HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
@Mwifwa njoo umeone baba jeni karudi
Nimemuona aisee, enzi zake uzi ulikuwa wa moto sana.[emoji23][emoji23][emoji23]

Pamoja na kuchangamsha uzi alikuwa msaada mkubwa wa kutoa miongozo, alipoamua kutoweka kuna gap la miongozo liliachwa, kama karudi na kuendelea kutoa miongozo pindi akiwa na nafasi itakuwa vizuri sana kwa wengine wanaoendelea kupambania Asali.

wizy
 
Kwa hiyo ulitaka akwambie wanatoa upendeleo au rushwa??
Mwamba fanya RESEARCH ndogo....Mimi nna SHUHUDA 5...za watu wa KARIBU kabisa wamelamba ASALI...Tena wametokea VIJIJINI KABISA...sasa SIELEWI nisimamie wapi hadi sasa...kwamba NISEME HAWATENDI HAKI ama?
Mimi naona kila mtu kwa Dini yake azidishe Maombi, ajiandae vizuri sana kwenye MITIHANI yao, nadhani hiyo ndiyo SILAHA namba MOJA kwanza kabisa. Mengine tumuachie MUNGU.
 
msaada jaman anaemfahamu Getruda Godwin Mchomba
amepata kaz ya internal Auditor wilya ya misungwin lakin hajalipoti mpka saivi yaweza kua hajui cz muda wakutipoti umshapita. kwa yoyote anae mfaham anicheki dm au kwa number 0757128792.nisaidie kushare na magroup mengine ya Account and finance
______________________

Kuna mtu aliposti huo ujumbe kule juu, sikuutilia maanani, kumbe ni kweli.

Huyu mhusika alikuwa kwenye Placement ya Tarehe 17/07/2023.

Kwenye hicho kitengo ni yeye peke yake aliyepangiwa, na huenda Mwajiri ana uhitaji sana ndio maana kaamua amtafute.

Mwenye kumfahamu asaidie apatikane
 
Kama ni hivyo mbona watu inakuwa nongwa wakipangiwa halmashauri tofauti na wizarani au mashirika ya umma?

Mie naona kinachomata zaidi kwangu ni perdiem tu ziwepo nyingi za kutosha.
Ona kama ofisi ya mkaguzi wa hesabu za serikali NAOT wanatumia mfumo wa TGS... ila wadau wengi wanapasifia sana kwa kuwepo na posho nyingi na safari.

Unaweza ukaajiriwa kwenye baadhi ya mashirika ya serikali kukawa hakuna posho nyingi na marupurupu regardless mshahara ukawa mkubwa let say 1.8M+, ambapo hata mtu wa halmashauri anaweza akauzidi au kuukaribia mshahara huo ukichanganya pamoja na marupurupu na mianya ya kupiga hela inategemea na halmashauri aliyopo na fani alioajiriwa nayo.
Walinda barabara mshahara sio mkubwa, ila masaa mengi ya kazi posho mlimaa...
 
msaada jaman anaemfahamu Getruda Godwin Mchomba
amepata kaz ya internal Auditor wilya ya misungwin lakin hajalipoti mpka saivi yaweza kua hajui cz muda wakutipoti umshapita. kwa yoyote anae mfaham anicheki dm au kwa number 0757128792.nisaidie kushare na magroup mengine ya Account and finance
______________________

Kuna mtu aliposti huo ujumbe kule juu, sikuutilia maanani, kumbe ni kweli.

Huyu mhusika alikuwa kwenye Placement ya Tarehe 17/07/2023.

Kwenye hicho kitengo ni yeye peke yake aliyepangiwa, na huenda Mwajiri ana uhitaji sana ndio maana kaamua amtafute.

Mwenye kumfahamu asaidie apatikane
KITU KAMA UKI GOOGLE ITAKUPA MWANGA ZAIDI HAPA...............nazingatia. Office privacy .............sijui vile ni vile multiple ama !!!!!!
Screenshot_20230801-033022.png
 
KITU KAMA UKI GOOGLE ITAKUPA MWANGA ZAIDI HAPA...............nazingatia. Office privacy .............sijui vile ni vile multiple ama !!!!!!View attachment 2705327
Basi ameamua asiende na abaki huko aliko. Huenda alifanya usaili akitarajia kupangwa sehemu aliyokuwa anaitaka mwenyewe badala yake akapangiwa Misungwi.

Hapa inabidi Mwajiri(DED Misungwi) atume taarifa PSRS ili aweze kupatiwa mtu mwingine
 
Msosi mwajiriwa !!!!!! Homgera kwa good explainatio. Aseeeeeee
 
View attachment 2703563
Kuna mlamba asali anatafutwa na mwajiri wake huko kwenye makundi ya wasap.

Kama kuna anayemjua tafadhali sana tusaidie kama bango linavyojieleza.

NB: Forwarded many times.
Huyu auditor maybe kaipiga chini hii nafasi ...maybe alitegemea anaweza pangiwa MDA. Rafiki yangu mmoja ilimtokea hii yeye ni accountant na CPA juu ila alipangiwa account officer halmashauri moja ya pwani na akaipiga chini. Wote tunaomba hizi kazi ila malengo yanatofautiana wengine wakipangiwa wasipotaka hawaendi.
 
Yani acha tu kwenye haya Maisha wengine wanaomba walau wapate hicho kidogo lakin wengine wanabagua
 
Huyu auditor maybe kaipiga chini hii nafasi ...maybe alitegemea anaweza pangiwa MDA. Rafiki yangu mmoja ilimtokea hii yeye ni accountant na CPA juu ila alipangiwa account officer halmashauri moja ya pwani na akaipiga chini. Wote tunaomba hizi kazi ila malengo yanatofautiana wengine wakipangiwa wasipotaka hawaendi.
Naomba kujua usipokwenda Nini kinatokea, unauwezo wa kuwa unaomba tena
 
Basi ameamua asiende na abaki huko aliko. Huenda alifanya usaili akitarajia kupangwa sehemu aliyokuwa anaitaka mwenyewe badala yake akapangiwa Misungwi.

Hapa inabidi Mwajiri(DED Misungwi) atume taarifa PSRS ili aweze kupatiwa mtu mwingine
Mwifwa mpaka mmeshakuwa mwazoefu kazini maana ni miezi sasa
 
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.

Hongera sana mkuu,

Wakati WA Mungu ndio wakati sahihi, na hilo limedhihilika. Kumbuka kutoa Shukrani kwa mafanikio uliyopata.

Mwsho nakutakiwa kazi njema katika majukumu yako mapa.
 
Back
Top Bottom