ABLE04
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 993
- 2,434
Lakini si ulipenya?😂😂😂😂Nilipanick nililowa jasho siku hiyo kinoma
Lakini si ulipenya?😂😂😂😂Nilipanick nililowa jasho siku hiyo kinoma
Dooooh..kwahiyo wanaotoka ULAYA wanashindwa kuMENTION wanaweza kuHOW?Shida watanzania mnajua kukalili ndio njia sahihi ya kujifunza, hata hiyo technical ability skills) waliosoma nje wanaweza kuwa nayo kuwazidi wa hapa bongo, Huwezi kumwambia interviewee mention 5 types of ......... wakati anatakiwa aulizwe How to.
Job is about solving problems, neno HOW linatakiwa kutawala mjadala sababu kazini unaenda kuonyesha HOW you can do the job you applied for.
Hii ndio sababu unaenda kazini unaitwa kilaza ni sababu hujui HOW (practicaly) to perform tasks ila unaweza ku MENTION (theoretically).
Nenda hapo KENYA ukafanye usaili wa same position uone kama kuna mtu ata muda wa kukwambia define au mention.
Nilijua tyuu lazima utarudi kwenye uzi😂😂😂😂😂Shida watanzania mnajua kukalili ndio njia sahihi ya kujifunza, hata hiyo technical ability skills) waliosoma nje wanaweza kuwa nayo kuwazidi wa hapa bongo, Huwezi kumwambia interviewee mention 5 types of ......... wakati anatakiwa aulizwe How to.
Job is about solving problems, neno HOW linatakiwa kutawala mjadala sababu kazini unaenda kuonyesha HOW you can do the job you applied for.
Hii ndio sababu unaenda kazini unaitwa kilaza ni sababu hujui HOW (practicaly) to perform tasks ila unaweza ku MENTION (theoretically).
Nenda hapo KENYA ukafanye usaili wa same position uone kama kuna mtu ata muda wa kukwambia define au mention.
😂😂😂😂😭 porojo simple mzee lkn mziki wa psrs sio wa kitotoUmenikumbusha siku ya kwanza kuingia oral nikaenda nimemeza zile your weakness sijui why you want to be hired at..... mamaeeee humo ndani ilikuwa kivumbi jasho na damu😂😂😂😂😂kila nikiruka metion nikiruka tena metion nikaona yanini mie
Bendera chuma mlingoti chumaMention zinakufanya uwe deep Manake mention it means something exist na ni costant you can't rush... Hakuna This and This sijui ikafika wapi....ukipigwa chuma tayari chuma kinaingia
Acha mbwembwe mkuu.Shida watanzania mnajua kukalili ndio njia sahihi ya kujifunza, hata hiyo technical ability skills) waliosoma nje wanaweza kuwa nayo kuwazidi wa hapa bongo, Huwezi kumwambia interviewee mention 5 types of ......... wakati anatakiwa aulizwe How to.
Job is about solving problems, neno HOW linatakiwa kutawala mjadala sababu kazini unaenda kuonyesha HOW you can do the job you applied for.
Hii ndio sababu unaenda kazini unaitwa kilaza ni sababu hujui HOW (practicaly) to perform tasks ila unaweza ku MENTION (theoretically).
Nenda hapo KENYA ukafanye usaili wa same position uone kama kuna mtu ata muda wa kukwambia define au mention.
Hahaha mi nilimbwela sana asee had swali la introduce yourself nilipuyanga Ile natoka nje nachukua beg naeka sawa veti naskia ndan wanacheka....yale maswal yangekua written ningetoa content ya hatari mana yalkua mepesi sanaa sema kumbwela tu..vitu vika evaporate 😅hahahaaa Oral mara ya kwanza usipokua makini lazma upanick
point muhimu sana hii yani ushindwe kumention alaf uweze kuelezea basi utakuwa unaongea non senseDooooh..kwahiyo wanaotoka ULAYA wanashindwa kuMENTION wanaweza kuHOW?
Basi wanatakiwa WAJIFUNZE kutoka kwetu na WAO....hiyo TUNAITA GG
😂😂😂😂Zile mention five point halafu umekaziwa macho ni balaa😂😂😂😂😭 porojo simple mzee lkn mziki wa psrs sio wa kitoto
😂😂😂😂Zile mention five point halafu umekaziwa macho ni balaa😂😂😂😂😭 porojo simple mzee lkn mziki wa psrs sio wa kitoto
ile kitu bhn ni standard ukiwa shallow hutoboi.😂😂😂😂Zile mention five point halafu umekaziwa macho ni balaa
Bora MASTA umegundua hii "NIMEFIKIRIA SANA" et "HOW anaweza..... MENTION ndo BUBU"point muhimu sana hii yani ushindwe kumention alaf uweze kuelezea basi utakuwa unaongea non sense
Duuuh hii ilikuwa noma sana😁Oral za utumishi ziheshimiwe asee, kama hujui, hujui tu. Tulipiga oral ya Bunge June pale Bungeni, kwanza kabla hujaingi kwenye Oral kuna chumba unawekwa kama dk10 unaambiwa tulia humu urelax, hapo unasubiri mwenzako atoke kukandwa.
Baada ya hapo ndo unaingia kwa Oral sasa, kwanza unaingia kuba panelists 10, kulikuwa na Halima Mdee, wabunge nknk, hawa jamaa wakaweka mpaka mpiga kengele[emoji23][emoji23].
Maswali 8 afu kila swali una dakika 2 za kujibu ukichelewa kengele inagonga, mnakwenda next question.[emoji23][emoji1544][emoji1544].
Halima Mdee ndo anapanikisha Balaa, nimepiga oral nyingi ila za utumishi ni hatari aseee. Mle ndani ni kwa moto balaa.
Daaaah usinikumbushe aisee🤣😂😂😂😂Zile mention five point halafu umekaziwa macho ni balaa
(Airport operation officer)Guyz hi,alofanya written interview nafasi ya airport security officer na airport operation officer.plz wanatoaga maswali gani
Point kabisa kaka.... Et sababu et psrs wanawapelekea watu wasiokuwa washindani?Tuache taasisi ziajiri zenyewe, utumishi wanachelewesha. Haya mmeachiwa TRA kikowapi? Unaenda mwezi wa 5 hakuna shortlisted. Watu walimjaza upepo mama ili wapitishe watu wao kinyemela baada ya kuona mkando wa Psrs hawauwezi.
Kabisa mkuu"KUPANGA ni KUCHAGUA"
Wewe KOMAA na HOW wakati WENZAKO WANAKOMAA na MENTION, then SUBIRIA PDF ya IT uone PLACEMENTS na SHUHUDA za wana wakilamba asali, hii ni VITA ya KIUCHUMI..wanangu PAMBANENI na VINAVYOULIZWA, haya MAMBO ya kujifananisha na KENYA sijui na LONDON hayana tija kwa Sasa...humu tunapeana mbinu za namna ya KUWAKANDA WAKANDAJI...