HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hi what's up guys naombeni msaada, mm niliaply kazi za brela (record management assistant ) sasa sijaitwa interview na kipindi cha nyuma huwa zote napata shortlisted ikabidi nifungue kwenye account nione shida ipo wapi wameniandikia hivi Not shortlisted (application letter not routed through current employer)
Yani nimechoka jaman alafu nilikua nimeshajiandaa hadi nauli nimewapigia hata simu haijapokelewa hapa sielew nifanyeje tena maana kazi zote nazoaply naitwa na usahili najitahidi kufanya
 
Address uliandika ipi kwenye barua? Je kuna makosa yoyote umefanya?
 
Hi what's up guys naombeni msaada, mm niliaply kazi za brela (record management assistant ) sasa sijaitwa interview na kipindi cha nyuma huwa zote napata shortlisted ikabidi nifungue kwenye account nione shida ipo wapi wameniandikia hivi Not shortlisted (application letter not routed through current employer)
Yani nimechoka jaman alafu nilikua nimeshajiandaa hadi nauli nimewapigia hata simu haijapokelewa hapa sielew nifanyeje tena maana kazi zote nazoaply naitwa na usahili najitahidi kufanya
Soma Tangazo lao vizurii kuna kazi zilikua ni Transfer kwahiyo walikua wanataka watu walioajiriwa ndio maana Barua ya Kuomba inabid ipite kwa Boss wako kama umeajiriwa Serikalini.
 
Hivi ni kwa nini huwa wanatoa majina nusu nusu kwa nini isingekuwa wakitoa placement za mwezi husika wanatoa majina ya wote waliofanya huo mwezi ili pdf ijayo waliofanya mwezi unaofuata wajiandae kusubiri huku wakijua kwamba wa mwezi wa nyuma walishaitwa wote waliofaulu🤔🤔🤔🤔
Fikiria sasa hivi wanatoa moja moja mnachukua muda hivi; je wakisema wazisubirie zote zikamilike itachukua muda gani kusubiri?
 
Niliandika ya utumishi kama kawaida. Hamna kosa lolote sijaelewa kwanini waniandikie hivyo
Nazani kwenye heading ulisahau kuandika unaomba kazi kwa Brela “not rooted to current employee “
 
Back
Top Bottom