MayHongera mkuu ukawe mtumishi mwema mlifanya lini oral??
MayHongera mkuu ukawe mtumishi mwema mlifanya lini oral??
AsanteHongera mkuu ukawe mtumishi mwema mlifanya lini oral??
KABISA MKUUTheory ya SELECTED for oral both App vs Web bado inaendelea kutawala
Hongera sana mwambaAsante MUNGU...nimelamba asali
Asante sana DonrwHongera legendary tupo nyuma yako
Asante sana mkuu LidedecdcHongera sana MASTA
Hahahahah acha tu aiseeMzee wewe una "MACHALE SANA"..
Alooooo hongera sana Lidedecdc nakutakia heri ukawe mtumishi mwema wa umma i am happy for uAsante MUNGU...nimelamba asali
Mwanangu nitabaki alone status ilikuajeAsante MUNGU...nimelamba asali
Subiri wakati wako kaka wakati wa Mungu ndio sahihi..... kama bado wameaacha watatoa subili wakati wakoHongereni mliolamba asali
Lakini psrs wawe serious kidogo Yani wanatoa placement nusu nusu yani tumefanya usahili February lakin mpaka sasa kaitwa 1 tu kada yetu asa najiuliza wanachoshindwa kutoa placement kwa PDF Moja tulizofanya usahili kwa pamoja ni nini.
Mbona kipindi cha katibu aliyepita kulikua hamna longolongo kama sasa makandokando ni mengi. Borea wakwambie umekosa ujue moja miez 6 sasa no feedback no placement na walisema after 3 weeks majibu yatatoka
Hii ndio interview yako ya kwanza wewe sio ?Hongereni mliolamba asali
Lakini psrs wawe serious kidogo Yani wanatoa placement nusu nusu yani tumefanya usahili February lakin mpaka sasa kaitwa 1 tu kada yetu asa najiuliza wanachoshindwa kutoa placement kwa PDF Moja tulizofanya usahili kwa pamoja ni nini.
Mbona kipindi cha katibu aliyepita kulikua hamna longolongo kama sasa makandokando ni mengi. Borea wakwambie umekosa ujue moja miez 6 sasa no feedback no placement na walisema after 3 weeks majibu yatatoka
Tupo PAMOJA MASTA....Mwanangu nitabaki alone status ilikuaje
STATUS zako kama ziko safi subiri wakati wakoHii ndio interview yako ya kwanza wewe sio ?
Hongera sana mkuuAsante MUNGU...nimelamba asali
so now unarudi kundini??? HhhhhhhhTupo PAMOJA MASTA....
Ukiwa karibu zaidi na Mungu utatoboa....SERIOUS..mimi ilinibidi niache uovu wote toka niwe SHORTLISTED..kusali na Mimi, Mimi na kusali.
Hongera sana mkuuAsante MUNGU...nimelamba asali