HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamaa ana matatizo yani aliacha kazi kwa overconfidence yake. Unaacha vipi kazi bila kwenda kuripoti na kuanza kazi nyingine serikalini? Wenzake huwa wanaacha baada ya taratibu zote za ajira mpya kukamilika.
Wakuu sikuacha kazi na singeweza kujirisk hvy maana maisha yang ni magumu na kibarua chenyewe ni biashara ya mtu nilikua nafanya na niliomba ruhusa ya siku chache lakin oral ilisogezwa mbele hvy ilinibid kubaki Dodoma sikuwa na uwezo wa kifedha na between hapo nasubiria oral tuliitwa interview nyingine written but kwa hii sikufanya vizur maana boss alikua ananisumbua mno na akasema nisirud job nilipata depression kubwa ukizingatia fedha ndgo niliyoitunza iliishia kwenye usahili
 
Point apo ni mbili tu
1. Watoe placement kwa wakati
2. Watoe na matokeo ya oral
NA WOTE TUNAPAZA SAUTI ZETU HAPO.

Ayo mengine ni unaoneka una msongo wa mawazo tu.
PSRS haikupi wewe kazi wao jukumu lao ni kuendesha usaili na kukupangia kituo cha kazi baada ya wao kupata kibari kutoka utumishi. Hiyo MDA/LGA ni kuna taasisi nyingi ndani yake, wao(PSRS) wanatupangia vituo vya kazi kulingana na nafasi zitakazopatikana na sio kutaka eti kwakuwa mmefanya usaili February basi kazi wote mpangiwe pamoja, hilo haliwezekani, ingekuwa ni taasisi moja (mfano TPDC) basi wangewaita wote kazini kwa pamoja lakini hapo ni tofauti wataendelea kuita kidogo kidogo mpaka wakamilishe mahitaji.

UKISHAFANYA ORAL JIKEEP BUSY NA MAMBO MENGINE HUKU UKISUBURIA PLACEMENT MAANA HAKUNA ANAEJUA KAMA AMEFAULU AU LAA
Hizo point 2 uhakika
Lakini ukurud suala la LGA and MDA nakupinga sababu kipindi cha katibu aliyepita Xavier Daud Aisee ilikua poa sana wote wanapata placement kwa wakati na kulikua hamna longolongo na makandokando kama sasa. Hadi PDF la database walikua wanatoa
 
kitaa kikali sana,ndio maana wana hawaishi kulalamikia mfumo but tuishi kwa imani na subra ndugu zangu . japo ku afford cost za usahili domu kwa jobless tusio na kitu ni msaala aiseeh! msimlaumu dav anavo dai alipoteza mishe yake kisa PSRS , mm nilinusurika kwenye ulinzi wangu wakanilima barua ya onyo kalii mno
 
Psrs wana matatizo sana na wanatukosea jobless wanahitaji kuchunguzwa imekua too much sio mm peke yangu nalalamika watu ni wengi na changamoto ni nyingi.
1. Nimefanya sahili mara 10 na nimefanya oral mara 2 (oral ya mwezi wa 9 placement zilitoka ila sio idadi kamili kama kwenye tangazo la kazi)
Oral ya mwezi wa 2 (LGA MDA mpaka sasa placement hazijakamilika post yetu wameitwa 2). Sasa hapa ndio utaona malalamiko yangu sio kwamba lazima nipate hiyo kazi lakin placement hazitolewi kwa wakat na wanatuacha njia panda hujui umefeli au umefaulu hapo napo ni tatizo kubwa
2. Kufukuzwa kazi kwenye kibarua changu unaweza sema ni uzembe kwa upande wako ni sawa lakini mkoa niliopo na nilienda interview pana umbali kiasi na kipato changu ni kidogo sio rahis kama wewe unavyodhani na wakat tunasubiri oral tulibadilishiwa tareh na tukawa tumeitwa interview nyingine tena hvy ikawa ngumu kuendana na muda(siku nilizoomba ruhusa) nakumbuka wakat narud nipo njian kwenye basi ndio naona nimeitwa oral interview nyingine ikanibidi nirud tena.
3. Silazimishi kama nimefaulu ili nipangwe kazi lakin tatizo placement hazijakamilika post yetu ingekua tayar wametoa zote ningeamini nimefeli hvy niache kuwafatilia. Pia kufaulu written interview ya psrs sio jambo jepesi changamoto ni nyingi had uweze kumudu kufanya usahili kwa sisi wa kipato kidogo maumivu ni makubwa na majuto mengi..
Sio kwamba tunalalamika ili watupe kazi hapana tunachoomba wafanye maboresho mchakato uwe rafiki kwa job seekers.
Matokeo ya oral ni haki yetu
Dah so sad mkuu, hii changamoto kumbe tuko wengi, naelewa maumivu yake, najua jinsi unavyojisikia, mkuu tutatoboa Tu Ipo siku Mwenyezi Mungu atatenda miujiza, pole sana kiongozi.
 
