kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 220
- 444
Itakua Hawajatoa naona kuna jamaa week iliyopita alipata AICC post ya Marketing Officer via DatabaseHii hawajatoa kweli placement?
Itakua Hawajatoa naona kuna jamaa week iliyopita alipata AICC post ya Marketing Officer via DatabaseHii hawajatoa kweli placement?
Kila la heri hapo mkuu upenye.Bado mkuu tumepiga wa sita oral
Amen mungu asaidie kwakweli.Kila la heri hapo mkuu upenye.
Pole sana Mungu atasaidia wengi tulipitia moment kama zako ila mungu alitujibu kwa wakati sahihi kiukweli kusubiri placement ni kazi sana plus mambo ya statusNikikumbuka msoto nilio pitia udom kula mara moja, kulala kwa madogo hostel
Naishia kuomba mungu tu nauli zenyewe za kuunga unga
Namuomba mungu niwe mmoja wao
Nipate popote tu.
Yapi hayo mkuu yanayofurahisha?😂😂😂😂Tatizo binadamu huwa hatupendi kuambiwa ukweli unaoumiza sema yajayo yanafurahisha
Amen kaka mkubwa.Pole sana Mungu atasaidia wengi tulipitia moment kama zako ila mungu alitujibu kwa wakati sahihi kiukweli kusubiri placement ni kazi sana plus mambo ya status
Kila la heri.Moja mkuu taasisi AICC post customer service officer.
Ndo upi huoNashauri PSRS watumie mfumo wa FIFO kwenye database itasaidia sana.
Kwa hiyo unategemea atasema ni kweli huwa tunapokea rushwaNipo na Mkandaji wenu hapa ananiweka sawa kwenye vitu kadhaa tunavyobishana humu
Status inamchango gani kwenye ajira [emoji777]
Upendeleo , rushwa [emoji777]
Kuchelewesha matokeo ni PSRS [emoji736]
Kuchelewesha placement ni PSRS [emoji777]
Database [emoji736]
FIFO (FIRST IN FIRST OUT) ana Maanisha walioanza kuingia Database waitwe kwanza na ndio inavyokua NiggaPacNdo upi huo
Ok mkuuFIFO na LIFO ana Maanisha walioanza kuingia Database waitwe kwanza na ndio inavyokua NiggaPac
Ok
Jobless mstaafu na muasisi wa status naona umerejea🤣🤣😂😂😂😂Tatizo binadamu huwa hatupendi kuambiwa ukweli unaoumiza sema yajayo yanafurahisha
Ungekaa tu kimya ukasubiri placement mzee ila zingatia hayo niliyosema nimeyatoa beyond the deepest depth.Kwa hiyo unategemea atasema ni kweli huwa tunapokea rushwa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Naam kwa hii mikeka mi3 ya mwisho wameongezeka 475.Leo wameongezeka 89.
545+89=634.
Hii inafanga idadi ya waliongia kwenye system kufikia 634 toka mwaka mpya wa fedha wa serikali umeanza.