kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 220
- 444
Mkuu wizy mambo vip? status zina ukweli?๐๐๐๐Tatizo binadamu huwa hatupendi kuambiwa ukweli unaoumiza sema yajayo yanafurahisha
Mkuu wizy mambo vip? status zina ukweli?๐๐๐๐Tatizo binadamu huwa hatupendi kuambiwa ukweli unaoumiza sema yajayo yanafurahisha
We jamaa mkuda sana ,ulivyopata placement Ocean Road ukaamua kupotea humu mazima au sio ?๐๐๐๐Tatizo binadamu huwa hatupendi kuambiwa ukweli unaoumiza sema yajayo yanafurahisha
๐๐๐๐kama kawa mzee unataka nikupe ukweli unaoumiza?Mkuu wizy mambo vip? status zina ukweli?
Hahahaaaa Tupe ukweli. We kwako ulivyopata OCRI Inasomaje status?๐๐๐๐kama kawa mzee unataka nikupe ukweli unaoumiza?
amna we muombe Mungu tu๐๐๐Hahahaaaa Tupe ukweli. We kwako ulivyopata OCRI Inasomaje status?
Hapo mpka ijumaa mkuu ๐IT press button tulambe๐ asali si unajua lakini joto la kitaa.
Naona ka web kazitozito fanya kweliiii tunakuaminia jobless mstaafu.
๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Kwahiyo wizy upo Taasisi gani au unalinda Privacy.amna we muombe Mungu tu๐๐๐
We jamaa upoo? Kitambooo sanaa ๐ ๐ ๐ mzee wa status baba jane bye bye ๐ ๐๐๐๐๐kama kawa mzee unataka nikupe ukweli unaoumiza?
Mbona mm ninamatumaini leo tunalamba asali yenyewe kabisaaaHapo mpka ijumaa mkuu ๐
We sindo ipo na maandishi mekundu au?Yale ya not nini nini sijui๐๐๐๐๐Mbona mm ninamatumaini leo tunalamba asali yenyewe kabisaaa
Tuishi kiongozi watu wakuda sana๐๐๐Kwahiyo wizy upo Taasisi gani au unalinda Privacy.
HahahaaaTuishi kiongozi watu wakuda sana๐๐๐
oya nipo nitaenda wapi sasa๐๐๐baba jeni bye bye Yani unakuta maandishi mekundu afu bado unahema kweli??We jamaa upoo? Kitambooo sanaa ๐ ๐ ๐ mzee wa status baba jane bye bye ๐ ๐
FIFO (FIRST IN FIRST OUT) ana Maanisha walioanza kuingia Database waitwe kwanza na ndio inavyokua NiggaPac
๐๐๐ hata yakiwa ya brue mi ni wale wasiojali statusWe sindo ipo na maandishi mekundu au?Yale ya not nini nini sijui๐๐๐๐๐
Swali nzuri mkuu ngoja nipitie Kanuni au Wajuzi wanaeza kutudadavulia kuhusu Database.Mkuu hata kama Last in akiwa ana max nzuri kuliko First in wanatumia FIFO??
@Mwifwa njoo umeone baba jeni karudioya nipo nitaenda wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]baba jeni bye bye Yani unakuta maandishi mekundu afu bado unahema kweli??
Bro jana wametoa mkeka mkubwa alf kimuli muli hakijazima ๐Mbona mm ninamatumaini leo tunalamba asali yenyewe kabisaaa
Mzee wa baba jane byebye ๐๐๐๐ we jamaa ni hatari na status zakoamna we muombe Mungu tu๐๐๐
๐๐๐๐Mzee wa baba jane byebye ๐๐๐๐ we jamaa ni hatari na status zako