HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hi what's up guys naombeni msaada, mm niliaply kazi za brela (record management assistant ) sasa sijaitwa interview na kipindi cha nyuma huwa zote napata shortlisted ikabidi nifungue kwenye account nione shida ipo wapi wameniandikia hivi Not shortlisted (application letter not routed through current employer)
Yani nimechoka jaman alafu nilikua nimeshajiandaa hadi nauli nimewapigia hata simu haijapokelewa hapa sielew nifanyeje tena maana kazi zote nazoaply naitwa na usahili najitahidi kufanya
Hiyo nafasi uliyoomba ni ya TRANSFER Mzee...maalum kwa watumishi wa UMMA
 
Hii n mim kbsa [emoji3], classmate wangu wa primary kapata kazi juzi tu hiz za LGA.. kila siku naulizws mbna mwenzako kapata.?

Sasa bora ilo, mbaya zaid n kwamba madogo zetu saiz wakikataa shule excuse yao wanasema "mbna kaka/dada kamaliza chuo lakn hamna anachofanya miaka nenda rudi".
Majuzi tu imenitokea hii, dogo kakataa shule anataka kucheza mpira tu, nmeumia alivyonitolea mfano mm aise. Ila nmemsupport maamuzi yake. Siku nikitoboa lazma nimwambie nilivyojisikia siku iyo alivyonitolea mfano.
[emoji23]
Sababu hii ya kukata shule ni ya kijinga sana
 
Back
Top Bottom