watu wanaziponda halmashauri utafikiri halmashauri hakuna watu wanaondesha maisha yaoYaani sasa kama vile miaka ya nyuma katika nyuzi flani watu walivyokuwa wanatambiana vyuo walivyosoma UDSM&DIT😅😅
Na ma GPA waliopata vyuoni
Ila psrs kwenye usaili ndoige ipo pale pale haijalishi chuo ulichosoma au GPA uliyopata.
Ukweli wa salary scale ya eGa wanaijua wenyewe waliomo na changamoto wanazokutana nazo.