HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nimeipitia apps ya Ajira portal kwa baadhi ya information zangu Zipo tofauti na nilivyojaza kweny website ya Ajira portal, nikarekebisha kweny apps, kurudi kweny website taarifa zimefutika, nikarekebisha tena kweny website kweny apps zikawa tofauti, je hii haiwezi ikaathiri baadhi ya maombi niliyotuma?
 
Mkuu tumia kimoja kama unatumia app focus uko kama unatumia web focus uko

According to psrs some time app haitoi majibu sahihi

Usije kujialibia.
 
Nimeipitia apps ya Ajira portal kwa baadhi ya information zangu Zipo tofauti na nilivyojaza kweny website ya Ajira portal, nikarekebisha kweny apps, kurudi kweny website taarifa zimefutika, nikarekebisha tena kweny website kweny apps zikawa tofauti, je hii haiwezi ikaathiri baadhi ya maombi niliyotuma?
Bora kutumia web tu,
 
Focus na web,hiyo app itakuchanganya tu
 
Kuna mtu alifanya oral interview MDA/LGA na status ikabadilika kuwa not selected for oral...either kwenye web au app?

Huyu ni ndugu yangu alipiga Oral za LGA/MDA februari, Status kwenye App inaonesha hivi.
3bc00528-1e98-47b2-937d-4d9973d7bfec.jpg
 
Back
Top Bottom