Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,982
- 127,445
Daah hongera sana mdauAsante MUNGU...nimelamba asali
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Daah hongera sana mdauAsante MUNGU...nimelamba asali
Swali lako hujaliweka vizuri, kuzingatia kwa maana ipi? Huwa naona nafasi nyingi wameweka mwisho miaka 45Hivi issue ya umri , utumishi huwa wana uzingatia ? Yaaani mfani una miaka 30 point regardless ya mwaka wa kuhitimu ?
Hongera sana, Umeshakua wakala wa PsrsAsante MUNGU...nimelamba asali
Kuzingatia kwa upande Gani? FafanuaHivi issue ya umri , utumishi huwa wana uzingatia ? Yaaani mfani una miaka 30 point regardless ya mwaka wa kuhitimu ?
Basi acha mawenge mzee, unaonekana una mchecheto sana. Fanya oral potezea wakati wako ukifika utafikiwa tu.Nimeshafanya usahili mara 10(written) na nimepita oral mara 2 but no placement
Hongereni mliolamba asali
Lakini psrs wawe serious kidogo Yani wanatoa placement nusu nusu yani tumefanya usahili February lakin mpaka sasa kaitwa 1 tu kada yetu asa najiuliza wanachoshindwa kutoa placement kwa PDF Moja tulizofanya usahili kwa pamoja ni nini.
Mbona kipindi cha katibu aliyepita kulikua hamna longolongo kama sasa makandokando ni mengi. Borea wakwambie umekosa ujue moja miez 6 sasa no feedback no placement na walisema after 3 weeks majibu yatatoka
Sidhani kama ipo sawa kwa maelezo yako eti wakat wako utafika. Yani sijui mnaelewa hv mfano nimekuja hospital naumwa ukanipima nikakutwa mgonjwa then utasema haya rudi nyumban unaumwa wakat wako ukifika utapona. Ndicho psrs wanachofanya sasa si bora kama taratibu hazijakamilika wasubiri ziwe sawa ili zoezi liende sambamba.Basi acha mawenge mzee, unaonekana una mchecheto sana. Fanya oral potezea wakati wako ukifika utafikiwa tu.
Hongera sana mkuu, kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaAsante MUNGU...nimelamba asali
Psrs ndio serikali yenyewe ndio kazi yao hiyo sasa kinachowashinda kutoa placement taasisi ibaki na taratibu zingine ni nini? Kwani jina likitoka psrs ndio mshahara unaingia big no unaripoti kwa muajiri na taratibu zingine zitafuata. Hivyo kwa mantiki hiyo psrs hawana excuse ni bora wasifanye mchakato wa ajira hadi utaratibu uwe sawa.PSRS wanalipa mishahara??
Kwenye mikando hakuna kigezo cha umri (Ii maadam umri usizidi miaka 45) wala mwaka wa kuhitimu!! Kule wanakofanya selection bila mikando (ualimu na afya through TAMISEMI), huko ndiko huzingatia mwaka wa kuhitimu na umri mnapokuwa mnagombania nafasi.Hivi issue ya umri , utumishi huwa wana uzingatia ? Yaaani mfani una miaka 30 point regardless ya mwaka wa kuhitimu ?
Kigezo cha umri kipo ukisoma kanuni zinasema wazi mkifungana marks wata consider umri,Jinsia na Ulemavu.Kwenye mikando hakuna kigezo cha umri (Ii maadam umri usizidi miaka 45) wala mwaka wa kuhitimu!! Kule wanakofanya selection bila mikando (ualimu na afya through TAMISEMI), huko ndiko huzingatia mwaka wa kuhitimu na umri mnapokuwa mnagombania nafasi.
Theoretically ok, but in practice it does not work that way!!Kigezo cha umri kipo ukisoma kanuni zinasema wazi mkifungana marks wata consider umri,Jinsia na Ulemavu.
Wasaka miriji ya asali Askari mimi placement zinaathiri harakati zangu zingine na maisha yangu kwa sasa nimefikisha mwezi wa saba na siku 5 tangia nianze kusubiri placement .[emoji24]
Wakuu nashukuru MUNGU katika PDF ya leo nimechomoka MUNGU mwema ambao bado msikate tamaa keep trusting GOD wakuu he is there
Wa mwezi wa sita wasubiri mpaka mwezi wa 8Watoe placement za interview za mwezi wa sita tutajua kipi ni kipi
Hongera mno mwambaAsante MUNGU...nimelamba asali
Kwani we unacholalamikia ni nini au unataka PSRS ifanye nini ?Sidhani kama ipo sawa kwa maelezo yako eti wakat wako utafika. Yani sijui mnaelewa hv mfano nimekuja hospital naumwa ukanipima nikakutwa mgonjwa then utasema haya rudi nyumban unaumwa wakat wako ukifika utapona. Ndicho psrs wanachofanya sasa si bora kama taratibu hazijakamilika wasubiri ziwe sawa ili zoezi liende sambamba.
Vijana tunateseka na kupotezewa muda
Hongera sana ukawe mtumishi mwemaAsante MUNGU...nimelamba asali
Sawa mtaalamu tutaendelea kuwa na subraKuwa mvumilivu, niliomba ajira mwezi wa sita , interview nikafanya mwezi wa 11 , placement nikapata mwezi wa tano baada ya mwaka kupinduka, ajira rasmi nikaanza mwezi wa sita.