HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna mtu alipata placement mwezi wa tano na ameshaanza kazi, Leo tena mtu yuleyule wamemuita kituo kingine

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ukiona hivyo alifanya interview zote mbili, ila kwasasa PSRS wanajitahidi sana kuzuia Multiple selections japo zinajitokeza baadhi kwasababu wafanyakazi sio malaika
 
Mzee hata miezi 2 bado unallamika waliosbri mwaka mzima au miez8 hukoo wasemaje mkuu...tuliza boli kua mpole
😂😂Aisee mkuu mimi natoa maoni yangu tu hakuna guarantee kwamba unatakiwa ukae mwaka ndiyo uanze kulalamikia placement ingekuwa unafanya interview halafu unakaa mwaka mzima ndo unapata majibu basi wasingetoa placement za waliofanya interview mwezi wa 5.

Humu unaandika unachoona kwako ni sawa ilimradi tu hakipo nje ya mada na hakipo nje ya maadili wala kumkwaza tu.

Kwahiyo samahani sana mniache tu wazee mimi sijawaandikia nyie😂
W

Wewe Fresh graduate sio ?
Hahah atakua katoka chuo juzi huyu 😅😅

😂😂🙌🙌
 
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
 
Hongera sana kiongozi, Mungu akuongoze ukawe mtumishi mwema huko

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Hongera kaka ukawe Mtumishi nwema Data base au direct na status.. vp
 
😂😂Aisee mkuu mimi natoa maoni yangu tu hakuna guarantee kwamba unatakiwa ukae mwaka ndiyo uanze kulalamikia placement ingekuwa unafanya interview halafu unakaa mwaka mzima ndo unapata majibu basi wasingetoa placement za waliofanya interview mwezi wa 5.

Humu unaandika unachoona kwako ni sawa ilimradi tu hakipo nje ya mada na hakipo nje ya maadili wala kumkwaza tu.

Kwahiyo samahani sana mniache tu wazee mimi sijawaandikia nyie😂

😂😂🙌🙌
Kaa kwa kutulia acha wenge Kila kitu kitakuja kwa wakati wake, wacha waliokutangulia wapate.
KAMA IPO, IPO TU
 
Yeah upo sahihi mkuu psrs wajitahid walau miezi 2 watu wawe wamepata placement
😂😂Aisee mkuu mimi natoa maoni yangu tu hakuna guarantee kwamba unatakiwa ukae mwaka ndiyo uanze kulalamikia placement ingekuwa unafanya interview halafu unakaa mwaka mzima ndo unapata majibu basi wasingetoa placement za waliofanya interview mwezi wa 5.

Humu unaandika unachoona kwako ni sawa ilimradi tu hakipo nje ya mada na hakipo nje ya maadili wala kumkwaza tu.

Kwahiyo samahani sana mniache tu wazee mimi sijawaandikia nyie😂

😂😂🙌🙌
 
We nawe nani anamakasirikio? Nimeshangaa kama we wa juzi unayesubiria placements wakati wenzio tangu January na tupo hapa tumetulia.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
We haujashangaa mzee bali una makasiliko kama, umeshangaa umeshaeleweshwa ni amefanya interview zote za izo placements alizopata au laa ni makosa ya kibinadamu tu ya PSRS maana kwasasa wanajitahidi kuzuia ilo tatizo tofauti na mwanzo.
Rakini mzee bado unahamaki tu, ooh hajawahi kufanya interview zaidi ya hiyo, kwani yeye ndio wewe kwamba unajua Kila kitu chake ?

All in all nipo kwenye kusaka ajira tangu 2019, sasa kama wewe umeanza January nakukalibisha kwenye huu mtanange na nakuombea upate ajira mda wako ukifika.
 
Hongera Sana mkuu ni direct au database
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
 
Yeah upo sahihi mkuu psrs wajitahid walau miezi 2 watu wawe wamepata placement
Kabisa muhimu ni placement zitoke mapema kama hizi za watu wa mwezi wa 5 zilivyowahi

Sasa badala watu wasupport kuwahi kwa placement naonekana tena nina wenge,mara sijui kwa vile mimi ni fresher aisee watu wa hii nchi tuna kazi kweli kweli 😂😂😂🙌
 
Back
Top Bottom