HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma?Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi......Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma

Nimechoka sana nimepoteza nauli muda na kila kitu simu hawapokei, sms hawajibu, emails hazijibiwi, Dm hawajibu! sasa nafanyaje jamani mimi na shida yangu inatakiwa itatuliwe kwa haraka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Muda mzuri ni ule wa kuanzia saa mbili na dakika 40 asubuhi
 
Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma?Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi......Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma

Nimechoka sana nimepoteza nauli muda na kila kitu simu hawapokei, sms hawajibu, emails hazijibiwi, Dm hawajibu! sasa nafanyaje jamani mimi na shida yangu inatakiwa itatuliwe kwa haraka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Nimemesoma hii nimejisikia vibaya sana.

Kimsingi PSRS wanatoa huduma mbovu mno.

Hii ni aibu kwa serikali....
Hii ni aibu kwa muda (karne ya 21 hii haiwezekani ukawa unatoa huduma za kibabaishaji namna hiyo).
 
Nimemesoma hii nimejisikia vibaya sana.

Kimsingi PSRS wanatoa huduma mbovu mno.

Hii ni aibu kwa serikali....
Hii ni aibu kwa muda (karne ya 21 hii haiwezekani ukawa unatoa huduma za kibabaishaji
JAmaa sjui ni viburi au ni vipi ni mambo ya ajabu sana aisee
 
Kwa simu utachoka tu ndungu,Mimi mwenyewe hawakupokea kabisa simu,mpk nilipopanda gari toka Arusha to dodoma,ndo wakaniweka kwenye nyongeza zile za MDA na lga,we km unajua kosa ni lao sio wewe,nenda Dom tu mazima,dk 5 tu unasaidiwa
Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma?Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi......Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma

Nimechoka sana nimepoteza nauli muda na kila kitu simu hawapokei, sms hawajibu, emails hazijibiwi, Dm hawajibu! sasa nafanyaje jamani mimi na shida yangu inatakiwa itatuliwe kwa haraka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wasaka miriji ya asali Askari mimi placement zinaathiri harakati zangu zingine na maisha yangu kwa sasa nimefikisha mwezi wa saba na siku 5 tangia nianze kusubiri placement .😭
 
Mtu anapotoka kwenye chumba cha Oral interview anacheka au anatabasamu maana yake Nini? Amepasua paper au amekandwa? Mnatutisha wengine tuliobaki nje na ukizingatia nafasi yenyewe ni moja.
hiyo ni aina ya watu tu. 😃😃😃
 
MIMI NIMEKOSA ETI WANANAMBIA VYETI HAVIKUHAKIKIWA NA KUPIGWA MUHURI MWANASHERIA AU MAHAKAMANI CHA AJABU VYOTE VYOTE NIMEVYOWEKA VINA MUHURI WA MWANASHERIA NA HUYO HUYO MWANASHERIA ALITUPIGIA MUHURI WATU TULIKUA KAMA 20 HIVI KILA MTU NA VYETI VYAKE CHA AJABU WOTE WAMEPATA MIMI TU NDO NIMEKOSA
Fungua message yako kwenye private message (pm)
 
Nimemesoma hii nimejisikia vibaya sana.

Kimsingi PSRS wanatoa huduma mbovu mno.

Hii ni aibu kwa serikali....
Hii ni aibu kwa muda (karne ya 21 hii haiwezekani ukawa unatoa huduma za kibabaishaji namna hiyo).
Yaani inashangaza sana daaah leo nimeenda hadi kivukoni lakini sikufua dafu
 
MREJESHO:Asanteni sana ndugu zangu.....Kuna namba nilitumiwa nijaribu nayo pia baada ya kupiga sana wakapokea!!Nimewaeleza ilivyokua na wakaniuliza majina yangu matatu wakanichekia kwa system wakanambia nitakua nalog in kwenye akaunt yangu ya ajira portal niwe nachungulia mara kwa mara wamenambia hadi jumatano nitakua na majibu kamili.....

Nimewaza sijui wataamua nini maana yalikua makosa yao na mfumo wao....
 
Hapo tayari...umeshaingia...Jiandae kwa INTERVIEW
 
Back
Top Bottom