Insidious
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 746
- 1,014
sio mbaya wakipataYani natamani psrs wangesimamia zile kazi za TRA maana nawazia wanaofanya internship ndio watapata
sio mbaya wakipataYani natamani psrs wangesimamia zile kazi za TRA maana nawazia wanaofanya internship ndio watapata
Ulisikia wapi Ajira ya form four ikawa na hela kubwa mkuu..!! hata Mama akiongeza pesa mwezi ujua bado shida Iko palepale, yaan Kazi nyingi pesa kidogo,favor iliyopo ni kujipigia makomba ya chai na msosi wa Wakubwa ofisini, Ila dogo itamfaa maana hapendi kusomasoma yule.Ajira hiyo haina hela,
Naona bado because Hakwenda siku nyingi kuchukuwa barua pale PSRS.. na Kama unavyojua mambo ya recruitment processesKwahiyo now dogo anakula zake PESA ya KUJIKIMU na WANA KITAAA..😅😅😅😅😅
Halmashauri nao wanakusanya mapato,hivyo viposho vipo.Ila wamekaa kimya ili muendelee kuwaona hawana kitu kumbe wanawasanifuNdio ila Wizarani wana posho nyingi sana kwa sababu wa uwepo wa safari nyingi mno
Kama ni hivyo mbona watu inakuwa nongwa wakipangiwa halmashauri tofauti na wizarani au mashirika ya umma?Halmashauri nao wanakusanya mapato,hivyo viposho vipo.Ila wamekaa kimya ili muendelee kuwaona hawana kitu kumbe wanawasanifu
Munawaza Mbali Jobless Tunasota tukimuomba Mungu tupate tu hata kile kidogoKama ni hivyo mbona watu inakuwa nongwa wakipangiwa halmashauri tofauti na wizarani au mashirika ya umma?
Mie naona kinachomata zaidi kwangu ni perdiem tu ziwepo nyingi za kutosha.
Ona kama ofisi ya mkaguzi wa hesabu za serikali NAOT wanatumia mfumo wa TGS... ila wadau wengi wanapasifia sana kwa kuwepo na posho nyingi na safari.
Unaweza ukaajiriwa kwenye baadhi ya mashirika ya serikali kukawa hakuna posho nyingi na marupurupu regardless mshahara ukawa mkubwa let say 1.8M+, ambapo hata mtu wa halmashauri anaweza akauzidi au kuukaribia mshahara huo ukichanganya pamoja na marupurupu na mianya ya kupiga hela inategemea na halmashauri aliyopo na fani alioajiriwa nayo.
Mkuu Mungu ni mwema atakufanyia wepesi katika mihangaiko yako hadi ufikie malengo yako, soon inshallah.Munawaza Mbali Jobless Tunasota tukimuomba Mungu tupate tu hata kile kidogo
Amina kakaMkuu Mungu ni mwema atakufanyia wepesi katika mihangaiko yako hadi ufikie malengo yako, soon inshallah.
ushafanya kazi eGA au unatuletea story za vijiwenieGA Sasa hapo ndo penyewe brother, ofisa wa eGA mwenye CPA anaenza kazi analipwa mishahara ya wafanyakazi 4 wenye degree zile za miaka mitatu
eGA salary scale zao ziko juu sio kama hapo halmashauri ulipo.ushafanya kazi eGA au unatuletea story za vijiweni
ushafanya kazi eGA au unatuletea story za vijiweni
sipo halmashauri, then najua salary scale zao, before sijaingia serikalini nishafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa ya fedha kama loan officer. so nishaona salary slip za watumishi wa taasisi mbalimbali. Acha kukatisha tamaa jobless. eGA hawatumii TGS lakini salary scale yao haifiki hapo unaposemaeGA salary scale zao ziko juu sio kama hapo halmashauri ulipo.
isingekua maadili ya kazi ningemuonesha moja ya Salary slip ya mtumishi wa eGA kwa post anayosema ili aoneBora umuulize 😅😅😅
Waliokuwemo ndani wenyewe hawasemi ila yeye ndie anaewasemea , wenyewe wakiona wanabakia kucheka tu.
sipo halmashauri, then najua salary scale zao, before sijaingia serikalini nishafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa ya fedha kama loan officer. so nishaona salary slip za watumishi wa taasisi mbalimbali. Acha kukatisha tamaa jobless. eGA hawatumii TGS lakini salary scale yao haifiki hapo unaposema
Haina haja ya kupost, ww taja tu hiyo salary scaleisingekua maadili ya kazi ningemuonesha moja ya Salary slip ya mtumishi wa eGA kwa post anayosema ili aone
nilisema nimelamba asali serikalini, so sikua jobless na sikusema nimepata kazi Halmashauri. haikua juzi ilikua mwezi wa nne.
- ww mbona muongo sana, Kuna kipindi ulisema umepata kazi Serikalini juzijuzi tu au umeacha kazi
- kwa hiyo salary scale ya eGA ni sh ngap?
well saidYaani sasa kama vile miaka ya nyuma katika nyuzi flani watu walivyokuwa wanatambiana vyuo walivyosoma UDSM&DIT😅😅
Na ma GPA waliopata vyuoni
Ila psrs kwenye usaili ndoige ipo pale pale haijalishi chuo ulichosoma au GPA uliyopata.
Ukweli wa salary scale ya eGa wanaijua wenyewe waliomo na changamoto wanazokutana nazo.