HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Asante
Mwifwa mkuu, au kwa yeyote anaejua kama cheti cha kuzaliwa au deed poll ni majina matatu (Ngiri Mkia Juu) ila vyeti vya kitaaluma ni (Ngiri M Juu) inaweza leta shida utumishi au usaili wowote
Kuna rafiki yangu alikuwa na majina kama hayo hakupata shida Utumishi na tayari yupo kwenye ajira kwa sasa
 
Back
Top Bottom