Stelingi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 703
- 1,928
nashangaa sijawahi sikia wala kuona43 selected??
nashangaa sijawahi sikia wala kuona43 selected??
Raha ya kusomea kozi zenye watu wachache... labda waliamua kuchukua waliopata kuanzia alama 40 kuendelea.. halaf watu wenye wachache.. hongera kwake.
na wakikaa vibaya mchiz anachukua kombe😂😂😂Raha ya kusomea kozi zenye watu wachache... labda waliamua kuchukua waliopata kuanzia alama 40 kuendelea.. halaf watu wenye wachache.. hongera kwake.
😂😂😂😂😂 ila ukweli usemwe ukipata kazi kupitia psrs lazima uheshimu kazi maana mikando yao sio ya kitoto. Hii ni zaidi ye necta mzee.Tuache taasisi ziajiri zenyewe, utumishi wanachelewesha. Haya mmeachiwa TRA kikowapi? Unaenda mwezi wa 5 hakuna shortlisted. Watu walimjaza upepo mama ili wapitishe watu wao kinyemela baada ya kuona mkando wa Psrs hawauwezi.
Hasa kwenye oral pale, watu watano wanakuangalia halafu mtu anakwambia mention 5 points of ...........😂😂😂😂😂 ila ukweli usemwe ukipata kazi kupitia psrs lazima uheshimu kazi maana mikando yao sio ya kitoto. Hii ni zaidi ye necta mzee.
😂😂😂😂pale kama hukupitia vizuri lazima uanze kuhema na joto lipandeHasa kwenye oral pale, watu watano wanakuangalia halafu mtu anakwambia mention 5 points of ...........
Kama huna content lazima urudi kwa mjomba kulia lia
SureHasa kwenye oral pale, watu watano wanakuangalia halafu mtu anakwambia mention 5 points of ...........
Kama huna content lazima urudi kwa mjomba kulia lia
Watoto wao waliosoma Ulaya content hawana Yes yes nyingii, wanataka waulizwe maswali ya " How can you help TRA to archive its goals? au How can you help us?hamna siasi ni content tu
😂😂😂😂Watoto wao waliosoma Ulaya content hawana Yes yes nyingii, wanataka waulizwe maswali ya " How can you help TRA to archive its goals? au How can you help us?
Hahaaa!
Mzee wa Mihemo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale kama hukupitia vizuri lazima uanze kuhema na joto lipande
wanashindwa kutofautishe uwezo wa kilugha na technical ability.Watoto wao waliosoma Ulaya content hawana Yes yes nyingii, wanataka waulizwe maswali ya " How can you help TRA to archive its goals? au How can you help us?
Hahaaa!
Shida watanzania mnajua kukalili ndio njia sahihi ya kujifunza, hata hiyo technical ability skills) waliosoma nje wanaweza kuwa nayo kuwazidi wa hapa bongo, Huwezi kumwambia interviewee mention 5 types of ......... wakati anatakiwa aulizwe How to.wanashindwa kutofautishe uwezo wa kilugha na technical ability.
😂😂😂😂Lazima uheme mzeeMzee wa Mihemo
Umenikumbusha siku ya kwanza kuingia oral nikaenda nimemeza zile your weakness sijui why you want to be hired at..... mamaeeee humo ndani ilikuwa kivumbi jasho na damu😂😂😂😂😂kila nikiruka metion nikiruka tena metion nikaona yanini mieShida watanzania mnajua kukalili ndio njia sahihi ya kujifunza, hata hiyo technical ability skills) waliosoma nje wanaweza kuwa nayo kuwazidi wa hapa bongo, Huwezi kumwambia interviewee mention 5 types of ......... wakati anatakiwa aulizwe How to.
Job is about solving problems, neno HOW linatakiwa kutawala mjadala sababu kazini unaenda kuonyesha HOW you can do the job you applied for.
Hii ndio sababu unaenda kazini unaitwa kilaza ni sababu hujui HOW (practicaly) to perform tasks ila unaweza ku MENTION (theoretically).
Nenda hapo KENYA ukafanye usaili wa same position uone kama kuna mtu ata muda wa kukwambia define au mention.
Mention zinakufanya uwe deep Manake mention it means something exist na ni costant you can't rush... Hakuna This and This sijui ikafika wapi....ukipigwa chuma tayari chuma kinaingiaUmenikumbusha siku ya kwanza kuingia oral nikaenda nimemeza zile your weakness sijui why you want to be hired at..... mamaeeee humo ndani ilikuwa kivumbi jasho na damu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila nikiruka metion nikiruka tena metion nikaona yanini mie
hahahaaa Oral mara ya kwanza usipokua makini lazma upanickUmenikumbusha siku ya kwanza kuingia oral nikaenda nimemeza zile your weakness sijui why you want to be hired at..... mamaeeee humo ndani ilikuwa kivumbi jasho na damu😂😂😂😂😂kila nikiruka metion nikiruka tena metion nikaona yanini mie
Mimi naona wanafanya hivi kutikana na nature ya kazi au ofisi zenyewe za kitanzania ,waanze kupambana na how can you kazi yenyewe halmashauri ya mlimba huko sijui sitimbi lakini kwa interview za vyuoni swali la how ni must na possible kwasababu part kubwa ya kazi unafanya ww kama mwalimuShida watanzania mnajua kukalili ndio njia sahihi ya kujifunza, hata hiyo technical ability skills) waliosoma nje wanaweza kuwa nayo kuwazidi wa hapa bongo, Huwezi kumwambia interviewee mention 5 types of ......... wakati anatakiwa aulizwe How to.
Job is about solving problems, neno HOW linatakiwa kutawala mjadala sababu kazini unaenda kuonyesha HOW you can do the job you applied for.
Hii ndio sababu unaenda kazini unaitwa kilaza ni sababu hujui HOW (practicaly) to perform tasks ila unaweza ku MENTION (theoretically).
Nenda hapo KENYA ukafanye usaili wa same position uone kama kuna mtu ata muda wa kukwambia define au mention.
😂😂😂😂Nilipanick nililowa jasho siku hiyo kinomahahahaaa Oral mara ya kwanza usipokua makini lazma upanick