HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nipo na Mkandaji wenu hapa ananiweka sawa kwenye vitu kadhaa tunavyobishana humu

Status inamchango gani kwenye ajira [emoji777]
Upendeleo , rushwa [emoji777]
Kuchelewesha matokeo ni PSRS [emoji736]
Kuchelewesha placement ni PSRS [emoji777]
Database [emoji736]
Lete feedback ya vyote Apo Anza na status?
 
Kwahiyo tumekubaliana kwamba hili suala la placement kucheleweshwa tumemwachia Mungu ?
Muda wa kupata kwa kila mtu ndo tumemuachia Mungu kwa sababu kuna ambao wamefanya interview mwezi wa 5 na wameshapata na kuna ambao walifanya mwaka jana au mwezi wa kwanza na hawajapata japo kuna wenzao waliofanya nao hiyo miezi walishapata.

Japo watu wanakasirika ila kila mtu ana muda wake sahihi aliopangiwa na Mungu
 
Nipo na Mkandaji wenu hapa ananiweka sawa kwenye vitu kadhaa tunavyobishana humu

Status inamchango gani kwenye ajira [emoji777]
Upendeleo , rushwa [emoji777]
Kuchelewesha matokeo ni PSRS [emoji736]
Kuchelewesha placement ni PSRS [emoji777]
Database [emoji736]
Kwahiyo PSRS wanahusika kwenye kuchelewesha matokeo ila hawahusiki kwenye kutoa placement🤔🤔🤔 hapo mbona kama sijaelewa
 
Kwahiyo PSRS wanahusika kwenye kuchelewesha matokeo ila hawahusiki kwenye kutoa placement[emoji848][emoji848][emoji848] hapo mbona kama sijaelewa
Wao wanahusika moja kati ya haya yanapochelewa

Kuita watu kwenye usaili
Matokeo ya written / practical
 
Nipo na Mkandaji wenu hapa ananiweka sawa kwenye vitu kadhaa tunavyobishana humu

Status inamchango gani kwenye ajira [emoji777]
Upendeleo , rushwa [emoji777]
Kuchelewesha matokeo ni PSRS [emoji736]
Kuchelewesha placement ni PSRS [emoji777]
Database [emoji736]
Kwa hiyo ulitaka akwambie wanatoa upendeleo au rushwa??
 
Mzee wa Not selected bila shaka umepata amani
Acha tu, sema niliwapigia lakini amani sikuwa nayo nadhani wadau wengi wanapozidi kutoa feedback napata moyo

Ila hakuna kitu kinaumiza kama umepiga oral mtu anakukandia anakwambia

Mama jeni bye bye

Kwanza kuingia oral si mchezo

Tulikuwa watu 1005 shortlisted afu tukapita 15

Aisee umejibu maswali yote 5
Status inakuletea mawenge

Ogopa Sana moyo unaendaje sijui, usingizi hupati yaani kila kitu kinavurugwa

Mungu atusaidie.
 
Mlioingia oral hao 15 mmeshaanza kuitwa kazini au bado ?
 
Acha tu, sema niliwapigia lakini amani sikuwa nayo nadhani wadau wengi wanapozidi kutoa feedback napata moyo

Ila hakuna kitu kinaumiza kama umepiga oral mtu anakukandia anakwambia

Mama jeni bye bye

Kwanza kuingia oral si mchezo

Tulikuwa watu 1005 shortlisted afu tukapita 15

Aisee umejibu maswali yote 5
Status inakuletea mawenge

Ogopa Sana moyo unaendaje sijui, usingizi hupati yaani kila kitu kinavurugwa

Mungu atusaidie.
Mungu ni mwema kaka Kama Mungu kasema utapita zingine ni changamoto tu ili ufe moyo
 
Acha tu kaka mm huwa naumia oral 2 zote sijapata placement ni ngumu na unapata shida Hadi kiakili. Ila vumilia tu siku ikifika utapata
Acha tu, sema niliwapigia lakini amani sikuwa nayo nadhani wadau wengi wanapozidi kutoa feedback napata moyo

Ila hakuna kitu kinaumiza kama umepiga oral mtu anakukandia anakwambia

Mama jeni bye bye

Kwanza kuingia oral si mchezo

Tulikuwa watu 1005 shortlisted afu tukapita 15

Aisee umejibu maswali yote 5
Status inakuletea mawenge

Ogopa Sana moyo unaendaje sijui, usingizi hupati yaani kila kitu kinavurugwa

Mungu atusaidie.
 
Nikikumbuka msoto nilio pitia udom kula mara moja, kulala kwa madogo hostel

Naishia kuomba mungu tu nauli zenyewe za kuunga unga

Namuomba mungu niwe mmoja wao

Nipate popote tu.
MUngu akufanyie wepesi upate. At least jobless tupungue. Hivi mnajua wakitoa placement watu wakapata wanapungua kwenye database na hiyo itasaidia wengine kufikiwa
 
Mungu akutetee naelewa unachopitia kama mm nilikua nafikia kwa nshkaj Dom ashapata kazi hivyo kaondoka sina pa kufikia tena
Cycle yangu wote wapo serikalini.

Jana wawili wameondoka.

Hakuna kitu kinauma unapambana na mtu mwisho wa siku wenzako wanatangulia wewe unabaki.

Ila mwisho wa siku ,unaelewa mafanikio yako mikononi mwa Mungu kuna siku ninaweza kuamka ikawa yangu tu.

Tuendelee kuomba tu
 
Back
Top Bottom