kitaa kikali sana,ndio maana wana hawaishi kulalamikia mfumo but tuishi kwa imani na subra ndugu zangu . japo ku afford cost za usahili domu kwa jobless tusio na kitu ni msaala aiseeh! msimlaumu dav anavo dai alipoteza mishe yake kisa PSRS , mm nilinusurika kwenye ulinzi wangu wakanilima barua ya onyo kalii mno
yap ni kweli jamaa kama placement ingetoka hata kama angekosa angekuwa kwenye nafasi nzuri kisaikolojia.
Pole sana DAV jobless mwenzetu mambo yatakaa fresh tyuu
 
Wakuu sikuacha kazi na singeweza kujirisk hvy maana maisha yang ni magumu na kibarua chenyewe ni biashara ya mtu nilikua nafanya na niliomba ruhusa ya siku chache lakin oral ilisogezwa mbele hvy ilinibid kubaki Dodoma sikuwa na uwezo wa kifedha na between hapo nasubiria oral tuliitwa interview nyingine written but kwa hii sikufanya vizur maana boss alikua ananisumbua mno na akasema nisirud job nilipata depression kubwa ukizingatia fedha ndgo niliyoitunza iliishia kwenye usahili
Pole mkuu mimi binafsi nakuelewa vizuri..nilishawahi kuingia kwenye mgogoro kama huu. Cha muhimu sasa hivi ni kumuomba tu Mungu huku ukiangalia mishe zingine kukaa hapa na kulaumu psrs haisaidii

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
kitaa kikali sana,ndio maana wana hawaishi kulalamikia mfumo but tuishi kwa imani na subra ndugu zangu . japo ku afford cost za usahili domu kwa jobless tusio na kitu ni msaala aiseeh! msimlaumu dav anavo dai alipoteza mishe yake kisa PSRS , mm nilinusurika kwenye ulinzi wangu wakanilima barua ya onyo kalii mno
Yeah bro ni ngumu sana kuendana na ratiba za psrs. Kipindi cha katibu Xavier Daud ilikua changamoto hamna kama sasa. Japokua sikufaulu written hata 1 kipindi kile ila mchakato ulikua smart and faster sikupata depression au majuto kama sasa hivi
 
Pole mkuu mimi binafsi nakuelewa vizuri..nilishawahi kuingia kwenye mgogoro kama huu. Cha muhimu sasa hivi ni kumuomba tu Mungu huku ukiangalia mishe zingine kukaa hapa na kulaumu psrs haisaidii

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu hasaidii maana hamna watakachobadilisha kwa malalamiko haya labda uende ukalie raisi akusikie awape amri ivi ivi mzee ni kilio cha samaki
 
Asante lakin mm kulalamika huku sio kwamba nataka attention au wanitafute hapana. Mm natamani kuona mchakato unakua mzuri na kwa afya ya wasakatonge tunaepukana na msongo wa mawazo hata kama tukikosa nafasi. Kipindi tunafanya usahili cha katibu aliyepita Xavier Daud yani hatukuwahi sumbuka hivi wala kupoteza mda mrefu japokua sikufaulu lakin niliridhishwa na mchakato wao nikiamini zikija post nyingine nitajaribu tena, na kweli zikatangazwa nying lakin sasa mchakato wa sasa una maumivu sana hata ukipata umeumia mno, tofauti na kipindi cha Xavier Daud
 
Mim nimefika oral 2 na zote zimekandwa sina namna zaidi ya kua mpole tu maana haya mambo ya riziki yanatoka kwa mungu so kikubwa ni kujilazimisha kusubiri na kutafuta tu mishe zngine
Pole mkuu yan mm natamani kujua kama nimekandwa basi nimove on lakin shida placement hazijakamilika post yetu kwa oral zote 2 nilizofanya.

Naona watu wanakuja PM kuniuliza ila siwezi kutoa details zangu kwa usalama wangu pia maana napenda haki.
 
Ni kweli mkuu hasaidii maana hamna watakachobadilisha kwa malalamiko haya labda uende ukalie raisi akusikie awape amri ivi ivi mzee ni kilio cha samaki
Jobless wote tungeungana kupaza sauti watasikia kilio chetu na mabadiliko yatafanyika kwa faida ya wadogo zetu na watakaomba nafasi miaki ijayo. Sio Kila kitu kunyamazia na kukubali kuonewa hivyo tutaishia kurudi nyuma tu pasipo nchi kuwa na maendeleo. Mimi naamini kama tungepaza sauti hili jambo likamfika waziri mkuu, rais na mawaziri wa wizara husika lingepatiwa ufumbuzi
 
Bongo hii mwenye nguvu ni Rais
na sisi wananchi.
vyombo vingine vinafata upepo unapoelkea nasio kusimamia haki.

si umeona mkataba wa bandari umesainiwa juu, vyombo vingine vikapitisha kwa shangwe lakini wananchi wengi wanaupinga huo mkataba.

nachotaka kumaanisha nikwamba nguvu tunayo sisi ila jobless kutokana na hali ya msoto hatuko united
 
Tuvute subra binafsi nawaamini PSRS kwa asiliamia 95%

yote sababu classmate wenzangu ambao baadhi yao tulikua tunafukuzia pamoja ajira pale CIVE NA VENUE ZINGINE HAPO DOMU tayari wamelamba asali kwa nyakati tofauti,wengine notifications za kuwaona kwenye pdf niliwapa mimi
 
Back
Top Bottom