints kidogo
Pole best wakati wako utafikaDah tulipiga written za ualimu nkapita kwenda oral nkapiga. Sahizi zimetoka PDF 21 zote bila bila yani nimekata tamaa.
Pole sana Mkuu, Mungu ni mwema utapata tu muda wako ukifikaDah tulipiga written za ualimu nkapita kwenda oral nkapiga. Sahizi zimetoka PDF 21 zote bila bila yani nimekata tamaa.
Mimi ya kwangu bado mwezi mmoja ijifungue 😀😀😃😀Sanaa aisee.
Mara ya kwanza nilijua ni First In First Out kumbe sivyo!.
Kuna received zinaenda kufikisha week 36 kama umri wa mimba ya kujifungua!.
Sijajua kama ina practical au lah ila nilikua nahitaji hints za practical za hii fani ya data analyst coz sijawahi fanya practical zake.Ata hiyo ina practicals?
Mbona waletqja. Secretary tu
MDA?Mimi ya kwangu bado mwezi mmoja ijifungue 😀😀😃😀
Mi nadhani wanaita kwenye interviews kulingana na mahitaji ya Waajiri kwa wakati huo, Waajiri wanaohitaji watu kwa haraka ndio wanawapa kipaumbele.Sanaa aisee.
Mara ya kwanza nilijua ni First In First Out kumbe sivyo!.
Kuna received zinaenda kufikisha week 36 kama umri wa mimba ya kujifungua!.
Huu ndo ukweli, ukisoma mkataba kwa mteja wa PSRS mchakato wa ajira unaweza kuendeshwa ndani ya mwezi moja ukakamilika. Shida huwa kwa waajiri, vibali vya ajira, bajeti ya kuendesha usaili n.k vitu vyote hivi huwa upande wa mwajiri.Mi nadhani wanaita kwenye interviews kulingana na mahitaji ya Waajiri kwa wakati huo, Waajiri wanaohitaji watu kwa haraka ndio wanawapa kipaumbele.
DuUuh, wahun sana hawa jamaaWaliomba mwezi wa kwanza kuanzia trh 10
Ndio kaka ni MDA&LGAMDA?
😀😀Heading ya huu uzi inanikumbusha kuacha kubweteka na kusubiri kama nitaitwa kazini na utumishi baada ya kufanya usaili. Nimetimuka Dar, nipo zangu huku Chunya, kuna biashara za ulanguzi nilipata habari zinalipa.
Tupe code twende na sisiHeading ya huu uzi inanikumbusha kuacha kubweteka na kusubiri kama nitaitwa kazini na utumishi baada ya kufanya usaili. Nimetimuka Dar, nipo zangu huku Chunya, kuna biashara za ulanguzi nilipata habari zinalipa.
duh kumbe kuna interview zinaendelea chini ya kapetLeo imepigwa Oral interview ya Accounts Officer II pale Dodoma Sekondari, aisee nawatakia Kila la kheri wote tulioshiriki interview Ile mambo yawe mazuri watu tukalambe asali, haijalishi ni SM, SU, ama STK kokote Kambi wazee muhimu Check number kwanza.