HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Hongera sana mkuu, usitusahau kwenye sala zako tuliobaki.
 
hongera mkuu na ahsante kwa ushuhuda na kutujuza.. kwaiyo selected for oral imekuja leo baada ya placement kwenye app au web au both ?
Kwenye web shortlisted imebadilika na kuwa Placed as: lakini kwenye app imebadilika kutoka shortlisted kuwa Selected for Oral na hakuna hiyo Placed as wala barua ya ajira. Barua ipo kwenye web. Hivyo nawashauri wasakatonge wenzangu muizingatie zaidi website.
 
Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Hivi samahani inawezekana kabisa kupata kazi bila kusota na received za kila aina?

Yaani ni lazima upitie ups and downs za kutosha ndio wakuajiri, au inatokea tu kama coincidence?🌚
 
Ndio wengi wanapata mbona ni bahati tu interview ya kwanza na hyo hyo anaitwa kazini
 
Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Hongera Sana Mkuu 👏
 
Wakuuu kwani nyie mna handle vip rejection za kufail written kila mara amabao mmekutana na hiyo hali😂😂😂🤣 aisee mimi ni inaniuma naona sina akili kabisa
Sisi tunaofika Oral na hatuoni majina yetu kwenye PDF baada ya Oral maumivu yetu ni ×500 ya maumivu yako, unapita Written, unapita Practical, unaenda Oral baada ya Oral hujioni tena ndio umeishia hapo hii inauma usisikie tu
 
Pole sana ila jipe moyo. Kama ulifanya oral ndani ya mwaka huu basi kaa tayari, you'll be "PLACED AS" wakati wowote.
 
Sawa mkuu ngoja tusubirie tuone hio "Placed As" stoamini macho yangu, unapiga written unasubiria unaona selected for practical unafanya practical unasubiria unaona selected for Oral baada ya Oral unasubiria "Placed As", sawa mkuu
 
Ulifanya lini oral
 
Hiyo umepata mkuu. Mwaka huu serikali inataraji kupata watumishi wengi wa kutosha, tena ikiwa ulifanya hizi za MDAs & LGAs ndo kabisa wengi wanahitajika
Sawa mkuu ila mimi sikufanya hio MDAs & LGAs wanaitwa wengi naona kila PDF zikitoka ningekua nimefanya hio ningekua nipo tayari nimeshaitwa, anyways ngoja tusubiri tu
 
Hapan sio kwamba huna akili...la hasha wala kufeli usaili haimaanishi ww nanga.

Inategemeana na maswali ulokutana nayo siku hiyo kikubwa ni usife moyo ipo siku usiyo itarajia utapenya na hutaamini.

Omba na sali sana...Mungu anakuona na wala hajakutupa!
Haya maneno ni mazito sana

Inategemeana na maswali ulokutana nayo siku hiyo kikubwa ni usife moyo ipo siku usiyo itarajia utapenya na hutaamini
 
Back
Top Bottom